Nimemsikia Makamba akijaribu kutisha wabunge kwa kutumia jina la 'Rais Samia' badala ya kueleza udhaifu wake

Nimemsikia Makamba akijaribu kutisha wabunge kwa kutumia jina la 'Rais Samia' badala ya kueleza udhaifu wake

Ukiona waziri anaulizwa swali yeye anajificha kwenye mgongo wa Rais ujue Huyo waziri hana AKILI hata kidogo.
 
Ukimsikiliza vizuri January utajua ni mtu useless anayejidai ni skillful au tuseme ki.laza sana!
Hivi hizi nyaya za January zilizo uchi zinazogongana na kusababisha umeme kukatika hovyo Dar es Salaam wakati wa Kalemani na Hayati Magufuli zilikuwa zimevikwa nguo (insulated)?
Maelezo yake anayodhani ni technical yanaonyesha ni jinsi gani TANESCO kumejaa vi.laza!
 
Wasambaa ni walalamishi sana wakifanya makosa na ukawaambia ukweli wanaanza kulia lia as if wanaonewa.. Mimi Madereva wangu wengi walikuwa Masambaa hawawezi kukupa maendeleo kabisa
 
Watanzania tunapaswa kuanza kufikiri kwa vichwa vyetu maana Kuna watu wanataka turudi kule nyaya zimepitisha miaka 6 umeme Leo Zina shida du
 
Wewe kwa Akili yako unaona ni Nani aliye mzuri Kati yao Kati ya Magufuli aliye iacha nchi gizani huku akiwambia ninyi mazuzu mpo uchumi wa kati na ni donor country, au aliyekuwa masaidizi wa Magufuli wakati huo amabaye amemteua Makamba kuwa waziri?
Hili nalo linamhusu Makamba na kauli za Bungeni? Au, wewe ni mwanafunzi usiye na jawabu unaamua kuandika lolote. SIFURI!
 
Back
Top Bottom