round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 933
- 3,051
Nimefanya kosa gani ?Una mchangia KIASI gani?
Tuanzie hapo.
KAZI ni kipimo cha utu
Kwani alikuahidi anakuoa wewe mpaka umkumbushe kumbushe? Acha kiherehere mkuu.Ni ndugu yangu huyu mtoto wa baba mdogo
Mwaka jana nilimwambia vipi ndoa akaniambia mwaka huu, basi nikaona hakuna tatizo
Mwaka ndio umefika huu nikaona nimkubushe vipi kuhusu ndoa, ni ghafla tu kama vile ananikwepa, hata nikimpigia simu atasema ana drive, yupo kikaoni, n.k,
Leo nilimuona sehemu na kwa haraka haraka najua yeye pia aliniona lakini ghafla akageuza uelekeo utadhani hajaniona, nimegundua ananikwepa
Nimefanya kosa gani ?
Sana unamnyima mwenzako uhuru unamsakama na jambo ambalo halitak anakosa amanNi ndugu yangu huyu mtoto wa baba mdogo
Mwaka jana nilimwambia vipi ndoa akaniambia mwaka huu, basi nikaona hakuna tatizo
Mwaka ndio umefika huu nikaona nimkubushe vipi kuhusu ndoa, ni ghafla tu kama vile ananikwepa, hata nikimpigia simu atasema ana drive, yupo kikaoni, n.k,
Leo nilimuona sehemu na kwa haraka haraka najua yeye pia aliniona lakini ghafla akageuza uelekeo utadhani hajaniona, nimegundua ananikwepa
Nimefanya kosa gani ?
maybeAnakuheshimu hivyo hapendi kukudanganya na hapendi kuonekana muongo..tukikutana naye ongelea madam nyingine.
Wakati wake wa kuoa ukifika atapona usimkumbushe
Aeza kuwa anapotea ujue
Kwa nini unamuingilia kwenye maisha yake?Ni ndugu yangu huyu mtoto wa baba mdogo