mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Sasa Issah Ponda ni Shehe , unataka afuate Quran au afuate Saudia ?
Vile ilivyo ngumu kumhubiri Mungu asiyebadilika kwa jamii inayobadilika
Ndivyo ilivyo ngumu kwa viongozi wa imani wasioona mabadiliko ya jamii kufundisha dini
Yaani spati picha mimi mama d nawezaje kuruhusu mabinti zangu waolewe wakiwa na miaka 14 ya kuzaliwa, yaani😰😰😰