Nimemsikiliza Padre Kitima. Hoja zake zimejikita kwenye hofu zaidi. Sijaoona kipengele kibaya kwenye mkataba

Kwanza elewa kuwa am not questioning kwa faida yangu. Nina wanangu pia watakuwepo wajukuu mbeleni.

Najua wewe tayari umeshajiwekea mazingira ya wanao na vitukuu.

Umeuliza content. Be smart utueleze kuwa mkataba uliovujishwa ndo huo au huko ndani mna mkataba wenu?

Weka mkataba hapa ulio sahihi nikuoneshe contents ambazo zinaenda kuigharimu nchi
Mimi niweke,kwani Bungeni walikuwa wanajadili mkataba gani?

Kabla hata ya faida ya Watoto wako,wewe Kwa oparesheni za hovyo za Bandari Toka uhuru umefaidika kwa.lipi au nyie ndio mnafanya Ufisadi hapo Bandari?

Pili kwani Mkataba wa DP World utawaxulumu vipi hao Watoto wako?

Wajamaa ni watu wa hivyo sana nyie si ajabu Dunia Huwa inawakataa,Huwa mnazua taharuki na Kwa kuwa watu wajinga ni wengi Huwa wanameza ujinga wenu hivyo hivyo and so ndio maana Huwa mnatokomezwa msilete madhara zaidi.
 
Hivi unaweza kuzipangua hizi facts? Huyu mtu anaongea kwa uwazi kabisa ameshikilia huo Mkataba? Na kama anapotosha wamchukulie hatua :

Kaongea facts gani? Kuna sehemu bunge limegawa mali za nchi?

Kwa akili yako na uelewa wako unafikiri hii ni Mara ya kwanza kwa uwekezaji kufanyika bandarini? Unajua kabla ya sasa walikuwepo TICS pale bandarini? Ulimsikia akiwasema TICS?

Huyu ni mwanasiasa tu na ameongea kisiasa tu na wala sio kisheria.

Hoja zake zimejikita kwenye capitalism against socialism na izo ni ideologies tu.
 
Mimi niweke,kwani Bungeni walikuwa wanajadili mkataba gani?

Kabla hata ya faida ya Watoto wako,wewe Kwa oparesheni za hovyo za Bandari Toka uhuru umefaidika kwa.lipi au nyie ndio mnafanya Ufisadi hapo Bandari?

Pili kwani Mkataba wa DP World utawaxulumu vipi hao Watoto wako?

Wajamaa ni watu wa hivyo sana nyie si ajabu Dunia Huwa inawakataa,Huwa mnazua taharuki na Kwa kuwa watu wajinga ni wengi Huwa wanameza ujinga wenu hivyo hivyo and so ndio maana Huwa mnatokomezwa msilete madhara zaidi.
Porojo za kijiwe cha kahawa.
 
Kaongea facts gani? Kuna sehemu bunge limegawa mali za nchi?

Kwa akili yako na uelewa wako unafikiri hii ni Mara ya kwanza kwa uwekezaji kufanyika bandarini? Unajua kabla ya sasa walikuwepo TICS pale bandarini? Ulimsikia akiwasema TICS?

Huyu ni mwanasiasa tu na ameongea kisiasa tu na wala sio kisheria.

Hoja zake zimejikita kwenye capitalism against socialism na izo ni ideologies tu.

Hawa ndo watoto wetu tumewasomesha kwa hela zetu, pumbav kabisa, ka quote vifungu humo vya mkataba in details, vipangue basi!
 
Vifungu vipi ambavyo kwako vina shida? Ku koti ni swala Moja na kujua maana yake ni swala tofauti..

Pili Serikali imejibu hoja zote mara ooh mkataba miaka 100 sijui life time mara kuuzwa na uzushi mwingine kama huo..

Watu ni nyumbu ila kazi kuhemka tuu..Ila Samia Huwa ni kiboko ya Maamuzi magumu ,makelele kama haya yakifanyika na kule Ngorongoro ila kimyaa Hadi kesho tena kule Hadi risasi na vifo vilitokea sembuse hili?
 
Ujamaa ni sera ya CCM
Sera ya ccm kwenye siasa sio kwenye uchumi,hata Chama Cha Kimomunisti Cha China ambako ccm wanaiga Ina sera za ujamaa kwenye siasa sio kwenye uchumi..

Kwenye Uchumi Wana state capitalism na private capitalism sio nationalism..
 
Tangu mjadala wa makubaliano ya Tanzania na Dubai kuhusu masuala ya uwekezaji ikiwemo bandari uanze, hadi sasa sijaona mtu aliyesema kuhusu ubaya wowote wa kipengele cha mkataba na akakidadavua vizuri kisheria nikamuelewa.

Mimi ni mwanasheria, nimesoma mkataba, nimesoma maelezo ya Serikali kuhusu mkataba kusema kweli sijaona hoja za wanaopinga zaidi ya kuelezea hofu zao na tahadhari zao.

Leo nimemsikiliza Padre Kitima ambaye nae pia ameelezea hofu yake kuhusu mkataba ikiwemo vifungu kadhaa. Kusema kweli hakuna alipoweza kusema kuhusu mapungufu ya kipengele chochote zaidi ya kuelezea hofu yake na kuweka tahadhari

Padre Kitima ameelezea kuhusu suala la Ardhi na kusema kweli hakuna sehemu katika mkataba paliposema mwekezaji atamilikishwa ardhi. Nilitegemea atakisema hicho kifungu na kukisoma ila nimemsikiliza zaidi nimeona nae kapiga siasa tu. Kwa nilivyokisoma kifungu cha 8 (3)(b) cha mkataba kimesema wazi haki za kutumia ardhi zitatolewa kwa mujibu wa Sheria na taratibu zetu na inajulikana kwenye sheria zetu mwekezaji hapewi haki ya kumiliki ardhi ila haki ya matumizi tu ya ardhi kwa ajili ya uwekezaji( derivative right)

kuhusu ulinzi na usalama wa bandari. hakuna kipengele chochote kwenye mkataba kilichosema mwekezaji atasimamia masuala ya ulinzi na usalama katika bandari. hata mwekezaji aliyepita tics aliyekuwa anaendesha sehemu ya bandari yetu hakuwahi kusimamia masuala ya ulinzi na usalama. Hapa pia Padre wangu Kitima ameelezea hofu tu na wala sio ubaya wa mkataba kwa kudadavua vizuri

Kuhusu Serikali kuwataarifu Dubai kuhusu fursa zingine za uwekezaji (Ibara ya 4) kusema kweli sijaona tatizo lolote kuhusu kifungu hiki. Ningeelewa kuwa kuna tatizo juu ya hichi kifungu endapo kingesema Serikali italazimika kuwapa maeneo hayo baada ya kuwataarifu. Sioni tatizo lolote kuhusu mtu kutaarifiwa tu kuhusu fursa zilizopo. Kwenye hili naona tafsiri isiyo sahihi na hofu isiyokuwepo inayolazimishwa kuwepo.

Mwisho ameelezea sehemu wawekezaji hawa walipofanikiwa na kuna sehemu amesema hawajafanikiwa. Hili sioni kama ni hoja maana mifano mizuri inaweza kuwa kwetu

Mwisho Padre Kitima amesema kuhusu Loliondo. Kusema kweli hapa naona amekuwa mwanasiasa maana sioni hoja yake kuhusu watu waliopelekwa msomera kulalamika kwa sababu hata kwa watumishi wa Umma waliopelekwa Dodoma wapo waliolalamika na kusema wanapata changamoto Dodoma! Sasa ninachojiuliza ni Je kwa wale waliolalamika inamaanisha zoezi la kuwahamishia watumishi wa serikali Dodoma halikuwa zoezi zuri lenye maslahi mazuri kwa nchi?
Nisaidieni huo mkataba namm niusome jmn!!!
 
Vifungu vipi ambavyo kwako vina shida? Ku koti ni swala Moja na kujua maana yake ni swala tofauti..

Pili Serikali imejibu hoja zote mara ooh mkataba miaka 100 sijui life time mara kuuzwa na uzushi mwingine kama huo..

Watu ni nyumbu ila kazi kuhemka tuu..Ila Samia Huwa ni kiboko ya Maamuzi magumu ,makelele kama haya yakifanyika na kule Ngorongoro ila kimyaa Hadi kesho tena kule Hadi risasi na vifo vilitokea sembuse hili?

Siwezi jadiliana na mtu Mjinga kama wewe, if, at all, umesoma sheria, kuna mtu bora angekunywa hiyo hela angepata kitambi
 
Tangu mjadala wa makubaliano ya Tanzania na Dubai kuhusu masuala ya uwekezaji ikiwemo bandari uanze, hadi sasa sijaona mtu aliyesema kuhusu ubaya wowote wa kipengele cha mkataba na akakidadavua vizuri kisheria nikamuelewa.

Mimi ni mwanasheria, nimesoma mkataba, nimesoma maelezo ya Serikali kuhusu mkataba kusema kweli sijaona hoja za wanaopinga zaidi ya kuelezea hofu zao na tahadhari zao.

Leo nimemsikiliza Padre Kitima ambaye nae pia ameelezea hofu yake kuhusu mkataba ikiwemo vifungu kadhaa. Kusema kweli hakuna alipoweza kusema kuhusu mapungufu ya kipengele chochote zaidi ya kuelezea hofu yake na kuweka tahadhari

Padre Kitima ameelezea kuhusu suala la Ardhi na kusema kweli hakuna sehemu katika mkataba paliposema mwekezaji atamilikishwa ardhi. Nilitegemea atakisema hicho kifungu na kukisoma ila nimemsikiliza zaidi nimeona nae kapiga siasa tu. Kwa nilivyokisoma kifungu cha 8 (3)(b) cha mkataba kimesema wazi haki za kutumia ardhi zitatolewa kwa mujibu wa Sheria na taratibu zetu na inajulikana kwenye sheria zetu mwekezaji hapewi haki ya kumiliki ardhi ila haki ya matumizi tu ya ardhi kwa ajili ya uwekezaji( derivative right)

kuhusu ulinzi na usalama wa bandari. hakuna kipengele chochote kwenye mkataba kilichosema mwekezaji atasimamia masuala ya ulinzi na usalama katika bandari. hata mwekezaji aliyepita tics aliyekuwa anaendesha sehemu ya bandari yetu hakuwahi kusimamia masuala ya ulinzi na usalama. Hapa pia Padre wangu Kitima ameelezea hofu tu na wala sio ubaya wa mkataba kwa kudadavua vizuri

Kuhusu Serikali kuwataarifu Dubai kuhusu fursa zingine za uwekezaji (Ibara ya 4) kusema kweli sijaona tatizo lolote kuhusu kifungu hiki. Ningeelewa kuwa kuna tatizo juu ya hichi kifungu endapo kingesema Serikali italazimika kuwapa maeneo hayo baada ya kuwataarifu. Sioni tatizo lolote kuhusu mtu kutaarifiwa tu kuhusu fursa zilizopo. Kwenye hili naona tafsiri isiyo sahihi na hofu isiyokuwepo inayolazimishwa kuwepo.

Mwisho ameelezea sehemu wawekezaji hawa walipofanikiwa na kuna sehemu amesema hawajafanikiwa. Hili sioni kama ni hoja maana mifano mizuri inaweza kuwa kwetu

Mwisho Padre Kitima amesema kuhusu Loliondo. Kusema kweli hapa naona amekuwa mwanasiasa maana sioni hoja yake kuhusu watu waliopelekwa msomera kulalamika kwa sababu hata kwa watumishi wa Umma waliopelekwa Dodoma wapo waliolalamika na kusema wanapata changamoto Dodoma! Sasa ninachojiuliza ni Je kwa wale waliolalamika inamaanisha zoezi la kuwahamishia watumishi wa serikali Dodoma halikuwa zoezi zuri lenye maslahi mazuri kwa nchi?
Mtaalam mkataba ni wa miaka mingapi tueleweshe.
 
Hata kwenye sakata la gesi wanasheria maslahi kama wewe mkashupaza shingo kama ufanyavyo wewe lakini mwisho wa siku uongo ulijitenga gesi siyo yetu.
 
Nimefanya uchambuzi wangu kuthibitisha kuwa ni hofu tu na kwenye mkataba hakuna shida. Weka uchambuzi wako kuonesha mkataba una shida. Hili ni jukwaa huru
Sijaona uchambuzi unaoonyesha mkataba hauna shida, pengine hujui maana ya uchambuzi.
Umeweka tu maoni yako, hujachambua chochote katika mkataba huo. Hii elimu mnayojidai nayo siku hizi mbona imekuwa ni hasara tupu?

Mtu kama wewe upewe wajibu wa kusimamia maswala ya nchi, si ndiyo kama hivi tunavyoona sasa?

hapo juu nilipoku'quote' ukizungumzia waTanzania waliohamishwa, bado hujaona ulivyo na fikra potofu kabisa kichwani mwako?
 
Tangu mjadala wa makubaliano ya Tanzania na Dubai kuhusu masuala ya uwekezaji ikiwemo bandari uanze, hadi sasa sijaona mtu aliyesema kuhusu ubaya wowote wa kipengele cha mkataba na akakidadavua vizuri kisheria nikamuelewa.

Mimi ni mwanasheria, nimesoma mkataba, nimesoma maelezo ya Serikali kuhusu mkataba kusema kweli sijaona hoja za wanaopinga zaidi ya kuelezea hofu zao na tahadhari zao.

Leo nimemsikiliza Padre Kitima ambaye nae pia ameelezea hofu yake kuhusu mkataba ikiwemo vifungu kadhaa. Kusema kweli hakuna alipoweza kusema kuhusu mapungufu ya kipengele chochote zaidi ya kuelezea hofu yake na kuweka tahadhari

Padre Kitima ameelezea kuhusu suala la Ardhi na kusema kweli hakuna sehemu katika mkataba paliposema mwekezaji atamilikishwa ardhi. Nilitegemea atakisema hicho kifungu na kukisoma ila nimemsikiliza zaidi nimeona nae kapiga siasa tu. Kwa nilivyokisoma kifungu cha 8 (3)(b) cha mkataba kimesema wazi haki za kutumia ardhi zitatolewa kwa mujibu wa Sheria na taratibu zetu na inajulikana kwenye sheria zetu mwekezaji hapewi haki ya kumiliki ardhi ila haki ya matumizi tu ya ardhi kwa ajili ya uwekezaji( derivative right)

kuhusu ulinzi na usalama wa bandari. hakuna kipengele chochote kwenye mkataba kilichosema mwekezaji atasimamia masuala ya ulinzi na usalama katika bandari. hata mwekezaji aliyepita tics aliyekuwa anaendesha sehemu ya bandari yetu hakuwahi kusimamia masuala ya ulinzi na usalama. Hapa pia Padre wangu Kitima ameelezea hofu tu na wala sio ubaya wa mkataba kwa kudadavua vizuri

Kuhusu Serikali kuwataarifu Dubai kuhusu fursa zingine za uwekezaji (Ibara ya 4) kusema kweli sijaona tatizo lolote kuhusu kifungu hiki. Ningeelewa kuwa kuna tatizo juu ya hichi kifungu endapo kingesema Serikali italazimika kuwapa maeneo hayo baada ya kuwataarifu. Sioni tatizo lolote kuhusu mtu kutaarifiwa tu kuhusu fursa zilizopo. Kwenye hili naona tafsiri isiyo sahihi na hofu isiyokuwepo inayolazimishwa kuwepo.

Mwisho ameelezea sehemu wawekezaji hawa walipofanikiwa na kuna sehemu amesema hawajafanikiwa. Hili sioni kama ni hoja maana mifano mizuri inaweza kuwa kwetu

Mwisho Padre Kitima amesema kuhusu Loliondo. Kusema kweli hapa naona amekuwa mwanasiasa maana sioni hoja yake kuhusu watu waliopelekwa msomera kulalamika kwa sababu hata kwa watumishi wa Umma waliopelekwa Dodoma wapo waliolalamika na kusema wanapata changamoto Dodoma! Sasa ninachojiuliza ni Je kwa wale waliolalamika inamaanisha zoezi la kuwahamishia watumishi wa serikali Dodoma halikuwa zoezi zuri lenye maslahi mazuri kwa nchi?
Bora Padre Kitima kuliko yule aliyesema Mbowe aombe msamaha. Yani kwenye mkataba wote hakuona kitu zaidi ya kumwambia Mbowe aombe msamaha.🤣🤣🤣🤣
 
Wasiwasi ndyo akili
 
Hoja zikishaingia kwenye dini hasa hawa jamaaa wakikataaa kitu ujuwe kuwa wamekifanyia urafiti Mkubwa Sana …sio wepesi , unaweza kulazimisha lakini itafika Mahali utakwama….
 
Acha izo bwana. Nani kasema Viongozi wa dini ndo wenye final say?

Hivi Nyerere alivyosemaga nchi yetu haina dini mkisikilizaga ile hotuba yake huwa mnadhani alikuwa anamaanisha nini? Au mnaona alikuwa anaongea kufurahisha genge tu?
 
Hata watetezi wa uuzwaji wa gas yetu huko Mtwara walikuwa wanakuja na utetezi na mbwembwe kama hizi zako. Leo hii imefahamika gas sio yetu, umemuona yoyote katika waliouza gas ile wakijitokeza kutetea uhuni ule?
JPM alisema vizuri kwa ajili ya kujenga hoja suala la umeme wa maji. Aliamua kuwaharibia wadau wa masuala ya gesi ili aweze kuwa na uhalali wa kujikita kwenye umeme wa maji. Kuna siasa kwenye hilo suala.
 
Back
Top Bottom