MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Wewe popoma unafahamu nn kuhusu siasa?!Tena Julius Malema si tu anatakiwa apewe Tuzo ya Ushujaa, Ukweli na Uthubutu dhidi ya Imperialists kwa Kuwachana 'live' bali anatakiwa Ajengewe Mnara katika kila nchi Barani Afrika.
Afrika ingekuwa na akina Malema Kumi ( 10 ) tu nina uhakika si tu ingefika mbali Kimaendeleo bali pia ingeheshimika na hata Kuogopeka na Wakoloni wetu.
Wote mnaomlaumu Malema kwa Kauli yake dhidi ya Bibi wa Ukoloni Barani Afrika ( sasa Marehemu ) hamna Akili.
Malema nimemfuatilia miaka mingi sana, ndio mwafrika halisi asieyumbisha maneno..Tena Julius Malema si tu anatakiwa apewe Tuzo ya Ushujaa, Ukweli na Uthubutu dhidi ya Imperialists kwa Kuwachana 'live' bali anatakiwa Ajengewe Mnara katika kila nchi Barani Afrika.
Afrika ingekuwa na akina Malema Kumi ( 10 ) tu nina uhakika si tu ingefika mbali Kimaendeleo bali pia ingeheshimika na hata Kuogopeka na Wakoloni wetu.
Wote mnaomlaumu Malema kwa Kauli yake dhidi ya Bibi wa Ukoloni Barani Afrika ( sasa Marehemu ) hamna Akili.
Yule ana itikadi za ubaguzi hana tofauti na makaburuMalema nimemfuatilia miaka mingi sana, ndio mwafrika halisi asieyumbisha maneno..
Akina Malema wako wengi, ila tatizo ni kupata jukwaa la kuzungumzaTena Julius Malema si tu anatakiwa apewe Tuzo ya Ushujaa, Ukweli na Uthubutu dhidi ya Imperialists kwa Kuwachana 'live' bali anatakiwa Ajengewe Mnara katika kila nchi Barani Afrika.
Afrika ingekuwa na akina Malema Kumi ( 10 ) tu nina uhakika si tu ingefika mbali Kimaendeleo bali pia ingeheshimika na hata Kuogopeka na Wakoloni wetu.
Wote mnaomlaumu Malema kwa Kauli yake dhidi ya Bibi wa Ukoloni Barani Afrika ( sasa Marehemu ) hamna Akili.
Jamaa una akili saaanaTena Julius Malema si tu anatakiwa apewe Tuzo ya Ushujaa, Ukweli na Uthubutu dhidi ya Imperialists kwa Kuwachana 'live' bali anatakiwa Ajengewe Mnara katika kila nchi Barani Afrika.
Afrika ingekuwa na akina Malema Kumi ( 10 ) tu nina uhakika si tu ingefika mbali Kimaendeleo bali pia ingeheshimika na hata Kuogopeka na Wakoloni wetu.
Wote mnaomlaumu Malema kwa Kauli yake dhidi ya Bibi wa Ukoloni Barani Afrika ( sasa Marehemu ) hamna Akili.
We jamaa unakera sasa, omba kura kwenye jukwaa husika sio kutupostia kwenye kila uzi.Habari yako ndugu,
Pongezi kwa nakala nzuri yenye mawaidha na tija kwa jamii. Hakiki kila mmoja ni kioo cha jamii yake.
Ndugu, nikiamini katika uchakataji wako wa mambo na uwezo wako wa fikra na ubunifu, naomba ukipendezwa, nipate KURA, mawazo au mapendekezo yako juu ya nakala ihusuyo:-
SoC02 - Yafanyike haya kuikomboa NHIF
Chanzo: Picha na JamiiForums Yafanyike haya kuikomboa NHIF Katika kutekeleza dhima na dira ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya katika kutimiza majukumu ya utoaji wa huduma ya Afya kwa kuzingatia Dira ya Taifa ya Maendeleo (2025), Sera ya Afya ya mwaka 2007, Mpango Mkakati wa Tano wa Sekta...www.jamiiforums.com
Ahsante!!