Nimemsikiliza kwa umakini Ester Bulaya kisha John Heche, wanasikitisha sana na wanahitaji huruma

Hebu kwanza tuwekee hizo picha za hao wananchi walionuna na kujiinamia kwenye hiyo mikutano wakati wanawasikiliza hao Wabunge wao ili uaminike!

Kinyume na hapo, unastahili kabisa kudharauliwa.
Ndo maana nakwambia jielimishe, serikali kuu ndiyo inapeleka pesa za maendeleo majimboni na inaamua miradi gani ifanyike wapi, hujawai kujiuliza kwa nini kuna utofauti wa upatikanaji wa huduma za jamii miongoni mwa majimbo, huoni kwa sasa kila kitu kinaanza kufanyika Dodoma mbona huko nyuma hayajawai kufanyika.

Mbunge kazi yake ni kusema tu, kuikumbusha serikali kuu kuwapatia pesa za maendeleo. Unajua kazi za wakurugenzi na wakuu wa wilaya ni zipi.

Mbunge hajengi barabara, mbunge hajengi hospitali, mbunge hasambazi maji simply pesa ya haya haipiti kwake. Fungu alilonalo LA jimbo si zaidi ya m5 kwa mwezi.
 

Kwani wao ndio wanapeleka au chombo ambacho kinakusanya kodi zetu ndio kinapaswa kupeleka maendeleo

Wao kazi Yao ni kutoa mawazo mbadala ambayo ni bora and wanajitahidi Sana Sema ishu hawapewi nafasi ya kusikilizwa
 
Kambi lasmi bungeni ni kuweka mawazo mbadala au kusahihisha palipo na kosa, na sio kupinga kila kitu.
Sasa unapinga, alafu vinapofanyika unasema ni wewe,
Sasa ulivifanyaje wakati ulipinga?

Nambie hoja gani mbovu ya upinzani ambayo walitoa?

Which is better kuhamia dodoma au gharama za kuhamia dodoma ziende kwenye huduma za jamii?
 
sasa kwa hoja hiyo kwa nini wabunge wanatoa ahadi wakati hawawezi kujenga chochote na je si tungechagua vichaa kwani yeyote anaweza kuikumbusha serikali! Kwa nini tunachagua wajuvi na welevu(chadema) wakati hata wewe ungeenda na pumba zako hizo
 
Kambi lasmi bungeni ni kuweka mawazo mbadala au kusahihisha palipo na kosa, na sio kupinga kila kitu.
Sasa unapinga, alafu vinapofanyika unasema ni wewe,
Sasa ulivifanyaje wakati ulipinga?
Wangapi wamefanya kama ulivyosema wewe wakaishia kuitwa sio wazalendo
 
Mmepiga na kupigwa propaganda, hadi wenyewe mnaamini:
1) Kupinga bajeti ni kuonesha kutokubaliana na baadhi yavifungu vilivyopendekezwa na serikali. Ndio maana upinzani hutoa bajeti mbadala. Hili ni bunge la vyama vingi. Kura zikipigwa na bajeti ikapitishwa, haisemwi kwamba bajeti imepitishwa na wabunge wa ccm. Hapana! Ni bajeti iliyopitishwa na bunge, wakiwemo wabunge wa upinzani. Rais au mbunge au diwani akishachaguliwa, hatoi huduma kwa waliompigia kura za ndio tu, bali anahudumia wote. Na kwa kweli fedha inayotumika ni ya walipa kodi, pamoja na wapinzani na wasio na vyama. Unachodai hapa ni kitu ambachovwala hakipo.
2) Mabeberu? Wale waliotangaza kwamba tumeingia uchumi wa kati, halafu tukashangilia? Au mabeberu gani hasa?
 
Hii habari haina ukweli wowote ule mimi ni mkazi wa hapa bunda nashangaa unayoyasema cha msingi uchaguzi uwe huru na haki
 
2015 Kule bunda ilikua bora kumchagua bulaya kuliko wasira
 
Siasa za nchi ya dunia ya 3 ni personal investment haikuhitaji kuwa na elimu kubwa kulijua hili
 
Nilijiuliza sana mbunge huyu ambaye chama chake kila mara kilipiga kura ya kupinga bajeti ya serikali hayo anayoyasema yametekelezwa alipinga, wabunge wa Upinzani akiwemo ESTER BULAYA waliigomea bajeti wazi wazi. Kugomea bajeti maana yake ni kupinga maendeleo ya aina yoyote yasiende Tanzania kajipange upya. watanzania wanwaelewa sana .na kazi ya wapinzani ni wazi inaonekana .unataka na wao pia wawe wana shangilia kila kitu na kupiga makofi ?????
 
Nani alikufundisha kuwa kutoiafiki bajeti maana yake ni kupinga maendeleo?
 
Kambi lasmi bungeni ni kuweka mawazo mbadala au kusahihisha palipo na kosa, na sio kupinga kila kitu.
Sasa unapinga, alafu vinapofanyika unasema ni wewe,
Sasa ulivifanyaje wakati ulipinga?
Hivi huu ujinga huwa mnafundishwa wapi? Inaonekana kama vile kuna mahali huwa mnapelekwa then mafuvu yenu yanafumuliwa kichwa kinajazwa ujinga!
 
Hivi huu ujinga huwa mnafundishwa wapi? Inaonekana kama vile kuna mahali huwa mnapelekwa then mafuvu yenu yanafumuliwa kichwa kinajazwa ujinga!

Sioni ulichoweka hapa zaidi ya kutoa tusi tu,
Wewe unafikili upinzai ni kupinga tu ndo ulivyofundishwa?
 
CHADEMA itaendelea kuwepo moyoni mwa watu tuu.Hata CCM ishinde viti vyote vya udiwani na ubunge.

CCM imeshinda asilimia 1OO za uchaguzi wa serikali za mitaa,ila ndo kwanza CHADEMA haiwatoki mdomoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…