pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
- Thread starter
- #41
Ndo hicho nilikua nasemeaUsinikumbushe wkt tunasoma tulisoma na mtoto wa mkuu mmoja wa polosi. Sasa yeye enzi zile kila kitu chake anasema kanunua Mariedo.
Sasa kuna watu wengine wakawa wananunua hivyo hivyo Kariakoo na Mtumbani huko. Wakija wanamponda. Sasa yeye akisikia moto unawaka wanagombana.
Wakigombona anawaletea kigofu aisee miye asubihi nikisikia habari ya kigofu namwangalia yule dada kwa macho ya kuogopa sana.
Bora tulimaliza bwana aliwanyoosha sana wenzie na kigofu kile, mtoto wa polisi na yeye polisi aisee.