MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Kama unapima kufaulu kwa Tanzania kwa kuilinganisha na nchi nyingine za kiafrika ambazo ni masikini na zilifeli kisiasa basi utakuwa na matatizo makubwa. Hivyo kwasababu nchi nyingine za Afrika hazikufauli basi jaribio la Ujamaa la Mzee Nyerere lisilaumiwe. Kiutaalamu hii tunaiita Tu QuoQue Fallacy....Ni wapi Afrika ambapo hapakuwa na "Ujamaa" ambako walinemeka sana! Unapokuwa kama santuri mbovu, wakati mwingine mikwaruzo hiyo pia hulainika na mara moja moja kunyoosha wimbo kwa usahihi. Hii ya kwako imegota moja kwa moja, vipi?
Katika watu ambao ni hatari kwa maendeleo, ustawi na mustakabali wa taifa hili ni hawa wazee wa Cold-War.
Jaribio lao la Ujamaa lilifeli vibaya na nchi ikaangukia pua, lakini nashangaa kwanini bado tunawasikiliza tu.
Ni wapi Afrika ambapo hapakuwa na "Ujamaa" ambako walinemeka sana! Unapokuwa kama santuri mbovu, wakati mwingine mikwaruzo hiyo pia hulainika na mara moja moja kunyoosha wimbo kwa usahihi. Hii ya kwako imegota moja kwa moja, vipi?

Mzee anayoosha maelezo, safi sana. Hivi ushenzi aliofanya Makonda ni mtu wa kuwa uraiani?1. Tanzania bado ina Viongozi Waonevu na bahati mbaya tena wengine bado tu wanarandaranda Mitaani na sijui kwanini hawagusiki na wanaogopwa na wenye Kuwawajibisha.
2. Tunataka Katiba Mpya je, yale yaliyopo Katiba iliyoko tumeyatekeleza hata kwa 75%?
3. Taifa letu sasa lina Watu Wanafiki ambao wakiwa Vichochoroni wananung'unika ila wakiwa mbele ya Viongozi wao wananyamaza.
4. Vijana wa Leo nchini Tanzania ni Waoga watupu.
5. Viongozi wanaotishia Watu wanaowakosoa ni Wasaliti wa Katiba yetu na kamwe hawatufai.
6. Vyombo vya Habari vya Tanzania siku hizi haviibui Mambo ya Kuwaamsha Wananchi kuhusu nchi yao, bali vinaibuliwa Mambo na Watawala kwa yale wayatakayo Wao.
7. Tujitahidi sana Kuwaheshimu Viongozi ( Watawala ) wetu hata kama kuna wanaotukwaza kwani ni Sisi hawa hawa ndiyo tumewaweka Madarakani walipo na kama tukitaka Kuwakosoa basi tuwakosoe kwa Staha na huu ndiyo umekuwa ( uwe ) Ustaarabu wa Watanzania.
Ninakuombea Uhai mrefu Mzee Butiku.
Utakuwa jinsia ya tatu weweHata Lisu ni muog tu ndiyo maana alijificha kwenye ubalozi na kisha kukimbiza ubawa wake Ubelgiji.
Inawezekana ujamaa ulifeli kama unavyodai. Hili ni suala linalohitaji mjadala mpana. Ulifeli kwa vigezo gani. Mfano mmoja idadi ya viwanda vilivyojengwa kipindi hicho huoni ilikuwa hatua nzuri kuelekea katika kujenga msingi wa Tanzania ya viwanda.Katika watu ambao ni hatari kwa maendeleo, ustawi na mustakabali wa taifa hili ni hawa wazee wa Cold-War.
Jaribio lao la Ujamaa lilifeli vibaya na nchi ikaangukia pua, lakini nashangaa kwanini bado tunawasikiliza tu.
Inawezekana ujamaa ulifeli kama unavyodai. Hili ni suala linalohitaji mjadala mpana. Ulifeli kwa vigezo gani. Mfano mmoja idadi ya viwanda vilivyojengwa kipindi hicho huoni ilikuwa hatua nzuri kuelekea katika kujenga msingi wa Tanzania ya viwanda.
Pamoja na upungufu wa sera hiyo suala moja tunakubaliana. Tulifanikiwa kujenga taifa moja ambalo tofauti za kikabila, kijimbo, na kidini zilipungua na kukosa nguvu ya kutawala maisha ya watanzania. Matokeo yake amani na utulivu vimetamalaki kiasi kwamba anayetaka kufanya siasa kwa kutumia vigezo hivyo hatoboi pamoja na changamoto za katiba iliyopo.
Huyo mzee ni mjinga sana unajua,anavyokuka hela za wakfu wa mwl nyerere?1. Tanzania bado ina Viongozi Waonevu na bahati mbaya tena wengine bado tu wanarandaranda Mitaani na sijui kwanini hawagusiki na wanaogopwa na wenye Kuwawajibisha.
2. Tunataka Katiba Mpya je, yale yaliyopo Katiba iliyoko tumeyatekeleza hata kwa 75%?
3. Taifa letu sasa lina Watu Wanafiki ambao wakiwa Vichochoroni wananung'unika ila wakiwa mbele ya Viongozi wao wananyamaza.
4. Vijana wa Leo nchini Tanzania ni Waoga watupu.
5. Viongozi wanaotishia Watu wanaowakosoa ni Wasaliti wa Katiba yetu na kamwe hawatufai.
6. Vyombo vya Habari vya Tanzania siku hizi haviibui Mambo ya Kuwaamsha Wananchi kuhusu nchi yao, bali vinaibuliwa Mambo na Watawala kwa yale wayatakayo Wao.
7. Tujitahidi sana Kuwaheshimu Viongozi ( Watawala ) wetu hata kama kuna wanaotukwaza kwani ni Sisi hawa hawa ndiyo tumewaweka Madarakani walipo na kama tukitaka Kuwakosoa basi tuwakosoe kwa Staha na huu ndiyo umekuwa ( uwe ) Ustaarabu wa Watanzania.
Ninakuombea Uhai mrefu Mzee Butiku.
unamuwaza sana Lissu kuliko hata unavyomuwaza Mume wako.Uhuru gani lisu anapigwa risasi 30halafu mnasema kuna uhuru haki hekima na upendo ???
Unaona iulivyo mpuuzi?Kama unapima kufaulu kwa Tanzania kwa kuilinganisha na nchi nyingine za kiafrika ambazo ni masikini na zilifeli kisiasa basi utakuwa na matatizo makubwa. Hivyo kwasababu nchi nyingine za Afrika hazikufauli basi jaribio la Ujamaa la Mzee Nyerere lisilaumiwe. Kiutaalamu hii tunaiita Tu QuoQue Fallacy....
NB: We start to measure the level of inequality within a state, before measuring level of inequality among states.
Kwani Nyerere na "Ujamaa" wake aliondoka lini kwenye serikali?Ghana walimtimua Nkurumah mapema na siasa zake za ujamaa uchwara wakayumba kiasi ila wakarudi kwenye mstari kama Taifa linalojielewa.
Kwani Nyerere na "Ujamaa" wake aliondoka lini kwenye serikali?
Kwani Ghana wamepata ahueni kiuchumi miaka mingapi iliyopita baada ya Nkrumah?
Pamoja na hayo, huwezi kuitolea mfano Ghana kama nchi iliyofanikiwa kiuchumi.

Mzee Butiku na Mzee Warioba wamebaki kuwa sauti za nyikani tu, hawasikilizwi na hao watawala wala hawawanyimi usingizi. Wamekuwa ni watu wa kupuuzwa tu!
"Ikituacha mbali sana"? Kwa sababu ya 'Ujamaa" wa Nyerere?Baada ya dikteta mjaama Nkurumah kuondolewa Ghana 1966 kwa mapinduzi nchi iliingia katika kipindi kirefu cha madikteta wa kijeshi kabla ya kurudi kwenye utawala wa demokrasia 1992 na tangu hapo nchi hiyo imepiga hatua kubwa katika demokrasia na uchumi ikituacha mbali sana.
Nilikuona zamani mkuu Yoda na mfano huo. Sikutaka tu kuujibia.Kama hutaki Ghana chukua Botswana