Nimemshauri aoe kaanza kunikwepa na kukata mawasiliano, nimefanya kosa ?

Nimemshauri aoe kaanza kunikwepa na kukata mawasiliano, nimefanya kosa ?

Ni ndugu yangu huyu mtoto wa baba mdogo

Mwaka jana nilimwambia vipi ndoa akaniambia mwaka huu, basi nikaona hakuna tatizo

Mwaka ndio umefika huu nikaona nimkubushe vipi kuhusu ndoa, ni ghafla tu kama vile ananikwepa, hata nikimpigia simu atasema ana drive, yupo kikaoni, n.k,

Leo nilimuona sehemu na kwa haraka haraka najua yeye pia aliniona lakini ghafla akageuza uelekeo utadhani hajaniona, nimegundua ananikwepa

Nimefanya kosa gani ?
Focus kwenye maisha yako

Kwani alikuomba ushauri?
 
Back
Top Bottom