Nimemsomesha, nimegharamika, leo kaniacha anaolewa na mtu mwingine

Hivi viumbe ni marufuku kuasomesha sijui ni laana ni nini aise.
Hawajui pesa umeitoa wapi umejinyima nini ili asome bora nisomeshe yatima nijue nimetoa msaada kuliko mchumba..
Pole ndugu songa na maisha yako mwenyezi mungu atakulipa kwa njia nyingine
 
pole kaka yangu..huyo binti kafanya vibaya sana ...halafu inaonekana hana hofu ya mungu..hapo amekuzulumu kaka yangu lakin ipo siku maisha yatamshinda tu..atakukumbuka atakuwa amechelewa ..nimeumia sana kwa kitendo alichokifanya hakuona hata jinsi ulivyojitoa sadaka ili yeye asome kwa manufaa yenu badae>>>>
 
Sikujua laiti ningejua, najuta.

Wakuu nilikutana na huyu binti miaka kadhaa iliyopita mimi nikiwa nimepangiwa kazi mkoa fulani katika mihangaiko yangu nikakutana na huyu binti nilitokea kumpenda, mzuri kisura na kitabia very innocent niliamini kwake nimefika baada ya kash kash nilizopitia katika mahusiano ya nyuma.

Wanasema usiusemee moyo ila najua yule binti alinipenda kidhati tena moyoni kabisa na mimi kwangu she was a queen na niliapa kumuoa baada ya yeye kumaliza masomo yake. Binti huyu kwao ni familia maskini nikisema familia maskini ni familia maskini kisawasawa. Baba yake alifariki miaka kadhaa nyuma kabla sijaonana nae hivyo aliishi na mama yake na wadogo zake ni story ndefu kuhusu familia yao. Mimi nikawa ndio kama msaada katika familia yao, sikua na hiyana na nilisaidia niwezavyo kwani binti yule nilimpenda kutoka moyoni.

Yule binti alimaliza shule na kuhitajika kwenda chuo lakini familia ikawa haina uwezo wa kumsomesha na mkopo alikosa. Akakosa raha na ikawa kama jukumu ni langu. Mama yake aliniita tushauriane kwasababu kwao nilikua nafahamika. Kwakuwa mimi nilisema nitamuoa binti wakashauri nimsomeshe kama nina nia yakweli. Uwezo wa kumsomesha nilikua nao nikakubaliana na tukaandikishana kwamba namsomesha mimi lakini mwisho wa siku yeye atakuja kuwa mke wangu na hata mahari sintolipa kwani itakua imeingia huko.

Familia ilinishukuru sana kwani waliamini kusoma kwa binti itakua afadhali katika ukombozi wa maisha yao. Binti alikuwepo wakati maandikishano yanafanyika na mashahidi walikuwepo nakumbuka binti alilia yule akiapa kunipenda milele na mapenzi tuliyofanya siku hiyo siwezi kusahau ilikua best sex ever.

Wakuu nifupishe binti alianza chuo kila kitu nililipa nauli hosteli ada matumizi kila kitu ilikua mimi,mwaka wa kwanza ukaisha vizuri mapenzi yanachanua.Likizo naenda likizo zao anakuja, mama mtu alinishukuru sana. Mwaka. Mwaka wa pili matatizo yakaanza nikipiga simu naambiwa yuko library mara assignment nikiuliza zaidi anakua mkali nikasema labda labda kweli shule lakini hata mimi nilisoma muda wa kuongea na mwenzi wangu nilikua nao nikasema labda shule ya sasa ni ngumu. Binti akabadilika majibu ya jeuri nikaenda kuongea na mama yake amkanye naona akajirekebishe na kweli akatulia maisha yakaendelea. Upside zikiwa chache. Mahusiano yalitawaliwa na migororo

Kufupisha Miezi kadhaa imepita binti kaniandikia meseji eti "NAKUSHAURI UTAFUTE MWANAMKE MWINGINE MIMI SIKO TAYARI KUWA NA WEWE NIKUTAKIE MAISHA MEMA"

Naandika huu uzi wakuu acha nikipiga simu haipokelewi mara haipatikani. Nikampigia mama yake kumuuliza kama anajua lolote akasema hafahamu. Nikaomba likizo kazini nifatilie sikuamini siku naambiwa ana mimba na anaishi na mwanaume mwingine. Nilitamani ardhi ipasuke kumbe ndio maana niliandikiwa ule ujumbe nikajiuliza maswali bila majibu,basi angefanya nisijue na mimba juu kapata inauma sana. Kumuuliza mama yake hana analonijibu, kumbe chuo kapostpone sijui anaishi na huyo mwanaume moja ya mitaa Dar, yote hiyo nafatilia kwa baadhi ya marafiki zake na kibaya zaidi huyo mwanaume alishamlipa tena huyo mama pesa nyingine. Na ndio kamchukua binti yake.

Nimechukia kuuziwa mbuzi kwa gunia.Love is blind inakuwaje sikuona yote hayo? Why me..Why.. Najiuliza sipati majibu, sikuwahi kupenda kama nilivyompenda huyo binti. Nilimpenda kutoka moyoni na kujitoa kwake sijawahi kumfanyia mwanamke yoyote niliyomfanyia leo ameniacha kwenye mataa na nyodo juu, kuna muda natamani ningekuwa na bastola nimsambaratishe ila that is not me. Juzi nimeona whatsup kaweka picha yake tumbo kule na namba yake nikafuta.

NILICHOFANYA;

Nimepeleka hii kesi Mahakamani kwasababu tuliandikishana kama mke nimekosa basi nilipwe gharama zangu najua haiwezi kuziba pengo kufuta maumivu naona is the least i can do for my self. Wakuu nifanyaje au nimekosea kupeleka shtaka polisi tumeshaitwa mara mbili hakuna mtu aliyetokea upande wao. Nimetokea kuwachukia wanawake sana. Kwanini mnatufanyia hivi jamani tuwapende vipi. Nimekaa hapa kitandani nimewaza mawazo mengi moyo wangu kama barafu naishia kusononeka.

Sijui nimfanyie kisasi gani aumie kama mimi nilivyoumia.

Adios.
mkuu kwakuwa mliandikishiana naomba komalia hio kesi mpk alipe fedha zako zote kwakuwa ameshavunja makubaliano.....atleast pesa zako zikirudi utajifuta machozi ......mwanamke
 
Natamani nikutukane.. Mchumba hasomeshwi.. Labda kama amekuzalia.. Pumbavu kabisa.. Tuwaimbie mara ngapi? Hadi boda boda na baashinya madala dala wameandik kuwa "mchumba hasomeshwi mjombaaaa"
img-20160402-wa0095-jpg.339777
 
mtoa mada pole sana nilikuwa sijaisoma story yako...nimeisoma kwa utulivu pengine kuliko binadamu mwingine yeyote humu ndani,kitu nilichokiona mbona tayari Mungu kashaanza kumpiga bakora huyo dada???si masomo hajamaliza ka postpone??ndio bakora zenyewe hizo,na si kapigwa kitumbo bila ndoa???ndio bakora zenyewe hizo...sasa hapo jamaa hataoa(akili zake huyo mwanaume zitafunguka jinsi alivyokusaliti wewe basi akiweka ndani kama mke anaweza kusalitiwa pia).Hivyo naona huyo ni wa kuachana nae aseme na ulimwengu,we songa mbele kivyako.Pia ile kesi nenda kaifute....wanaume halisi hatudai kilichopotea katika mapenzi
 
Mkuu pole sana jamani imeniuma mno.Hii ni kwa sababu binadamu siku iz ni wabinafsi mno na wana roho mbaya mno si wanawake tu bali wanaume pia.Unanikumbusha my story i gave one man my heart while niko chuo and i was so faithfull to him from naanza chuo mpk namaliza what happens ndo kama hayo aliyoyafanya huyo mchumba ako nilikua napata shida sana sana hanisaidii chochote and we was working na wala nilikua siombi hata kumi yake nikawa naskia mengi mno nikaziba maskio what happens nikaja kuyaona mwenyewe kwa macho asikwambie mtu ni ngumu kumuacha mtu unaempenda at that time lakini huezi amini siku ya siku niliamka nikapiga moyo konde nikamtext aniache nipumzike awe free tu na kila atakacho fanya hakuamini yule msukule wake kakata kamba akajua ma kidding kumbe ndo ilikua adios.sikujilaumu why i was so faithful to him maana that was na ni tabia yangu.Sikumlipizia chochote nikawa mtu wa kanisa na kusali from there i got a peace of mind. From no where nikampata right person from God nilijutaje kuwaste time with that fool kumbe God alikua ameniandalia mtu wa kufanana nami kama anavosema ktk neno lake hakika sikuwahi kumkumbuka tena.Alianzaje sasa kunisumbua kila siku anaomba msamaha kuona am less concern anaanza kumtishia mume wangu unatembea na mke wangu yani mpk nilibadili line ndo ikawa histry maana sikujua alipatwa na nini and he was grown up enough kufanya upuuzi aliokua anafanya while was such a yaound decent lady Dah!!So mkuu usiumie sana na wala usimlipizie kisasi you should act like a gentle man i tell you time will tell atakutafuta maana malipo ni hapahapa huwa pipo of that kind hawadumu na relationship maana they after something and not after love maana angekua after love angejiheshimu na asingekufanyia unyama huo huyo si mwanamke mzuri kwako .Pia kuna baadhi ya wazazi sio watu wa kuwaamini esp wa kizazi hiki wanapenda wakwe wenye nazo .so wait and see.
 
mleta mada.....msome huyu..............

ila napenda kuongezea hapo ulifanya kwa wema haina haja ya kujilaumu .....mbele yako kuna neema ya ajabu....achana nae msamehe tu........chukulia kama somo tu.....then move on.....
 
Achana na hiyo kesi...Potezea...chukulia kama ni mjinga flani hajielewi

Ila na wewe ulikosea...mademu hawa usiingie gharama hizo kabla ........utakuja kujinyonga bure
 
Mkuu pole sana jamani imeniuma mno.Hii ni kwa sababu binadamu siku iz ni wabinafsi mno na wana roho mbaya mno si wanawake tu bali wanaume pia.Unanikumbusha my story i gave one man my heart while niko chuo and i was so faithfull to him from naanza chuo mpk namaliza what happens ndo kama hayo aliyoyafanya huyo mchumba ako nilikua napata shida sana sana hanisaidii chochote and we was working na wala nilikua siombi hata kumi yake nikawa naskia mengi mno nikaziba maskio what happens nikaja kuyaona mwenyewe kwa macho asikwambie mtu ni ngumu kumuacha mtu unaempenda at that time lakini huezi amini siku ya siku niliamka nikapiga moyo konde nikamtext aniache nipumzike awe free tu na kila atakacho fanya hakuamini yule msukule wake kakata kamba akajua ma kidding kumbe ndo ilikua adios.sikujilaumu why i was so faithful to him maana that was na ni tabia yangu.Sikumlipizia chochote nikawa mtu wa kanisa na kusali from there i got a peace of mind. From no where nikampata right person from God nilijutaje kuwaste time with that fool kumbe God alikua ameniandalia mtu wa kufanana nami kama anavosema ktk neno lake hakika sikuwahi kumkumbuka tena.Alianzaje sasa kunisumbua kila siku anaomba msamaha kuona am less concern anaanza kumtishia mume wangu unatembea na mke wangu yani mpk nilibadili line ndo ikawa histry maana sikujua alipatwa na nini and he was grown up enough kufanya upuuzi aliokua anafanya while was such a yaound decent lady Dah!!So mkuu usiumie sana na wala usimlipizie kisasi you should act like a gentle man i tell you time will tell atakutafuta maana malipo ni hapahapa huwa pipo of that kind hawadumu na relationship maana they after something and not after love maana angekua after love angejiheshimu na asingekufanyia unyama huo huyo si mwanamke mzuri kwako .Pia kuna baadhi ya wazazi sio watu wa kuwaamini esp wa kizazi hiki wanapenda wakwe wenye nazo .so wait and see.
Nafurahi kuona umefunguka hivi.ila hili swala wahanga hasa ni sisi wanaume.nilikuwa na mpenz anasoma huko muccobs daaah alichonitenda sitasahau.nimejikuta nawachukia sana wanawake.yaani mtu unampa kila kitu kumbe anakusaliti.baada ya kuachana rafiki yake kaja kuniambia issue nzima nilitamani kulia.muwe na huruma jamani
 
au amshitaki kwa kumjeruhi kisaikolojia!!!!
bado itakuwa ni yaleyale tu mkuu...itakuwa vigumu kuthaminisha madhara ya kisaikolojia aliyopata kwa fedha inayolingana na kiasi alichopoteza kumsomesha huyo kicheche....wanawake ni MBWA. nikikumbuka jinsi wake za watu walivyokuwa wakit*w* na machalii chuoni sipati picha. kumuamini mwanamke kunahitaji kujitoa akili kwanza.
 
Nafurahi kuona umefunguka hivi.ila hili swala wahanga hasa ni sisi wanaume.nilikuwa na mpenz anasoma huko muccobs daaah alichonitenda sitasahau.nimejikuta nawachukia sana wanawake.yaani mtu unampa kila kitu kumbe anakusaliti.baada ya kuachana rafiki yake kaja kuniambia issue nzima nilitamani kulia.muwe na huruma jamani
mkuu haya majike (mimi huwa nayaita NYUMBU) sio ya kuyaamini hata kidogo.
 
Hali inazidi kuwa mbaya, inabidi tubandike mabango mitaani yasemayo MCHUMBA HASOMESHWI
alipaswa amfanye MKE kwanza na ikibidi amzalishe ndipo aanze kazi ya KUSOMESHA....wachumba ni shiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiida!
 
Tatizo kubwa tulilonalo wanaume ni kutaka kuwaelewa wanawake, wakati wao wenyewe hawajielewi hapo ndio shida inapoanzia.

Nb: bandiko hili haliwahusu wale malkia wa nguvu wa humu wenye genius brain na wanajijuwa.
 
Nafikiri ingefikiria jambo lingine litakalokupa manufaa kimaisha, mchumba hasomeshwi ulivyomkuta ndivyo hivyo. Cjui tuchukuwe mic tuwatangazie barabarani. Hilo lako
 
Back
Top Bottom