Nimemsomesha, nimegharamika, leo kaniacha anaolewa na mtu mwingine

Tatizo lenu mnachukua majukumu ya wakwe zenu halafu anayajeuza yenu ndio inawagharimu.

Hata kuhonga hufanywa kwa mpangilio sio tu unahonga.
 
Pole sana Palesa.. It's never too late. That woman asingeweza kuwa wife material. Shukuru Mungu yote ya kwamba amekuonesha mapema maana la sivyo ungeweka ndani ka wife then anapata mimba nje au unamfumania. Nikupongeze kwanza kwamba God has blessed you with money. Really, it's not easy kusomesha mtu level ya University.. Natambua una imani yako.., embu mtangulize Mungu kwa hili, omba akupe hekima na akuongoze kukupa mchumba mwema then awe wife. Achana naye huyo malipo hapa hapa duniani.
 
Achana na iyo pesa..ushasema Ni masikin watakulipa nn sasa,pigs moyo konde songs mbele malipo Ni hapahapa,uko siku yake yakulipa hata kwa namna ambayo hatagundua km ndio analipa

trust me malipo Ni hapa hapa..japo Ina Una lkn acha kufwatilia iyo pesa

pole Sana.
 
Hili suala ndilo nililokataa.....kusomesha mke ni kucheza kamali.
 
Pole bro ila haina aja ya wew kwenda mahakamani tenda wema nenda zako maana huwez jua makusudi ya mungu kukuepusha na uyo bint,tulia muombe mungu atakupa chaguo lako,lakin pia bint atambue kua malipo ni apa dunian mahesabu mbinguni kua na amani mungu atakulipia
 
Sio wote wapo waliosomesha na wakavuna. Pengine kwa kuwa ni habari njema huwa hazivumi. Ila kusomesha mchumba ni sawa na kilimo cha kutegemea mvua...
 
Wanawake watu katili sana ndo maana wanalogwa,wenye matendo kama haya walogwe tu na mimi naunga mkono walogwe tu maana hamna namna nyingine,imeniuma utadhani nimefanyiwa mimi
 
Love comes love goes ni kawaida haya mambo kutokea wewe unapokuwa kuwa upo high kwenye mapenzi mwenzio anakuwa down na ndio hapo pengo linatokea kasoro zinaanza onekana anapopata mwingine ambae moyo umemridhia anasahau hisani zote pole . samehe ili Mungu aponye majeraha yako na akupe ambaye yeye amemridhia
 
Tatizo ile siku ulioandikishiana na mkafanya uliyoyaona ni mapenzi yasio ya kawaida ungeweka mbegu siku ile ile. Amekuona hufai NDINDINDI mwezako mara maja matunda tayari. ACHANA NAE tafuta mchumba ufunge ndoa usitafute MWANAFUNZI utaishia pabaya "kwa babu SEYA"
 
Kama humtaki mwanaume,kataa na mali,fedha au misaada anayokupa. Sio unapokea misaada halafu unasema humtaki, ni udhaifu na upuuzi uliopitiliza unaofanywa na watu wenye fikra hafifu.
 
Wewe ulishajilipa "ile sex aliyokupa siku ile baada ya kuandikishiana" so hayo mengine Samehe tu kwani umepoteza vingapi?
Tena ndo ukome kusomesha watoto wa watu wakati wadogo zako huko yawezekana hata ada ulikua huwalipii, bora ungesomesha Yatima
 
hakunaga maagano na binti wa chuo.......chakushauri mrudie MUNGU na samehe yote
 
Wewe ulishajilipa "ile sex aliyokupa siku ile baada ya kuandikishiana" so hayo mengine Samehe tu kwani umepoteza vingapi?
Tena ndo ukome kusomesha watoto wa watu wakati wadogo zako huko yawezekana hata ada ulikua huwalipii, bora ungesomesha Yatima
hahahahahhahahaha mkuu raha si walipata wote basi angampa risiti
 
kosa ulilofanya hukudai risiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…