pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
- Thread starter
-
- #41
Ndo hicho nilikua nasemeaUsinikumbushe wkt tunasoma tulisoma na mtoto wa mkuu mmoja wa polosi. Sasa yeye enzi zile kila kitu chake anasema kanunua Mariedo.
Sasa kuna watu wengine wakawa wananunua hivyo hivyo Kariakoo na Mtumbani huko. Wakija wanamponda. Sasa yeye akisikia moto unawaka wanagombana.
Wakigombona anawaletea kigofu aisee miye asubihi nikisikia habari ya kigofu namwangalia yule dada kwa macho ya kuogopa sana.
Bora tulimaliza bwana aliwanyoosha sana wenzie na kigofu kile, mtoto wa polisi na yeye polisi aisee.
Pambana aupate utrafiki bro , ni mwendo kula vichwa mwanzo mwisho.Acheni masihara jamani, polisi wanaishi kwa raha sana inchi hii,
Nimeipenda sana hii kazi, mwanangu nakuusia tena, ukifuzu tu fanya kazi ya upolisi
sawa mkuuSio sawa, ila ukiacha wenzio wanafanya, sasa kwa nini usifanye wewe?
Hakuna anaependa tabu
Asante
Atachezea kichapo hapo hapo kituoni,Sawa ngoja akukamate kwenye magendo yako alafu akianza kukuhoji akuulize "jina lako nani?" Uanze kumjibu "inamaana mwanangu umenisahau?"
Sawa kabisaPambana aupate utrafiki bro , ni mwendo kula vichwa mwanzo mwisho.