pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
Apo sasaEeeh polisi hii hii ya tanzania au polisi ya nchi gan
Hii hii ya tanzania, yaani ni raha tu, familia nzima mnakuwa mpo salamaaaaaaEeeh polisi hii hii ya tanzania au polisi ya nchi gan
Na makucha yake tenaKumekucha uku πΉ
Laaanaa tupuui...Kazi ya laana sometimes
Hapana mkuu, laana ni matendoKazi ya laana sometimes
Umeona sasa, ndio hizo raha zenyeweKuna familia moja hapa Wilayani baba ni polisi mama ana kijibar hapa mtaani basi naye pia ni polisi ole wako ulewe uzingue utajikuta kituoni, mtoto naye siku zingine anakaa bar majibu ya hovyooo kisa mtoto wa polisi. Kifupi familia yote mapolisi naona na wewe umependa uwe baba wa polisi. Hongera
ππππππ Asante mtoa madaHii hii ya tanzania, yaani ni raha tu, familia nzima mnakuwa mpo salamaaaaaa
Karibuππππππ Asante mtoa mada
niamini mimi mkuuHapana mkuu, laana ni matendo
Mi kidogo Niko PEMBEN na weweAcheni masihara jamani, polisi wanaishi kwa raha sana inchi hii,
Nimeipenda sana hii kazi, mwanangu nakuusia tena, ukifuzu tu fanya kazi ya upolisi
Wakisoma sana, hakuna kupambana, ni mteremko tuYAAN labda waseme imetosha lakn nataka wasome wasome wakapambane
Za kubrashia viatu!Apo sasa