Sasa Issah Ponda ni Shehe , unataka afuate Quran au afuate Saudia ?
Nakuuliza siku wakiruhusu ushoga ndo itakua uislam umeruhusu? Kwakua serikali ya Saudia imeruhusu. Mbna unakimbia swaliKwa Saudi Arabia ushoga ni kosa na hauruhusiwi! Acha kutafuta kichaka ambacho hakipo. Wewe huijui Quran kuliko wasaudia period. Acha akili za kibazazi
😂😂😂🤣🤣😂😂
Yaani unamkuta sheikh, kala kanzu safi na zile sendo zao na kakofia juu sigda imekubali, unasema bila shaka hapa kuna hekima na kuchukua mawili matatu, ukimsikiliza unakuta anatetea kuoa katoto ka miaka 14, aibu sanaWaislam Watanzania Wana uchu na uchi wa tuschana tudogo.
Ni wajinga sana, wana maujinga mengi mno.
Hiyo ni maadili na malezi ya kwao, kiuhalisia wote tunaelewa uke wa mwanamke uko vipi sio jambo la kushangaza hili kumeza, na pia sio justification ya kuwa ni sawa kuoa katoto aiseeVitoto vidogo vinameza mashine hutaamini...
Povu la nini sasaHuko kijijini kuna jitu zima na msuli wake linataka kutoa talaka kwa binti wa miaka 16 na binti ana festula.
Lilimuoa akiwa na miaka 12 limempa na mimba, kumtibu limeshindwa lipo lipo na mandevu yake linasema dini inamruhusu kumrudisha kwa wazazi ajifunze kuishi na mume huku likiwa limepeleka posa kutaka kuoa binti wa miaka 15.
STUPID: IN SAMIA VOICE.
Ni hili kundi ndilo baya zaidi linataka wanawake wote walio olewa waachike hili wafananeKwanza maisha yanapo kwenda kwa sasa ni hatari itafika wakati neno mwanamke kuolewa itakuwa kama bahati watoto wa NJE ya ndoa wanavyo ongezeka ni hatari na hawa ma Fimenist wamekuwa kama wendawazimu wamechanganyikiwa kisakolojia unakuta mwanamke anamiaka 35 yrs au 40 yrs old hana mtoto hana mume mwanamke kama huyu utamuelza nini akuelewe .
Sent from my SM-S901B using JamiiForums mobile app
Sema kidogo ubakishe huo ushoga si ajabu mwanao akawa shoga au kahaba hata weweHAWA WASWAHILI WANAWAZA SANA NGONO.
Mihadharra Yao imejaa NGONO, USHOGA NK.
Maeneo yote waliokaa WAARABU wameacha USHOGA.
Akina juma, Mohamed, isa, Shaban nk
Kila siku nawaambia DINI Yao imetoka
SHETANI + VATCAN+ MAPEPO + MAJINI +MOHAMED= QURAN.
La kufurahia mswada. Mabinti wadogo wa TZ wawe salama.Povu la nini sasa
Yani inabidi tuambiane ukweli kwamba kupenda watoto ni Ugonjwa wa akili unaitwa pedophilia..... Sina maana mtume alikua mgonjwa msininukuu vibayaLeo nimemsikia Sheikh Ponda akisema kuwa hakubaliana na Wizara ya Katiba na Sheria kupeleka muswada wa umri wa ndoa kuwa miaka 18. Anadai kuwa ni kinyume na dini ya Kiislamu kwa sababu miaka 18 ni sera ya Wakatoliki.
Kusema kweli kwa maneno haya nimeanza rasmi kumdharau Sheikh Ponda kwa sababu nchini Saudi Arabia, nchi ambayo ndo kitovu cha imani ya dini ya Kiislamu ulimwenguni umri wa ndoa ni miaka 18.
Sasa Sheikh Ponda sijui anasema Uislamu gani? Ifike kipindi sasa watu waache kutumia dini kuendekeza tabia zao za kipuuzi. Serikali iko sahihi kuweka umri wa ndoa kuwa miaka 18.
View attachment 2577735
Mtoto anaweza beba mimba?au unadhani ss waisilamu hatuwajui watoto mtoto wa kike kila mwezi anatokwa damu huyo bado mtoto labda kwa akili zako weweWanaume wa kiislamu wanatakiwa kupinga ndoa za utotoni
Hii ngumi nzito sana umempiga mkuu, bila shaka ni upercut ya chembe kidevu hiiHuwezi tenganisha Saudi Arabia na Uislamu, ile ni nchi ya kiislamu rasmi na ndo kitovu cha uislamu na ndo mana hata kuhiji waislamu wanaenda Saudi Arabia.
Kama ingekuwa Quran imesema mtu aoe au kuolewa akiwa mtoto basi wa kwanza kuzingatia walitakiwa wawe Saudia
Wewe mmanyema unaeenda kuhiji Macca Saudi Arabia kwa nini utake kuoa kitoto kidogo wakati unapoenda kufanya ibadan ya hijja wanatambua umri wa ndoa miaka 18?
Kwanza kupata mtu wa kuwaoa kazi hata usipo waruhusu watajiruhusu wao kwani nyege zinawasumbua wao sio wewe itawaona watoto kumbe walisha kuwa na mashimoVile ilivyo ngumu kumhubiri Mungu asiyebadilika kwa jamii inayobadilika
Ndivyo ilivyo ngumu kwa viongozi wa imani wasioona mabadiliko ya jamii kufundisha dini
Yaani spati picha mimi mama d nawezaje kuruhusu mabinti zangu waolewe wakiwa na miaka 14 ya kuzaliwa, yaani[emoji27][emoji27][emoji27]
Kwa mujibu wa dini ya kiislam mtoto anaweza kuolewa hata akiwa na miaka 6.Saudi Arabia si uislamu wala Qur'an. Ponda yupo sahihi kuhusu umri wa binti kuolewa kwa mujibu wa Dini ya kiislam ila hayupo sahihi katika dai la kuwa miaka 18 ni pendekezo la wakatoliki.
Miaka 14 kama anaziona siku zake kila mwenzi huyo sio mtoto labda kwenu nyiyi wakirisito ss waisilamu tayali huyo afaa kuolewaYaani unamkuta sheikh, kala kanzu safi na zile sendo zao na kakofia juu sigda imekubali, unasema bila shaka hapa kuna hekima na kuchukua mawili matatu, ukimsikiliza unakuta anatetea kuoa katoto ka miaka 14, aibu sana
Mkuu wa wilaya njombe katunga sheria kijana atakae simama na binti miaka 15 13 12 akamatwe lakini kashindwa alidhani anaweza kumchunga mtu anae sukumwa na nyege tena huko njombe ni wakiristo wenzio niliona ukitushambulia sana kama kwamba nyiyi wakirisito hanaga nyege au mabiti walio beba ujauzito ni watoto wa kiisilamu tuLa kufurahia mswada. Mabinti wadogo wa TZ wawe salama.
Hongera bwana elfu ishirini na tano qMiaka 14 kama anaziona siku zake kila mwenzi huyo sio mtoto labda kwenu nyiyi wakirisito ss waisilamu tayali huyo afaa kuolewa
Kwa nini asisome? Elimu ya sekondari ni bure sasa hivi. Kwa nini mtoto asisome?Hii ikipitishwa kuwa sheria naona itaongeza idadi ya single mothers, huko vijijini mabinti wakimaliza darasa la saba wakafeli wakae kusubiri wafike miaka 18.
Mimi mkristo lakini sheria nyingine kama hz naona hazina maana.
Alafu Tanzania sio Saudi Arabia kwanini unataka kutumia akili za mwenzako? Huna zako?
Humu kuna watu wameajiri housegirls under 18 na wanatembea nao, ni dhambi.
Kama binti kavunja ungo na hasomi, na ana uwezo kubeba majukumu yake kama mama, aachwe aolewe.
Sheria zipo ili zikivunjwa pawe na uhalali wa kuadhibu. Endekeza nyege, ukutwe na binti wa miaka 10, uadhibiwe.Mkuu wa wilaya njombe katunga sheria kijana atakae simama na binti miaka 15 13 12 akamatwe lakini kashindwa alidhani anaweza kumchunga mtu anae sukumwa na nyege tena huko njombe ni wakiristo wenzio niliona ukitushambulia sana kama kwamba nyiyi wakirisito hanaga nyege au mabiti walio beba ujauzito ni watoto wa kiisilamu tu