Nimemsikia mgeni akisema....

Nimemsikia mgeni akisema....

Mfiaukweli

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2018
Posts
5,636
Reaction score
8,777
....nyie Watanzania ni washamba sana, inakuwaje kwenye baa zenu mnaangalia mechi lakini sauti ya muziki inakuwa kubwa kuliko matangazo ya mechi huku nyie wote mnaangalia mechi?

Hebu nipeni jibu nimwambie.
 
Mkuu utakuwa na Mimi Hapa Milan City.. Naangalia Mpira Huku sauti ya mziki ikiwa kubwa[emoji23][emoji23]
 
Mkuu utakuwa na Mimi Hapa Milan City.. Naangalia Mpira Huku sauti ya mziki ikiwa kubwa[emoji23][emoji23]
Hilo hata mimi huwa linanishangaza, ndio maana napenda kuangalia mpira home maana napenda kusikia analysis ya watangazaji
 
According you not me, kama tunaangalia mpira na kuna makelele ya muziki na sipati expert analysis ya mpira kwanini nisiangalie home. Kwako wewe ambae mpira umeuibukia miaka ya ya hivi karibuni ni lazima uwe na kundi la watu mnabishana bila kupata expert analysis

Nimemuona Effan Ekoku live akicheza. I doubt kama umeshawahi kumsikia. Nimeangalia mechi mara nyingi mno The Loaded Dog (East London).
Got it dude?
 
Nimemuona Effan Ekoku live akicheza. I doubt kama umeshawahi kumsikia. Nimeangalia mechi mara nyingi mno The Loaded Dog (East London).
Got it dude?
Ntaachaje kumsikia wakati ni age mate wangu (Chesty - Reading, Berks)
 
Kwa ligi kuu Tz bara mara nyingi sauti ya tv huwa kubwa kuliko muziki kwa sababu wanatangaza kiswahili kwahiyo kila mtu anaelewa ILA ikiwa ligi za nje kama vile EpL,Laliga etc hapo tatizo ni lugha kwa hiyo ndo maana unakuta mziki uko juu kwa sauti kulikl Tv
 
Back
Top Bottom