Nimemshauri mwanangu akimaliza tu masomo awe polisi

Nimemshauri mwanangu akimaliza tu masomo awe polisi

Kuna familia moja hapa Wilayani baba ni polisi mama ana kijibar hapa mtaani basi naye ni kama polisi vile kisa baba polisi sasa ole wako ulewe uzingue utajikuta kituoni, mtoto naye siku zingine anakaa bar majibu ya hovyooo kisa mtoto wa polisi basi naye polisi. Kifupi familia yote mapolisi naona na wewe umependa uwe baba wa polisi. Hongera
 
Kuna familia moja hapa Wilayani baba ni polisi mama ana kijibar hapa mtaani basi naye pia ni polisi ole wako ulewe uzingue utajikuta kituoni, mtoto naye siku zingine anakaa bar majibu ya hovyooo kisa mtoto wa polisi. Kifupi familia yote mapolisi naona na wewe umependa uwe baba wa polisi. Hongera
Umeona sasa, ndio hizo raha zenyewe
 
YAAN labda waseme imetosha lakn nataka wasome wasome wakapambane
 
Back
Top Bottom