umusuntiwawe
Member
- Jul 9, 2020
- 52
- 125
wananchi gani! hawa hawa wanaaotabikaka mtaani kwa kukosa ajira, kutoongezewa mishahara, kupotezwa na wasiojulikana?Mwaka huu wananchi watawaadabisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wananchi gani! hawa hawa wanaaotabikaka mtaani kwa kukosa ajira, kutoongezewa mishahara, kupotezwa na wasiojulikana?Mwaka huu wananchi watawaadabisha
Ndo maana nakwambia jielimishe, serikali kuu ndiyo inapeleka pesa za maendeleo majimboni na inaamua miradi gani ifanyike wapi, hujawai kujiuliza kwa nini kuna utofauti wa upatikanaji wa huduma za jamii miongoni mwa majimbo, huoni kwa sasa kila kitu kinaanza kufanyika Dodoma mbona huko nyuma hayajawai kufanyika.Hebu kwanza tuwekee hizo picha za hao wananchi walionuna na kujiinamia kwenye hiyo mikutano wakati wanawasikiliza hao Wabunge wao ili uaminike!
Kinyume na hapo, unastahili kabisa kudharauliwa.
Wanapinga kwa akiri na sio mataope kama hawa wa kwenu, jambo la kupinga wanapinga, na jambo la marekebisho wanafanya, na lile ambalo halina ubishi aidha wasapoti au wakae kimya. Huo ndio upinzani.
Lakini hawa wenu wao kila kitu wanapinga sasa lipi watasema wamepeleka kwa wananchi wakati yote walipinga?
Kambi lasmi bungeni ni kuweka mawazo mbadala au kusahihisha palipo na kosa, na sio kupinga kila kitu.
Sasa unapinga, alafu vinapofanyika unasema ni wewe,
Sasa ulivifanyaje wakati ulipinga?
yesu wa..........Nimesoma huu uzi nikagundu hauna hoja ya msingi lakini pia alieuleta hajui maana ya kambi ya upinzani bungeni
Endelea.kubudu na kumtukuza yesu
sasa kwa hoja hiyo kwa nini wabunge wanatoa ahadi wakati hawawezi kujenga chochote na je si tungechagua vichaa kwani yeyote anaweza kuikumbusha serikali! Kwa nini tunachagua wajuvi na welevu(chadema) wakati hata wewe ungeenda na pumba zako hizoNdo maana nakwambia jielimishe, serikali kuu ndiyo inapeleka pesa za maendeleo majimboni na inaamua miradi gani ifanyike wapi, hujawai kujiuliza kwa nini kuna utofauti wa upatikanaji wa huduma za jamii miongoni mwa majimbo, huoni kwa sasa kila kitu kinaanza kufanyika Dodoma mbona huko nyuma hayajawai kufanyika.
Mbunge kazi yake ni kusema tu, kuikumbusha serikali kuu kuwapatia pesa za maendeleo. Unajua kazi za wakurugenzi na wakuu wa wilaya ni zipi.
Mbunge hajengi barabara, mbunge hajengi hospitali, mbunge hasambazi maji simply pesa ya haya haipiti kwake. Fungu alilonalo LA jimbo si zaidi ya m5 kwa mwezi.
Wangapi wamefanya kama ulivyosema wewe wakaishia kuitwa sio wazalendoKambi lasmi bungeni ni kuweka mawazo mbadala au kusahihisha palipo na kosa, na sio kupinga kila kitu.
Sasa unapinga, alafu vinapofanyika unasema ni wewe,
Sasa ulivifanyaje wakati ulipinga?
Wangapi wamefanya kama ulivyosema wewe wakaishia kuitwa sio wazalendo
Mmepiga na kupigwa propaganda, hadi wenyewe mnaamini:Aliyekuwa Mbunge wa Bunda Mjini kupitia CHADEMA ndugu ESTER BULAYA nilimsikiliza kwa umakini sana wakati akiwahutubia wananchi wake.
Alijinasibu kuwa yeye simba jike alijinasibu kuleta maendeleo Bunda mjini ikiwemo maji, madawati, Barabara huku akiiponda serikali ya CCM.
Nilijiuliza sana mbunge huyu ambaye chama chake kila mara kilipiga kura ya kupinga bajeti ya serikali hayo anayoyasema yametekelezwa alipinga, wabunge wa Upinzani akiwemo ESTER BULAYA waliigomea bajeti wazi wazi. Kugomea bajeti maana yake ni kupinga maendeleo ya aina yoyote yasiende Tanzania yakiwemo na majimbo ya Upinzani ndio maana pamoja na kuongea kwa sauti za kiuanaharakati lakini wananchi hawakuonyesha ushirikiano.
Pamoja na kuonyesha bashasha wananchi walijiinamia yaani nguvu iliyotumika it was inversely proportional to the response.
Watu walionekana kujiinamia tu, CHADEMA walisahau kilichowafanya wapendwe na wananchi ni kuwatetea kuwapigania, kuwasemea matatizo yao, kuwaimbia matatizo yao.
Wananchi wa Nyamongo hawajasahau vile CHADEMA walikuwa upande wa Mabeberu wakimsaliti wazi wazi mpiganaji jemedari watu.
Ukipanda pumba utavuna pumba hivi ndivyo CHADEMA wakichokipanda wacha wakivune anguko LA chama hiki litakuwa la karne yaani Nina uhakika hakiwezi kupata hata Diwani mmoja
Magufuli aliimba tuunganeni tuijenge nchi nyie mnang'ang'ana kumshambulia kwa maneno ya kejeli wananchi mlikuwa mnawakera sana.
Hali niliyoieleza kwa ESTER BULAYA imetokea kwa HECHE, yaani wananchi hawana furaha wamenuna
Nawashauri CHADEMA wakitaka washinde walau majimbo machache waeleze Sera waache kumshambulia Magufuli na CCM watapotea kabisa tena hawataoneka
Magufuli na CCM ni tunu ya nchi kwa ss hatuna Budi kumuombea mpakwa mafuta wa bwana..
Jamani fungueni Cilp za Heche na BULAYA mtaona
Nani alikufundisha kuwa kutoiafiki bajeti maana yake ni kupinga maendeleo?Aliyekuwa Mbunge wa Bunda Mjini kupitia CHADEMA ndugu ESTER BULAYA nilimsikiliza kwa umakini sana wakati akiwahutubia wananchi wake.
Alijinasibu kuwa yeye simba jike alijinasibu kuleta maendeleo Bunda mjini ikiwemo maji, madawati, Barabara huku akiiponda serikali ya CCM.
Nilijiuliza sana mbunge huyu ambaye chama chake kila mara kilipiga kura ya kupinga bajeti ya serikali hayo anayoyasema yametekelezwa alipinga, wabunge wa Upinzani akiwemo ESTER BULAYA waliigomea bajeti wazi wazi. Kugomea bajeti maana yake ni kupinga maendeleo ya aina yoyote yasiende Tanzania yakiwemo na majimbo ya Upinzani ndio maana pamoja na kuongea kwa sauti za kiuanaharakati lakini wananchi hawakuonyesha ushirikiano.
Pamoja na kuonyesha bashasha wananchi walijiinamia yaani nguvu iliyotumika it was inversely proportional to the response.
Watu walionekana kujiinamia tu, CHADEMA walisahau kilichowafanya wapendwe na wananchi ni kuwatetea kuwapigania, kuwasemea matatizo yao, kuwaimbia matatizo yao.
Wananchi wa Nyamongo hawajasahau vile CHADEMA walikuwa upande wa Mabeberu wakimsaliti wazi wazi mpiganaji jemedari watu.
Ukipanda pumba utavuna pumba hivi ndivyo CHADEMA wakichokipanda wacha wakivune anguko LA chama hiki litakuwa la karne yaani Nina uhakika hakiwezi kupata hata Diwani mmoja
Magufuli aliimba tuunganeni tuijenge nchi nyie mnang'ang'ana kumshambulia kwa maneno ya kejeli wananchi mlikuwa mnawakera sana.
Hali niliyoieleza kwa ESTER BULAYA imetokea kwa HECHE, yaani wananchi hawana furaha wamenuna
Nawashauri CHADEMA wakitaka washinde walau majimbo machache waeleze Sera waache kumshambulia Magufuli na CCM watapotea kabisa tena hawataoneka
Magufuli na CCM ni tunu ya nchi kwa ss hatuna Budi kumuombea mpakwa mafuta wa bwana..
Jamani fungueni Cilp za Heche na BULAYA mtaona
Hivi huu ujinga huwa mnafundishwa wapi? Inaonekana kama vile kuna mahali huwa mnapelekwa then mafuvu yenu yanafumuliwa kichwa kinajazwa ujinga!Kambi lasmi bungeni ni kuweka mawazo mbadala au kusahihisha palipo na kosa, na sio kupinga kila kitu.
Sasa unapinga, alafu vinapofanyika unasema ni wewe,
Sasa ulivifanyaje wakati ulipinga?
Hivi huu ujinga huwa mnafundishwa wapi? Inaonekana kama vile kuna mahali huwa mnapelekwa then mafuvu yenu yanafumuliwa kichwa kinajazwa ujinga!
Kwani huwa hawaelezi kwanini wanapinga?Sioni ulichoweka hapa zaidi ya kutoa tusi tu,
Wewe unafikili upinzai ni kupinga tu ndo ulivyofundishwa?