MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Kama unapima kufaulu kwa Tanzania kwa kuilinganisha na nchi nyingine za kiafrika ambazo ni masikini na zilifeli kisiasa basi utakuwa na matatizo makubwa. Hivyo kwasababu nchi nyingine za Afrika hazikufauli basi jaribio la Ujamaa la Mzee Nyerere lisilaumiwe. Kiutaalamu hii tunaiita Tu QuoQue Fallacy....Ni wapi Afrika ambapo hapakuwa na "Ujamaa" ambako walinemeka sana! Unapokuwa kama santuri mbovu, wakati mwingine mikwaruzo hiyo pia hulainika na mara moja moja kunyoosha wimbo kwa usahihi. Hii ya kwako imegota moja kwa moja, vipi?
NB: We start to measure the level of inequality within a state, before measuring level of inequality among states.