Mfiaukweli
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 5,636
- 8,777
Hilo hata mimi huwa linanishangaza, ndio maana napenda kuangalia mpira home maana napenda kusikia analysis ya watangazajiMkuu utakuwa na Mimi Hapa Milan City.. Naangalia Mpira Huku sauti ya mziki ikiwa kubwa[emoji23][emoji23]
Hilo hata mimi huwa linanishangaza, ndio maana napenda kuangalia mpira home maana napenda kusikia analysis ya watangazaji
According you not me, kama tunaangalia mpira na kuna makelele ya muziki na sipati expert analysis ya mpira kwanini nisiangalie home. Kwako wewe ambae mpira umeuibukia miaka ya ya hivi karibuni ni lazima uwe na kundi la watu mnabishana bila kupata expert analysisMpira kuangalia mwenyewe haunogi...
Absolutely [emoji4]Hilo hata mimi huwa linanishangaza, ndio maana napenda kuangalia mpira home maana napenda kusikia analysis ya watangazaji
According you not me, kama tunaangalia mpira na kuna makelele ya muziki na sipati expert analysis ya mpira kwanini nisiangalie home. Kwako wewe ambae mpira umeuibukia miaka ya ya hivi karibuni ni lazima uwe na kundi la watu mnabishana bila kupata expert analysis
Ntaachaje kumsikia wakati ni age mate wangu (Chesty - Reading, Berks)Nimemuona Effan Ekoku live akicheza. I doubt kama umeshawahi kumsikia. Nimeangalia mechi mara nyingi mno The Loaded Dog (East London).
Got it dude?