mzalendo iq1
JF-Expert Member
- Mar 10, 2020
- 1,257
- 1,543
Chadema ndugu zetu wanapinga kila kitu mpaka wanachekesha et magufuli katumia hela za walipa Kodi vibaya kwa kujenga Fliy over kubwa
Na wanadai wakipita pale wanajiskia vibaya na kuhisi kutapika
Mh mwenyekit yupo hai anasema Magufuli katekeleza Mirad kwa Ilan ya chadema
Na wanadai wakipita pale wanajiskia vibaya na kuhisi kutapika
Mh mwenyekit yupo hai anasema Magufuli katekeleza Mirad kwa Ilan ya chadema