Nimemsikia Sheikh Ponda akisema kuwa hakubaliana na Wizara ya Katiba na Sheria kupeleka muswada wa umri wa ndoa kuwa miaka 18

Kwa nini asisome? Elimu ya sekondari ni bure sasa hivi. Kwa nini mtoto asisome?

Acheni kutetea ujinga
mkuu mimi sitetei ujinga, ni hv nionavyo kama binti hasomi, na amepevuka na anaweza beba majukumu yake, tatizo ni nini ama kinatafutwa kitu gani?

Tanzania ni kubwa tofautisha mjini na vijijini, tofautisha mikoa kama Arusha na Kilimanjaro ambako kuna mwamko kielimu na mikoa mingineyo.

Sioni mantiki ya jambo hilo
 
Kama tunakubaliana kwamba chini ya miaka 18 ni mtoto, na kwamba kuoa mtoto hairuhusiwi.., tunabishana nini tena?
 
Hujui kitu, na ukitaka kujua fanya tafiti ujue hadithi ni nini.

Kama vile ktk bible ukiulizwa wapi Yesu kasema mimi yesu ni Mungu. Hutopata. Lkn yako maandishi ya Paulo yanayosema Yesu ndie mungu.

Sasa nikikwambia maneno ya Paulo ni uongo Uliotengenezwa utasema ninakana, naona aibu.?!?!

Hadhithi zimechezewa sana na ilivyochezewa biblia.

Yesu kazingiziwa Sana na biblia. Muhamad kasingiziwa mengi kupitia hadithi.

Quran imebaki kuwa safi na hatoweza kuchafua kwa kuwa imefungwa kwa code maalum
 
Hiyo miaka 14 ni mingi sana kwa mujibu wa imani ya wavaa kobazi....

Miaka ya Quran hata 6 ni fresh tu, kama mohamad alovyooa binti Aisha wa miaka 6 na akalala naye akiwa na miaka 9.

Mkuu haupo sahihi, aisha aliolewa akiwa na umri kati ya miaka 17 au 18 . Hyo miaka 6 ni uzushi tu baadhi ya vitabu vya sahihi bukhari vilidanganya
 
Tutanyukana mno humu jukwaani.Muumbaji alishaweka kila kitu wazi.Sasa sisi tumejiona tuna akili sana kuliko MUMBAJI,matokeo yake ndio haya,kila mtu anasema lake.
 
Kwa nini Asisome? Elimu ni bure,hakuna kisingizio tena. KWA NINI BINTI ASISOME SEKONDARI?

Mbona shule ya msingi unampeleka kwa lazima? Kwa nini sekondari usifanye hivyo pia?

This is 2023 for fucks sake... Elimu ya Sekondari inapaswa kuwa ya Msingi kwa kila mtu...hii ni karne nyingine, amkeni usingizini hii sio karne ya 7 ya mtume.

Narudia tena, Acheni kutetea Ujinga..
 
Kwanza ni mpotoshaji mkubwa anayejificha kwenye mwamvuli wa dini. Hana hoja yeyote zaidi ya upotoshaji
Uliwahi kufuatilia Hotuba ya Mhadhiri Nguli wa SHERIA ya Ndoa na Aliyekua Waziri wa Katiba na SHERIA Profesa Paramagamba Kabudi ?

Alishauri kuwa Haya mambo yanayohusu jamii na yanayogusa dini na Imani za watu yanafanywa Kwa tahadhari kubwa sana .

Lakini pia ni wazi kuwa Wanaharakati ni kati ya wasaliti wa kubwa wa jamii na nchi Kwa ujumla . Wanawaza matumbo yao sio jamii.

Tangu hizi harakati za makahaba zimeanza mpaka Sasa jamii imekuwa na mmomonyoka mkubwa sana wa maadili hivyo Kwa Sasa hatuko Tayari kabisa kuletewa agenda na mapepo wachafu ndani ya makahaba.

Kama Uingereza mpaka Sasa SHERIA yao inaruhusu Binti kuolewa na miaka 16 Sisi ni nani tusikilize vijambo vya makahaba wanaojiita Wanaharakati uchwara wanayopewa vimisaada ili wakaimarishe njia za kuelekea kwenye vyoo vyao.? SHERIA ya Ndoa Ina mambo ya kurekebisha lakini sio kuleta taharuki Kwa Waislam na jamii nzima hasa ya Wamasai ,Wahazabe, na makabila mengine vijijini.

Badala ya kuweka SHERIA ya kulinda ndoa na watoto ndani ya Ndoa. Kwa sana SHERIA ni kama inawabeba wale wanaovuruga ndoa za watu Kwa sababu wengi wanaovuruga ndoa za watu ni wale waliojifanya wanasoma sana na kuchelewa kuoa matokeo yake wanaoa au kuolewa na watu wasiowapenda na mwisho huishia kuvunja ndoa na kuwa masingle mother na masingle father Walevi.

Eti ndoa inavuunjwa Kwa sababu ya vipigo! ,ujinga mtupu. Ilikuaje Mrema Jeshi la mtu mmoja alipiga marufuku Mume kumpiga mkewe na nchi ikatulia kimya. Wanaume wakajikuta kwenye uzalishaji na sio kuwapiga wake zao? Komredi Poulo Makonda aliweza kuwajambisha waliokua wanatelekeza watoto na watu walianza kuufyata .

Kila jambo baya linaweza kudhibitiwa kama litasimamiwa na watu wenye Nia njema bila kujali maslahi nyuma yao. Alimradi jambo lenyewe ni baya ndani ya jamii na jamii hailikubali. Tudhibiti watu wanaofanya zinaa na kuvuruga familia za watu . Tutafute haki ya yule anayevunjiwa ndoa yake ili asije akafikia mahali pa kuua au kujiua . Au kuishi na stress. Mtu amekaa na mume au mke wake miaka 20 Kwa amani lakini ghafla Anakuja mtu na vijihela au cheo chake au umaarufu wake au ni mtu TU Aliyekua anamvizia mume au mke wa mtu Kwa muda mrefu anaingilia ndoa ya watu na anataka Sasa kujihalalishia kabisa na Haoni kabisa maumivu ya mtu Mwingine anayoyasababisha. Hawa ndio watu wa kutungia SHERIA Kali .
Ili hata hizo ndoa za mabinti wetu na Vijana wetu ziweze kudumu.
Kwa Sasa Vijana Hawaoi Kwa sababu Wana uwezo mdogo ,wanaogopa wakioa mabinti ambao ni Vijana wenzao watanyanganywa na wazee wenye pesa. Sasa hili ni hatari sana . Tunakua na Taifa Gani ! Utakua Binti ameamua kuolewa na kijana mwenzake ili watafute maisha wao wenyewe lakini ghafla anajitokeza jimama lenye pesa lingine lilikua na cheo SERIKALINI au mfanyabiashara la kudanga linaingilia ndoa ya kijana Kwa kutumia pesa. SHERIA iliyopo ni dhaifu na inasababisha jamii inaparaganyika.

Kuwa na ndoa zenye utulivu ni kuwa na Taifa tulivu. Usione kule Kenya na Afrika Kusini Kuna vurugu na maandamano ya mara Kwa Mara. Yote ni Kwa sababu Vijana wengi na watu wengi Wana migogoro na stress kwenye familia zao. Wengine hawana uhakika wa kuoa au kuolewa hivyo hawana Cha kupoteza. Mtu mwenye mke wake au mume wake anayempenda na watoto hawezi Kupiga Polisi mawe na kuchoma Barabara Kwa maslahi ya mtu Mwingine wakati hajalipwa chochote.

Sasa hii ya kukataza mabinti waliovunja ungo kuolewa Haliwezi kuwa na mashiko mana halitokani na jamii yetu Wala dini zetu za asili na za kigeni tulizo nazo Leo ,hivyo Haliwezi kuletwa TU kirahisi na watu wanaotafuta misaada Toka Kwa Mataifa yasiyo na Nia njema na jamii ya Kiafrika halafu tukalikubali.
 
Hakuna Mahali Paulo amesema Yesu ni Mungu. NARUDIA TENA, HAKUNA. Na hata nikikuambia unioneshe hapo mahali HUTOWEZA, kwa sababu Hapapo.

Pili, Bible haijachezewa... nikikutaka unionyeshe mahali Bible ilipochezewa HUTAWEZA kunionesha.

Mwisho kabisa, Sahih Al-Bukhar ni kitabu chenu mnachokiamini. Acha kukana maandishi yenu hata kama yanawatia aibu.

Hata waislam wenzako wanaokusoma hapa wanakubali kuwa Mohamad alioa mtoto wa miaka 6 na wanaiamini hiyo hadithi.

Umma wa waislam Ulimwenguni unaamini hiyo hadithi ya Aisha na Mohamad na huwa wanaitetea kabisa kujaribu kujustfy... wewe unakuja hapa unaikana?

Pia, Usirudie tena Kuifananisha Biblia na hivyo vipeperushi vyenu mnavyoita hadithi ambavyo nyie wenyewe mara mvikubali, mara mvikatae.

Narudia tena, ACHA KUTETEA UJINGA wa kuoa watoto.
 
Kuna kitu kinaitwa
'Situation ethics"
Ndio kinatakiwa kitumike hapo kwenye hilo swala.
 
Sipendi kuzungumzia sana historia. Kwani si kazi yetu sisi wanadamu kuisoma na kiubugu kama tunavyofanya, kutaka kukaza mishipa ya shingo kukutolea maandiko ya historia ambayo hayana msaada wowote kwetu kwa sasa.

Historia inafanya kazi kipindi hiki pale tu unapoona kwamba una matatizo, na tunachotakiwa kufanya ni kuchunguza njia ya kihistoria inayotumiwa duniani kote na wengine ambao walikuwa na matatizo sawa na yetu.

Na unapogundua wao jinsi walivyopata suluhisho wasi tukocopy kuumiza kichwa ni jinsi gani unaweza kupata masuluhisho ya kwaako..

Kama alivyokuwa Yesu, Muhammad pia hawakutaka kukariri historia walizozikuta. Walitaka wao watengeneze historia yao. Kwa maana nyingine badala ya sisi ya kulipa kazi ya kusema historia; sisi tunapaswa tuipe kazi historia ituandike.

We need to make history than read history.

Lakini tuelewane historia utakayoiandika leo baada ya 50 itakuwa imeshapotoshwa na waandishi kwa asilimia 99%.

Sawa na vitabu vya dini. Kalamu za waandishi zimeifanya kuwa uwongo. (Yeremia 8:8)

Kwa kuzingatia hilo Quran ikawekwa Code ili anaetaka kupotosha ajione mwenyewe yu mjinga.

sasa moja ya sifa ya hadithi ni lazima iendane na ayah ya quran. Ambayo hii haina mashaka. Pili moja ya sifa ya quran ibaendana na kanuni ya naumbile (universal). Aya zote ziko hivyo.

Sasa ukiona hadithi unapingana na kanuni za maumbile hizo ni hadithi bandia au hutumika neno Dhaifu.

Sahihi bukhari ni kitabu kilichotungwa miaka 200 iliyopita. Kinaweza kuwa na mapumgufu kwa bahati mbaya au yaliyotengezwa.

======
nijibu sasa imgawa siko tayari kuendelea na

Hakuna Mahali Paulo amesema Yesu ni Mungu. NARUDIA TENA, HAKUNA. Na hata nikikuambia unioneshe hapo mahali HUTOWEZA, kwa sababu Hapapo.

Tito 2:13 Warumi 9:5 Wafilipi 2:5

Pili, Bible haijachezewa... nikikutaka unionyeshe mahali Bible ilipochezewa HUTAWEZA kunionesha.
Yeremia 8:8

=======

Muhimu wasichana mwenye matamanio na aoelewe.

Hakuna kuendeleza zinaa na mkishajuana kuja kubariki ndoa kama mnavyopigania.
 
Utakuta msichana miaka 14 Hadi 16 kashaumuka tayari lakin kuolewa haitakiwi kwa mujibu WA SHERIA ya tanzania.

Lakin hapo hapo boda boda na wauza chipsi wakimpa mimba INAONEKANA kawaida tu

Ila kuolewa ndio hawataki kwa kuwa uislamu ndio unataka
 
Mkuu haupo sahihi, aisha aliolewa akiwa na umri kati ya miaka 17 au 18 . Hyo miaka 6 ni uzushi tu baadhi ya vitabu vya sahihi bukhari vilidanganya
Mtajuana wenyewe. Vitu vikiwa vya aibu mnasema vitabu vilidanganya!! Hicho chako cha miaka 17 hakijadanganya?

Hiyo dini yenu ina ujanja-ujanja mwingi sana. Unakataa kitabu chako kwa sababu tu kinaongea mambo usiyopenda kuyasikia?

Sahih Al-Bukhar inaaminiwa na waislam. Ni kitabu chenu, mmeandika waislam wenyewe. Na waislam wenzako huwa wanaikubali hiyo Story ya Aisha.

Pambaneni na hali zenu
 
Hiyo yeremia 8:8 yenyewe Haijachakachuliwa?

Kwa nini unaamini kitabu cha Yeremia kimechakachuliwa halafu hapohapo unabaki kuiamini hiyo Yeremia 8:8 ?

Kwa hiyo Walichakachua kitabu kizima cha Yeremia,ila walipofika kwenye 8:8 ndio wakapaacha hawakupachakachua hapo?

Unajielewa kweli ulichoandika?
Huwa mnajichanganya sana nyie watu kwa hizi hoja zenu za kuokoteza.
 
😁😁 wajanja hatuowi mashuga dada asikwambie mtu mabint wa under18 watamu sana
 
Sipendi kuzungumzia sana historia. Kwani si kazi yetu sisi wanadamu kuisoma na kiubugu kama tunavyofanya, kutaka kukaza mishipa ya shingo kukutolea maandiko ya historia ambayo hayana msaada wowote kwetu kwa sasa.

Historia inafanya kazi kipindi hiki pale tu unapoona kwamba una matatizo, na tunachotakiwa kufanya ni kuchunguza njia ya kihistoria inayotumiwa duniani kote na wengine ambao walikuwa na matatizo sawa na yetu.

Na unapogundua wao jinsi walivyopata suluhisho wasi tukocopy kuumiza kichwa ni jinsi gani unaweza kupata masuluhisho ya kwaako..

Kama alivyokuwa Yesu, Muhammad pia hawakutaka kukariri historia walizozikuta. Walitaka wao watengeneze historia yao. Kwa maana nyingine badala ya sisi ya kulipa kazi ya kusema historia; sisi tunapaswa tuipe kazi historia ituandike.

We need to make history than read history.

Lakini tuelewane historia utakayoiandika leo baada ya 50 itakuwa imeshapotoshwa na waandishi kwa asilimia 99%.

Sawa na vitabu vya dini. Kalamu za waandishi zimeifanya kuwa uwongo. (Yeremia 8:8)

Kwa kuzingatia hilo Quran ikawekwa Code ili anaetaka kupotosha ajione mwenyewe yu mjinga.

sasa moja ya sifa ya hadithi ni lazima iendane na ayah ya quran. Ambayo hii haina mashaka. Pili moja ya sifa ya quran ibaendana na kanuni ya naumbile (universal). Aya zote ziko hivyo.

Sasa ukiona hadithi unapingana na kanuni za maumbile hizo ni hadithi bandia au hutumika neno Dhaifu.

Sahihi bukhari ni kitabu kilichotungwa miaka 200 iliyopita. Kinaweza kuwa na mapumgufu kwa bahati mbaya au yaliyotengezwa.

======
nijibu sasa imgawa siko tayari kuendelea na

Hakuna Mahali Paulo amesema Yesu ni Mungu. NARUDIA TENA, HAKUNA. Na hata nikikuambia unioneshe hapo mahali HUTOWEZA, kwa sababu Hapapo.

Tito 2:13 Warumi 9:5 Wafilipi 2:5

Pili, Bible haijachezewa... nikikutaka unionyeshe mahali Bible ilipochezewa HUTAWEZA kunionesha.
Yeremia 8:8

=======

Muhimu wasichana mwenye matamanio na aoelewe.

Hakuna kuendeleza zinaa na mkishajuana kuja kama mnavyopigania.
Ibaki hivyo. Tusije ondoka mwenye
mada kuu.

Na ukitaka ushahidi wa hadithi ndio huo hadithi yyt isiyoendana na Quran, au maumbile hilo si andiko na mwongozo wa waislam hao ni kina luka na Theofilo ambao hata yesu hakumuona lkn nao ni mwanafunzi wake. Luka 1:1

Unaweza kuwandikia historia sahihi ya uhuru watoto wako ambapo wewe hukushuhudilia.
Historia haina maana yyt iwapo tutaamua kuiabudu.

Mjadala mkuu ni kutaka kutengeza historia ya watoto wetu

Na suala muhimu la kulijadili na pengine kulipigia kura ni je watoto wetu aruhusiwe kuoa au kuolewa huku zikiendelea kusoma au waendelee kufanya zinaa huku zikiendelea kusoma.

Bila shaka kura za maoni zitaakisi matenzo yetu tuliyoyashadidia na kutaka jamii yote iige.

Sisi wengine hatuko tayari kuoshi kwanza kwa kusomana na baadae kubariki ndoa. Si ktk mafundisho ya Elio au Allah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…