Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Magufuli alidhibitisha hilo, ndio maana akaachana na umeme wa gas na kuwekeza kwenye umeme wa maji.Gas siyo yetu kivipi? Tupe uthibitisho na ushahidi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magufuli alidhibitisha hilo, ndio maana akaachana na umeme wa gas na kuwekeza kwenye umeme wa maji.Gas siyo yetu kivipi? Tupe uthibitisho na ushahidi?
Alithibitishaje? Alikuonesha mkataba? au alikulisha maneno tu?Magufuli alidhibitisha hilo, ndio maana akaachana na umeme wa gas na kuwekeza kwenye umeme wa maji.
Yeye alikuwa rais na ndio mwenye access na hiyo mikataba, na alitamka hilo hadharani. Kwanini hukujitokeza umuombe mkataba?Alithibitishaje? Alikuonesha mkataba? au alikulisha maneno tu?
Kwani Rais sio binadamu kama wewe? Hawezi kuongopa? hawezi kuwa na hisia? Umeshawai kunisikia nikisema kweli gesi ya mtwara imeuzwa?Yeye alikuwa rais na ndio mwenye access na hiyo mikataba, na alitamka hilo hadharani. Kwanini hukujitokeza umuombe mkataba?
Hata kwenye gesi mlisema hivyo hivyo, Leo mmebakia kukopa madeni. Wadanganyeni wengine.Tangu mjadala wa makubaliano ya Tanzania na Dubai kuhusu masuala ya uwekezaji ikiwemo bandari uanze, hadi sasa sijaona mtu aliyesema kuhusu ubaya wowote wa kipengele cha mkataba na akakidadavua vizuri kisheria nikamuelewa.
Mimi ni mwanasheria, nimesoma mkataba, nimesoma maelezo ya Serikali kuhusu mkataba kusema kweli sijaona hoja za wanaopinga zaidi ya kuelezea hofu zao na tahadhari zao.
Leo nimemsikiliza Padre Kitima ambaye nae pia ameelezea hofu yake kuhusu mkataba ikiwemo vifungu kadhaa. Kusema kweli hakuna alipoweza kusema kuhusu mapungufu ya kipengele chochote zaidi ya kuelezea hofu yake na kuweka tahadhari
Padre Kitima ameelezea kuhusu suala la Ardhi na kusema kweli hakuna sehemu katika mkataba paliposema mwekezaji atamilikishwa ardhi. Nilitegemea atakisema hicho kifungu na kukisoma ila nimemsikiliza zaidi nimeona nae kapiga siasa tu. Kwa nilivyokisoma kifungu cha 8 (3)(b) cha mkataba kimesema wazi haki za kutumia ardhi zitatolewa kwa mujibu wa Sheria na taratibu zetu na inajulikana kwenye sheria zetu mwekezaji hapewi haki ya kumiliki ardhi ila haki ya matumizi tu ya ardhi kwa ajili ya uwekezaji( derivative right)
kuhusu ulinzi na usalama wa bandari. hakuna kipengele chochote kwenye mkataba kilichosema mwekezaji atasimamia masuala ya ulinzi na usalama katika bandari. hata mwekezaji aliyepita tics aliyekuwa anaendesha sehemu ya bandari yetu hakuwahi kusimamia masuala ya ulinzi na usalama. Hapa pia Padre wangu Kitima ameelezea hofu tu na wala sio ubaya wa mkataba kwa kudadavua vizuri
Kuhusu Serikali kuwataarifu Dubai kuhusu fursa zingine za uwekezaji (Ibara ya 4) kusema kweli sijaona tatizo lolote kuhusu kifungu hiki. Ningeelewa kuwa kuna tatizo juu ya hichi kifungu endapo kingesema Serikali italazimika kuwapa maeneo hayo baada ya kuwataarifu. Sioni tatizo lolote kuhusu mtu kutaarifiwa tu kuhusu fursa zilizopo. Kwenye hili naona tafsiri isiyo sahihi na hofu isiyokuwepo inayolazimishwa kuwepo.
Mwisho ameelezea sehemu wawekezaji hawa walipofanikiwa na kuna sehemu amesema hawajafanikiwa. Hili sioni kama ni hoja maana mifano mizuri inaweza kuwa kwetu
Mwisho Padre Kitima amesema kuhusu Loliondo. Kusema kweli hapa naona amekuwa mwanasiasa maana sioni hoja yake kuhusu watu waliopelekwa msomera kulalamika kwa sababu hata kwa watumishi wa Umma waliopelekwa Dodoma wapo waliolalamika na kusema wanapata changamoto Dodoma! Sasa ninachojiuliza ni Je kwa wale waliolalamika inamaanisha zoezi la kuwahamishia watumishi wa serikali Dodoma halikuwa zoezi zuri lenye maslahi mazuri kwa nchi?
Mkataba ni baina ya serikali na Dubai.Tunaitakia serikali utekelezaji mwema wa mkataba huu baina ya serikali na DP world
Wewe unawaza uchaguzi tu. Siasa haziendi hivyo. Unawaza 2030 wakati hata hujui mwezi ujao utakuwaje?.Afaddhalli viongozi wa dini wameketi chini na angalau kuthubutu kudadavua na kuishauri serikali kwa uchache kuhusu Bandari, better wameungana na miongoni mwa waTz kuonyesha hofu. Vyama vya Siasa na taasisisi za kiraia vipo kimya haijulikani wanaunga mkono ama wanapinga. Sijui, labda wanajipanga. Kwa style hii 2025 njia ni nyeupe na nyepesi mno kwa Mama kurejea Mamlakani. Na 2030, vilevile yeyote atakae simamishwa na ruling party atashinda kwa kishindo kwasabb atakua mpya while opposition still watakua ni walewale wagombea Urais wa miaka yote.
Wanaogopa tangu historia mbaya ya serikali. Mkataba wa NBC, Mkataba wa Netsolutions na Tanesco, Mkataba wa TRL na Serikali, mkataba wa bomba la gesi, IPTL etc yote hayo yalishindikana. Lazima wanachi wawe na hofu. Wewe Kama huna hofu utakuwa mnafiki au chawa.Kila siku Huwa nawaambia Wajamaa ni watu wajinga sana na msingi wa mambo Yao Huwa ni hisia hasi na kujihami mda wote,wanachoogopa Wala hakieleweki
Gas ingekuwa yetu tungekopa kila siku?.Gas siyo yetu kivipi? Tupe uthibitisho na ushahidi?
sawaWewe unawaza uchaguzi tu. Siasa haziendi hivyo. Unawaza 2030 wakati hata hujui mwezi ujao utakuwaje?.
Nikikumbuka stori za gesi ya mtwara nachoka kabisa. Watu wasio na hatia walipoteza maisha wilayani Masasi wakati wa maandamano ya kupinga gesi kusafirishwa kwenda Dar.Siasa hiziHata watetezi wa uuzwaji wa gas yetu huko Mtwara walikuwa wanakuja na utetezi na mbwembwe kama hizi zako. Leo hii imefahamika gas sio yetu, umemuona yoyote katika waliouza gas ile wakijitokeza kutetea uhuni ule?
Wewe unadai ni mwanasheria na unakuwa na fikra za aina hii kama ulivyoeleza hapa?Mwisho ameelezea sehemu wawekezaji hawa walipofanikiwa na kuna sehemu amesema hawajafanikiwa. Hili sioni kama ni hoja maana mifano mizuri inaweza kuwa kwetu
Mwisho Padre Kitima amesema kuhusu Loliondo. Kusema kweli hapa naona amekuwa mwanasiasa maana sioni hoja yake kuhusu watu waliopelekwa msomera kulalamika kwa sababu hata kwa watumishi wa Umma waliopelekwa Dodoma wapo waliolalamika na kusema wanapata changamoto Dodoma! Sasa ninachojiuliza ni Je kwa wale waliolalamika inamaanisha zoezi la kuwahamishia watumishi wa serikali Dodoma halikuwa zoezi zuri lenye maslahi mazuri kwa nchi?
Ni namna ya kuwasilisha hasa kwa watumishi wa kanisa. Anajaribu kumantain neutrality.Tangu mjadala wa makubaliano ya Tanzania na Dubai kuhusu masuala ya uwekezaji ikiwemo bandari uanze, hadi sasa sijaona mtu aliyesema kuhusu ubaya wowote wa kipengele cha mkataba na akakidadavua vizuri kisheria nikamuelewa.
Mimi ni mwanasheria, nimesoma mkataba, nimesoma maelezo ya Serikali kuhusu mkataba kusema kweli sijaona hoja za wanaopinga zaidi ya kuelezea hofu zao na tahadhari zao.
Leo nimemsikiliza Padre Kitima ambaye nae pia ameelezea hofu yake kuhusu mkataba ikiwemo vifungu kadhaa. Kusema kweli hakuna alipoweza kusema kuhusu mapungufu ya kipengele chochote zaidi ya kuelezea hofu yake na kuweka tahadhari
Padre Kitima ameelezea kuhusu suala la Ardhi na kusema kweli hakuna sehemu katika mkataba paliposema mwekezaji atamilikishwa ardhi. Nilitegemea atakisema hicho kifungu na kukisoma ila nimemsikiliza zaidi nimeona nae kapiga siasa tu. Kwa nilivyokisoma kifungu cha 8 (3)(b) cha mkataba kimesema wazi haki za kutumia ardhi zitatolewa kwa mujibu wa Sheria na taratibu zetu na inajulikana kwenye sheria zetu mwekezaji hapewi haki ya kumiliki ardhi ila haki ya matumizi tu ya ardhi kwa ajili ya uwekezaji( derivative right)
kuhusu ulinzi na usalama wa bandari. hakuna kipengele chochote kwenye mkataba kilichosema mwekezaji atasimamia masuala ya ulinzi na usalama katika bandari. hata mwekezaji aliyepita tics aliyekuwa anaendesha sehemu ya bandari yetu hakuwahi kusimamia masuala ya ulinzi na usalama. Hapa pia Padre wangu Kitima ameelezea hofu tu na wala sio ubaya wa mkataba kwa kudadavua vizuri
Kuhusu Serikali kuwataarifu Dubai kuhusu fursa zingine za uwekezaji (Ibara ya 4) kusema kweli sijaona tatizo lolote kuhusu kifungu hiki. Ningeelewa kuwa kuna tatizo juu ya hichi kifungu endapo kingesema Serikali italazimika kuwapa maeneo hayo baada ya kuwataarifu. Sioni tatizo lolote kuhusu mtu kutaarifiwa tu kuhusu fursa zilizopo. Kwenye hili naona tafsiri isiyo sahihi na hofu isiyokuwepo inayolazimishwa kuwepo.
Mwisho ameelezea sehemu wawekezaji hawa walipofanikiwa na kuna sehemu amesema hawajafanikiwa. Hili sioni kama ni hoja maana mifano mizuri inaweza kuwa kwetu
Mwisho Padre Kitima amesema kuhusu Loliondo. Kusema kweli hapa naona amekuwa mwanasiasa maana sioni hoja yake kuhusu watu waliopelekwa msomera kulalamika kwa sababu hata kwa watumishi wa Umma waliopelekwa Dodoma wapo waliolalamika na kusema wanapata changamoto Dodoma! Sasa ninachojiuliza ni Je kwa wale waliolalamika inamaanisha zoezi la kuwahamishia watumishi wa serikali Dodoma halikuwa zoezi zuri lenye maslahi mazuri kwa nchi?
Kuna shida gani kuhusu gesi ya mtwara?Zunguzmia na gesi ya mtwara maana ulikua mwanasheria pia
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app