Nimemsamehe aliyekuwa Rais wa Tanzania John Magufuli lakini sitomsahau kwa yote aliyonifanyia

Mwenyezi Mungu amjalie busara na hekima mama yetu Samia Suluhu Hassan iki awezw kuurudisha umoja na mshikamano kati yetu, na pia ile hali ya kukata tamaa na kuombeana mabaya iliyoanza kutamalaki kwenye jamii.

Aponye majeraha yote kama itawezekana. Apumzike kwa amani Mr. Bulldozer. Alitunyoosha kweri kweri!!!!
Amen!
 
Actually binafsi naomba niseme magu alikuwa mtu real sana km ni yes atakwambia "yes" km ni No atakwambia "No" but all in all Ukiacha Mapungufu yake aliyokuwa nayo lkn ni Far more better kuliko hichi kibibi
 
Inawezekana ningekuwa na chuki kiasi kikubwa sana kutokana na mambo mbalimbali ambayo aliyatenda au nena Mh. Rais alipokuwa Madarakani.

Kwa njia moja au nyingine yalitesa na kuumiza watu wangu wa karibu na mimi mwenyewe pia. Lakini inapofikia mtu akawa mgonjwa mahututi akiwa kitandani hana msaada mwingine wowote au anapofariki ukimtizama na kugundua kila kitu kilikuwa ubatili. Unaingiwa na moyo wa kibinadamu. Unamsamehe.

Unaweza kumbuka mtu alivyokukana wakati wa dhiki ukiwa unahitaji msaada wake. Au alipokukanyaga na akaendelea kusimama juu yako ukiwa umelala chini. Unayaacha hayo yapite.

Ntampongeza Mh. Magufuli kwa kuwa vile ambavyo alikuwa. Aliishi vile ambavyo alikuwa. Ingawa naamini katika Utawala wake ndipo ambapo tulishuhudia Viongozi wanafiki ambao hawajawahi kutokea. Ukimtoa yeye ambaye aliishi kama alivyokuwa. Alikuwa amezungukwa na viongozi wanafiki, wachumia tumbo, wasiokuwa na msimamo.

Ntaendelea kujifunza kuwa Duniani tunapita. Kila kitu kitabaki. Hatuhitajj majivuno. Itakayobaki ni Milima, Mawe halisi na viumbe visivyo hai.

Roho ya Marehemu IWEKWE INAPOSTAHILI. AMINA
Wew unao moyo mkunjufu ila Mimi kusema kweli na Kama yeye mwenyewe alivyokuwa akisema msema kweli ni mpenzi wa Mungu sijamsamehe na sita msamehe mpka naingia kaburini.

Rais pekee naweza Msamehe ni Nyerere kwa kuwa alikuwa Rais wa Kwanza na makosa yake yalikuwa ya kibinadamu kwa kuwa yeye ndiye alikuwa Rais wa Kwanza na hakuweza kujifunza kwa mtu mwingine hivyo kila alicho fanya kilionekana ni sahihi kwa wakati huo.

Huyu muaji mkatili na aliyekuwa na jeuri ya Madaraka nasema hapana Mungu anisamehe siwezi msamehe. Ameacha vilio na simanzi kwa wengi wasio na hatia.Yaani ilitokea Kama nimekufa halafu tukaonana wawili tuu huko motoni aliko nakwambia nitamuanzishia sebene la Mwakinyo dadekii. Yaani sitachagua kwa kupiga ktk bichwa lile.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Inawezekana ningekuwa na chuki kiasi kikubwa sana kutokana na mambo mbalimbali ambayo aliyatenda au nena Mh. Rais alipokuwa Madarakani.

Kwa njia moja au nyingine yalitesa na kuumiza watu wangu wa karibu na mimi mwenyewe pia. Lakini inapofikia mtu akawa mgonjwa mahututi akiwa kitandani hana msaada mwingine wowote au anapofariki ukimtizama na kugundua kila kitu kilikuwa ubatili. Unaingiwa na moyo wa kibinadamu. Unamsamehe.

Unaweza kumbuka mtu alivyokukana wakati wa dhiki ukiwa unahitaji msaada wake. Au alipokukanyaga na akaendelea kusimama juu yako ukiwa umelala chini. Unayaacha hayo yapite.

Ntampongeza Mh. Magufuli kwa kuwa vile ambavyo alikuwa. Aliishi vile ambavyo alikuwa. Ingawa naamini katika Utawala wake ndipo ambapo tulishuhudia Viongozi wanafiki ambao hawajawahi kutokea. Ukimtoa yeye ambaye aliishi kama alivyokuwa. Alikuwa amezungukwa na viongozi wanafiki, wachumia tumbo, wasiokuwa na msimamo.

Ntaendelea kujifunza kuwa Duniani tunapita. Kila kitu kitabaki. Hatuhitajj majivuno. Itakayobaki ni Milima, Mawe halisi na viumbe visivyo hai.

Roho ya Marehemu IWEKWE INAPOSTAHILI. AMINA
Hajakukosea kitu kwani alikua mtu mwema kwa umma wa watanzania. Kama ulidhurika kwenye maamuzi yaliyokusudiwa kufaidisha umma basi pole sana.
 
Wamebarikiwa wale funza wenye meno makali yaonayo gizani, walioutafuna ulimi wa mtu yule muovu, na kuunyofoa nyofoa moyo wake na ubongo wake katika sherehe iliyofanyika katika giza LA ardhi, na hakupata was kumtetea, hata walinzi wake walimwacha
 
Daah, very pathetic
Hao funza unaowazungumzia wamewala hata manabii na mitume wa hapo kale
Na wewe soon utakutana nao
Acha usenge wa fikra ndugu yangu
 
Back
Top Bottom