Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukinya lazima utawaze, usipotawaza nzi watakufuata tu.mnamuandamana sana huyu kijana, kutakuwa na shida sio bure kwakweli...
Hili nalo linamhusu Makamba na kauli za Bungeni? Au, wewe ni mwanafunzi usiye na jawabu unaamua kuandika lolote. SIFURI!Wewe kwa Akili yako unaona ni Nani aliye mzuri Kati yao Kati ya Magufuli aliye iacha nchi gizani huku akiwambia ninyi mazuzu mpo uchumi wa kati na ni donor country, au aliyekuwa masaidizi wa Magufuli wakati huo amabaye amemteua Makamba kuwa waziri?