Nimemsikiliza Mayele kupitia Youtube Channel ya Azam TV, nadhani ana shida mahala

Nimemsikiliza Mayele kupitia Youtube Channel ya Azam TV, nadhani ana shida mahala

Kua real sio kuropoka acha ujinga, unawezaje kusema waarabu sio watu wazuri wakati huo huo umeajiliwa na waarabu unaishi kwao kila kitu unapata kutoka kwao! anasema hua hakai kwenye timu msimu zaidi ya miwili wakati hata mmoja haja maliza na ali sign miaka mitatu maana yake coach aanze kumtoa kwenye mipango yake au ili iweje? Mbappe huyo apo inafahamika anaondoka PSG lakini anasema msimu ukiisha ndio ataongea hatima yake
Umekula UPORO WAKO kwa SHEMEJI yako unakuja tukana watu..

Waarabu na wahindi Nani asie wajua ??! hio race huwa inapenda kuajir CHEAP LABOUR cc. Kalaga baho
Kwa taarifa yako ukijielewa huwezi kaa kwa mwaarabu na muhindi for your information MAYELE amesha jipata

Unafananisha TIMU Kama PSG na Timu za third world countries?? Brain your eyes 🧠

Tatizo lenu wengi Ni mbumbumbu na hamtaki kujifunza mayele kasema yake ya moyoni wewe unambishia

Unakuta mtu anakuatack from know where, LOW MIND , POOR IQ na kitu pekee anacho MILIKI NI BEGI LAKE LA NGUO na Cha zaidi anacho nizidi PEKEE Ni Ujinga alio ubeba kichwani mwake..
 
Umekula UPORO WAKO kwa SHEMEJI yako unakuja tukana watu..

Waarabu na wahindi Nani asie wajua ??! hio race huwa inapenda kuajir CHEAP LABOUR cc. Kalaga baho
Kwa taarifa yako ukijielewa huwezi kaa kwa mwaarabu na muhindi for your information MAYELE amesha jipata

Tatizo lenu wengi Ni mbumbumbu na hamtaki kujifunza mayele kasema yake ya moyoni wewe unambishia

Unakuta mtu anakuatack from know where, LOW MIND , POOR IQ na kitu pekee anacho MILIKI NI BEGI LAKE LA NGUO na Cha zaidi anacho nizidi PEKEE Ni Ujinga alio ubeba kichwani mwake..
Hata waajiri wake wa Sasa ni waarabu hapo vipi?
 
Itakuwa unashida mahala ndugu yangu.

YANI KABISA SERIOUS UNAKAA UNAMSIKILIZA MAYELE ALMOST SAA LIZIMA.

Sikiliza watu wa maana Wanaoweza kukusaidia kimaisha na kupata Mawazo mapya Mbadala.

BINAFSI HUWA NAWASOMA NA KUWASIKILIZA ZAIDI HAWA WAFUATAO.

Myres manroe.
Barbar Onelly
Julius Nyerere.
artin Luther King Jr.
Tony Robbins
John F. Kennedy
Winston Churchill
Mahatma Gandhi
Nick Vujicic
Abraham Lincoln
Brian Tracy
Nelson Mandela
Oprah Winfrey
Eric Thomas
Margaret Thatcher
Robin Sharma
Zig Ziglar
Barack Obama
Chris Gardner
Jim Rohn
Les Brown
Ronald Reagan
Simon Sinek
Socrates
Brené Brown
Darren Hardy
😂😂😂....unajifunza philosofi au uongozi mkuu? Don't be that seriousl. Wapuuzi pia Wana haki ya kusikilizwa
 
Hata waajiri wake wa Sasa ni waarabu hapo vipi?
Issue sio waajir wala Nini MAYELE anaangalia maslahi yake kwa Ile confidence yake kwa ma boss wake wa pyramids Hana Cha kupoteza..

wewe Ni kijana mwenzangu SIKU ingine kwenye deals wewe angalia masilah yako sio KUCHEKA CHEKA na KIMA wahenga wanasema UTAVUNA MABUA

Mimi kama kijana nimemsikiliza MAYELE kwa umakini ame speak his MIND naamini yupo sahihi kwa upande wake
 
Katika mahijiano ya Dakika 50 na sekunde 3 aliyofanyiwa na Azam TV ambayo yameonyeshwa kwenye youtube channel ya kituo hicho, Fiston Mayele ameongea mambo kadhaa, lakini mimi nimeamua kuongelea suala lake la mahusiano na timu aliyoichezea, yaani Yanga pamoja na anayoichezea hivi sasa, yaani Pyramids FC.

Katika mahijiano hayo, Mayele ameonyesha kukerwa na comments za mashabiki wawili au watatu dhidi yake au familia yake na kuamua kuibebesha lawama timu nzima ya Yanga kwa comments za watu hao.

Mayele anasema alipojiunga na Yanga alipewa mkataba na aka sign, ali sign sababu alikuwa hajui kiingereza, Manager wake alikuwa hajui Kiingereza na alikuwa anachekacheka tu.

Ulipoisha msimu wa kwanza, ndipo akasmua kubadili Manager na kumtumia Jasmine ambaye kwanza alishangazwa na ule Mkataba. Akasimamia ubadilishwe, akaongezwa mshahara pia ukampa uhuru wa kuondoka ikitokea club inamhitaji.

Amesema aliahirisha kusema live alichotaka kusema sababu Tanzania ameacha watu wake (familia) ila ameshauriana na Jasmine kwamba mwisho wa msimu ndiyo aongee kila kitu.

Hayo sikuona kuwa ni big issue kivile, kilichonistua na alipoiponda hadi timu aliyoichezea sasa. Mayele anasema alipewa Mkataba na Pyramids FC, mkataba ule Jasmine akaukataa, kwa maelezo yake Mayele akasema “waarabu ni wahuni kama usupotumia akili watakukandamiza”.

Hii kauli inatosha sana kumuweka Mayele katika sintofahamu na maboss wake hao wa sasa.

Mayele anaonekana ni mtu anayependa sana social media na attention zake, siyo mbaya ila, anapaswa kuelewea negative na positive effects za social medias. Hivyo awe mwangalifu sana na aongeacho.

Wana Yanga waliokwazika na Mayele ningewashauri wasiyabebe hayo, ni kijana anajipigania, pia kati ya vitu vinavyopelekea kuwa na kauli zile ni limits aliyo nayo katika uelewa na matumizi ya lugha ya kiswahili. Anajifunza Kiswahili the hardway hali inayompelekea kutoa kauli zinazoonekana kuwa ni kero, kukosa ustaarabu n.k ila yote ni sababu ya kuwa na ufinyu wa uelewa wa lugha anayoitumia, maana anajifunza kurusha ndege huku akiendelea kufanya assembling.

Kama angetumia lugha ya kwao au Kifaransa kamwe asinge strugle. Hivyo muleweni tu na mumuache aendelee na maisha aliyoyachagua.
Viongozi wa Simba ni watu wa ajabu sana, jana nlikuwa nasikiliza EFM kipindi cha michezo yaani watangazaji wanagombana!

Kuna kikundi cha watangazaji wanaolipwa na MO wanatetea ugali wao na kuna wanaolipwa na viongozi kila mtu anamtetea sponsor wake, mpaka mmoja akawa anasema jana yake alikuwa na kiongoz wa Simba wanachek naye game[emoji3][emoji3]

Na hili la Mayele nahisi naye kapewa chake, yaani viongozi wanawekeza kwenye propaganda kuliko kwenye timu[emoji1787][emoji1787][emoji56]
 
Umekula UPORO WAKO kwa SHEMEJI yako unakuja tukana watu..

Waarabu na wahindi Nani asie wajua ??! hio race huwa inapenda kuajir CHEAP LABOUR cc. Kalaga baho
Kwa taarifa yako ukijielewa huwezi kaa kwa mwaarabu na muhindi for your information MAYELE amesha jipata

Unafananisha TIMU Kama PSG na Timu za third world countries?? Brain your eyes [emoji3447]

Tatizo lenu wengi Ni mbumbumbu na hamtaki kujifunza mayele kasema yake ya moyoni wewe unambishia

Unakuta mtu anakuatack from know where, LOW MIND , POOR IQ na kitu pekee anacho MILIKI NI BEGI LAKE LA NGUO na Cha zaidi anacho nizidi PEKEE Ni Ujinga alio ubeba kichwani mwake..
Kwanini watu wajinga mna confidence sana? Mayele ametoka kwa GSM mwarabu kaenda Pyramid kwa waarabu na tetesi zinasema anakuja kwa Mhindi Mo sasa unaongea nini? alf kama unaona kukaa kwa shemeji ni rahisi nanda kakae na wewe uone
 
Issue sio waajir wala Nini MAYELE anaangalia maslahi yake kwa Ile confidence yake kwa ma boss wake wa pyramids Hana Cha kupoteza..

wewe Ni kijana mwenzangu SIKU ingine kwenye deals wewe angalia masilah yako sio KUCHEKA CHEKA na KIMA wahenga wanasema UTAVUNA MABUA

Mimi kama kijana nimemsikiliza MAYELE kwa umakini ame speak his MIND naamini yupo sahihi kwa upande wake
Kifupi wewe ni mpumbafu ila hujijui, Maslahi gani kwani halipwi mshahara wake?
 
Kwanini watu wajinga mna confidence sana? Mayele ametoka kwa GSM mwarabu kaenda Pyramid kwa waarabu na tetesi zinasema anakuja kwa Mhindi Mo sasa unaongea nini? alf kama unaona kukaa kwa shemeji ni rahisi nanda kakae na wewe
That reminds me of our proverb Which says that " An Elephant 🐘 that swims in coconut oil doesn't use ATM to buy meat from the pharmacy.🙂
 
Anaijua Yanga ...keshacheza...na waganga wa Timu anawajua...anawalalamikia kwanini wanataka kumshughulikia kisa kahama Tu Yanga?
Kama unakumbuka mayele alishaandika kuwa amenyimwa visa ya south africa kimizengwe ili tu asiende na timu yake kucheza na mameoldy na kocha wa mamelody alimjibu kuwa Mayele aachane na maisha ya mtandaoni...kila mmoja aliishangaa mno kauli ile yaani mamelody aiogope pyramids kweli ?
 
Hao watu ni "waganga wa timu"... kwahiyo club inahusika.....
Ushirikina WA Yanga uko so openly
Kuna clips za Aziz Ki anatoa sadaka ya coins kwenye uwanja sijui mkoa gani.......Yanga wanasifika Sana Kwa ushirikina toka miaka ya 60s.....Mayele anaongea anataka club iwabane hao waganga...anawajua keshafanya kazi nao ...
We ni jamaa ni mjinga sana tena sana
Vipi simba walivyotaka kuchoma moto vs orlando tena wazi wazi ugenini

Timu zote Tanzania zinaamini kwenye ushirikina tuacheni unafki juzi tu hapa simba vs mashujaa chamazi mshabiki wa simba kaenda kuchimbua kitu na kuondoka na taulo la kipa wa mshujaa mpaka tff imemsimamisha

Acha unafki we mtu mzima kama uchawi ungekua una nguvu nigeria ingekua inachukua worldcup kila siku
8287A749-F053-4392-A40E-2CD1E75FA187.jpeg
 
Pamoja na ujinga wa Mayele ila timu za Africa esp huku kwetu chini ya jangwa la sahara wakishajua tu huelewi mambo ya mikataba au lugha na mwakilishi wako haelewi unaweza umizwa mno.
 
Haya ndio maneno wabongo wanapenda huku wanajifanya kukwazika. Kama mmeshamwona ni mwezi mchanga mnamfuata wa nini kumhoji? Mnatafuta nini kwenye page zake? Si alishaondoka timu yenu na nchi yenu? Ninyi ndio hamnazo. Halafu kule mnakowapeleka wachezaji wakati wa mechi ngumu kumbukeni siku wakiondoka kwenye timu zenu hizo Siri wanazitoa. Sio wachezaji wote Wana tamaduni hizo wengine wanafanya kwa kulazimishwa na kulinda ajira zao. Halafu siku ya mechi. Eti tumwbe Mungu huku mnajua mambo ambayo meshafanya ambayo hayamuhusishi mungu
 
Mimi nilikua naangalia jana na nilifanikiwa kuangalia ile interviwe kwa muda wa dakika 30 kabla ya mechi ya Yanga haijaanza.

Nilichokigundua kwa Mayele. Anapenda attention sana halafu yuko very short tempered. Comments za Instagram kila star anasemwa lakini yeye anazichukulia very personal. Lakini pia kuna muda anavyoongea ni kama anajivunia sana na mshahara anaolipwa yan ni kama vile unampa kiburi sana.

Pia nikashangaa hilohilo lililokushangaza wewe. Kuwaongelea vibaya waarabu na wakati bado anacheza hukohuko kwao. Hajajifunza kilichomkuta Lukaku akiwa Chelsea.
Yote ktk yote, hapo ulipozungumza kuhusu mshahara umezungumza penyewe, jamaa ni kama anajiona ameshayaweza maisha.
 
Simba wanachezeshwa Danganya Toto , kanyaboya
na wanapotezwa maboya ila hawaelewi.

Mangungu kawekwa na Selikali.

Try agian kawekwa simba na selikali.

Mayele kapiga hela ndefu sana kuwahadaa wana simba na wamehadaika vibaya.
 
Pamoja na ujinga wa Mayele ila timu za Africa esp huku kwetu chini ya jangwa la sahara wakishajua tu huelewi mambo ya mikataba au lugha na mwakilishi wako haelewi unaweza umizwa mno.
Wachezaji wengi wa kigeni wanapokuja Tanzania wanakua wamekaa mda mrefy bila kuwa na timu wengi ni free agent wengine wamekaa miezi sita hawana timu na wengine hata mwaka sasa mtu amekaa mda mrefu bila timu unampaje mkataba mzuri mda mwingine hizi timu zinalaumiwa bure tu

Mayele angekua mchezaji mzuri congo asingekuja Yanga in first place angeenda timu kubwa zaidi ya yanga huo ndo ukweli
 
Simba wanachezeshwa Danganya Toto , kanyaboya
na wanapotezwa maboya ila hawaelewi.

Mangungu kawekwa na Selikali.

Try agian kawekwa simba na selikali.

Mayele kapiga hela ndefu sana kuwahadaa wana simba na wamehadaika vibaya.
Kupitia sakata la mayele mashabiki wa simba wameshasahau kwamba wametolewa kombe la FA ni propaganda wanafanya
 
Back
Top Bottom