Nimemsikia Makamba akijaribu kutisha wabunge kwa kutumia jina la 'Rais Samia' badala ya kueleza udhaifu wake

MchunguZI

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2008
Posts
4,011
Reaction score
2,185
Anasema hata kama una matatizo na Mh. Samia kuwa rais au yeye (Januari) kuwa waziri tutafute jambo jingine siyo mambo ya nje. Hii ndiyo rubbish ya Januari. Katika mjadala ule hakuna aliyemshambulia rais Samia. Januari anaanza kueleza underperfomance ya wizara anayoiongoza.

TANESCO iko chini yake, sababu anazotaja za waya zilizo uchi, vikombe vilivyopasuka au kVA 11 na 33 hayo ni yake na TANESCO, hakuna anayewasaidia au aliyewasaidia kuzifunga nyaya hizo. Kama ni makosa ni yao na sisi hayatuhusu. Huo ndo udhaifu wa TANESCO yake au watu wa TANESCO na waiziri wao.

Swali kwake Januari; Rais Samia ameingiaje hapo? Au ni mbinu ya kujilinda udhaifu wake usisemwe? Au ni kutuonesha kwamba yeye na rais Samia ni mwili mmoja? Anapohitaji miaka minne kama Kalemani, nini faida ya kumuondoa Kalemani na yeye aje kuomba miaka 4?

Hisia yangi ni kwamba hatfika kokote hata akariri majina ya vifaa vyote vya Tanesco na Hydro ya Nyerere ijayo, wizara hii apewe mwenye uwezo.
 
Bwana yule anadhani atatuongopea milele, asichokijua ni kwamba muda utaamua. 2025 ni mbali sana katika safari yake ya kuongopa lakin pia 2025 ni karibu sana kwa watu wanaowaumiza. Tumeuachia muda tu Rufiji Hydro PP is no more under him, he is just a stopper anyway.
 
Tuliyasema mapema kuwa kitendo cha kumuondoa Kalemeni na kumpa Makamba ni sawa na kuihujumu Tanesco
 
Bwana yule anadhani atatuongopea milele, asichokijua ni kwamba muda utaamua. 2025 ni mbali sana katika safari yake ya kuongopa lakin pia 2025 ni karibu sana kwa watu wanaowaumiza. Tumeuachia muda tu Rufiji Hydro PP is no more under him, he is just a stopper anyway.
Huyu hajawahi kuwa performer popote. Ikulu aliishia kumwandikia rais Kikwete hotuba kama za kuwaaga darsa la 7. Ile wizara yake ya kwanza aliishia kutamka neno hatimiliki. Mazingira akaanza kwa kutojua mipaka ya madraka yake kwa kuweka watu wake pale NEMC na mambo yakagoma. Hapo Tanesco ndo ameleta yale ya jeshini, 'mauza-uza.' Tatizo kubwa ni msingi mbaya wa kuizoeza akili kufikiri. He is a non-starter!
 
Anasema hata kama una matatizo na Mh. Samia kuwa rais au yeye (Januari) kuwa waziri tutafute jambo jingine siyo mambo ya nje. Hii ndiyo rubbish ya Januari. Katika mjadala ule hakuna aliyemshambulia rais Samia. Januari anaanza kueleza underperfomance ya wizara anayoiongoza.

TANESCO iko chini yake, sababu anazotaja za waya zilizo uchi, vikombe vilivyopasuka au kVA 11 na 33 hayo ni yake na TANESCO, hakuna anayewasaidia au aliyewasaidia kuzifunga nyaya hizo. Kama ni makosa ni yao na sisi hayatuhusu. Huo ndo udhaifu wa TANESCO yake au watu wa TANESCO na waiziri wao.

Swali kwake Januari; Rais Samia ameingiaje hapo? Au ni mbinu ya kujilinda udhaifu wake usisemwe? Au ni kutuonesha kwamba yeye na rais Samia ni mwili mmoja? Anapohitaji miaka minne kama Kalemani, nini faida ya kumuondoa Kalemani na yeye aje kuomba miaka 4?

Hisia yangi ni kwamba hatfika kokote hata akariri majina ya vifaa vyote vya Tanesco na Hydro ya Nyerere ijayo, wizara hii apewe mwenye uwezo.
Sisi tunataka umeme yeye anakazana kuongelea legacy issues. Legacy issues zipo nyingi. Mojawapo ni IPTL. Tunapodhani tumesimama tuangalie tusianguke.
Watanzania wanataka umeme. Vyanzo vya kuzalisha umeme vipo kadhaa. Tuache porojo. Tumechoka na maneno mengi ambayo hayana faida
 
Nafasi aliyopo haimfai
Yaani wewe unajua kuliko mamlaka iliyompa huo uteuzi?
Makamba sio mfanya miujiza.Hawezi kutatua tatizo lilishindikana kutatuliwa kwa miaka zaidi ya 19 kwa muda wa miezi 4.
Apewe muda ambao ni realistic kuweza kutatua tatizo hili kitaalamu na sio kisiasa kama walivyofanya waliopita.
Ameanza kusema ukweli na kusema mambo ambayo hatukuzoea kuyasikia. Tulizoea longolongo na populist rhetoric.
 
Kitu kibaya kwenye maisha ni kutokujua jambo fulani halafu ukadhan wote hawajui kama wewe.Januar anadhan ujinga wake ni wa kila mmoja.Kama Kalemani alifanya makosa ya binafsi au kiitaasisi hakutoi haki ya yeye kukosea,kama hawezi kuzuia makosa ama anaona hawezi kuendeleza sekta ya nishati ni bora akaachia wengine kuliko kuomba miaka minne ya kuboronga.AACHE UZWAZWA hakuzaliwa na cheti kinacho mtaka awe mbunge\waziri maisha ajue amepata kutokana na bahati ilipo kutana na fursa aache kutisha watu
 
Wenye mamlaka wanajisahau kuwa wanaongoza binadamu na sio mbuzi.
Leo ndio unalijua hili??, John alipokuwa UKIAMBIWA aache kuua watu mlikuwa wateteaji wake.
 
Hata kama nina Tatizo na Yeye na Rais sio Kosa..., (its my choice na sababu zangu)...

Hapa hatupo kutengeneza marafiki, yeye afanye anachotakiwa kufanya as per job requirement (umeme wa uhakika) hayo mengine ni ya kwake na wakwao
 
"Swali kwake Januari; Rais Samia ameingiaje hapo? Au ni mbinu ya kujilinda udhaifu wake usisemwe? Au ni kutuonesha kwamba yeye na rais Samia ni mwili mmoja?"

Mkuu hapa umenifikirisha kidogo
 
Anasema hata kama una matatizo na Mh. Samia kuwa rais au yeye (Januari) kuwa waziri tutafute jambo jingine siyo mambo ya nje. Hii ndiyo rubbish ya Januari. Katika mjadala ule hakuna aliyemshambulia rais Samia. Januari anaanza kueleza underperfomance ya wizara anayoiongoza.

TANESCO iko chini yake, sababu anazotaja za waya zilizo uchi, vikombe vilivyopasuka au kVA 11 na 33 hayo ni yake na TANESCO, hakuna anayewasaidia au aliyewasaidia kuzifunga nyaya hizo. Kama ni makosa ni yao na sisi hayatuhusu. Huo ndo udhaifu wa TANESCO yake au watu wa TANESCO na waiziri wao.

Swali kwake Januari; Rais Samia ameingiaje hapo? Au ni mbinu ya kujilinda udhaifu wake usisemwe? Au ni kutuonesha kwamba yeye na rais Samia ni mwili mmoja? Anapohitaji miaka minne kama Kalemani, nini faida ya kumuondoa Kalemani na yeye aje kuomba miaka 4?

Hisia yangi ni kwamba hatfika kokote hata akariri majina ya vifaa vyote vya Tanesco na Hydro ya Nyerere ijayo, wizara hii apewe mwenye uwezo.
Mkuu pengine amekutisha wewe.
Uko mlaini hivyo?
 
Mtapiga makelele weee! Mwisho wa siku mtanyamaza tu kama sisi pia tulivyo bweka humu baada ya Mwigulu Nchemba kutuletea mitozo yake, na ambayo mpaka muda huu bado inaendelea kutuumiza tu.

Tupambane kuipigania Katiba Mpya, ili ituletee mabadiliko ya kimfumo na kiutendaji Serikalini. Kinyume na hapo, hizi kelele zitakuwa hazina kabisa tofauti na zile kelele za chura.
 
Anasema hata kama una matatizo na Mh. Samia kuwa rais au yeye (Januari) kuwa waziri tutafute jambo jingine siyo mambo ya nje. Hii ndiyo rubbish ya Januari. Katika mjadala ule hakuna aliyemshambulia rais Samia. Januari anaanza kueleza underperfomance ya wizara anayoiongoza.

TANESCO iko chini yake, sababu anazotaja za waya zilizo uchi, vikombe vilivyopasuka au kVA 11 na 33 hayo ni yake na TANESCO, hakuna anayewasaidia au aliyewasaidia kuzifunga nyaya hizo. Kama ni makosa ni yao na sisi hayatuhusu. Huo ndo udhaifu wa TANESCO yake au watu wa TANESCO na waiziri wao.

Swali kwake Januari; Rais Samia ameingiaje hapo? Au ni mbinu ya kujilinda udhaifu wake usisemwe? Au ni kutuonesha kwamba yeye na rais Samia ni mwili mmoja? Anapohitaji miaka minne kama Kalemani, nini faida ya kumuondoa Kalemani na yeye aje kuomba miaka 4?

Hisia yangi ni kwamba hatfika kokote hata akariri majina ya vifaa vyote vya Tanesco na Hydro ya Nyerere ijayo, wizara hii apewe mwenye uwezo.
January ni overarated.Uwezo mdogo,kinachombeba udini na samia na ukongwe wa makamba!.
 
Back
Top Bottom