Nimemsikia CHADEMA wanasema fly over ya ubungo mbovu kwanza wakipita wanajiskia kutapika kwa kuzunguzungu

Nimemsikia CHADEMA wanasema fly over ya ubungo mbovu kwanza wakipita wanajiskia kutapika kwa kuzunguzungu

mzalendo iq1

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2020
Posts
1,257
Reaction score
1,543
Chadema ndugu zetu wanapinga kila kitu mpaka wanachekesha et magufuli katumia hela za walipa Kodi vibaya kwa kujenga Fliy over kubwa

Na wanadai wakipita pale wanajiskia vibaya na kuhisi kutapika

Mh mwenyekit yupo hai anasema Magufuli katekeleza Mirad kwa Ilan ya chadema
 
Back
Top Bottom