MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Tena Julius Malema si tu anatakiwa apewe Tuzo ya Ushujaa, Ukweli na Uthubutu dhidi ya Imperialists kwa Kuwachana 'live' bali anatakiwa Ajengewe Mnara katika kila nchi Barani Afrika.
Afrika ingekuwa na akina Malema Kumi ( 10 ) tu nina uhakika si tu ingefika mbali Kimaendeleo bali pia ingeheshimika na hata Kuogopeka na Wakoloni wetu.
Wote mnaomlaumu Malema kwa Kauli yake dhidi ya Bibi wa Ukoloni Barani Afrika ( sasa Marehemu ) hamna Akili.