Nimemsomeshea watoto na sasa hanitaki tena bila sababu

Pole sana,Mungu atakulipia kama. hukuwafanyia vibaya.

Endelea kupambania maisha yako,usiwafikirie tena,jali maisha yako
 
Mchai chai! ☕

"Kinachoniumiza ni kwamba baada ya kufanya hayo yote mke wangu na wanangu wa kufikia wameungana na baba yao mzazi na sasa wanaishi pamoja kama familia ."
 
Wenzako wakioa single mother ana mtoto mmoja wanamzalisha watoto wengine wanne Pole sana kwa kutokuwa na kizazi na kukomaa kusomesha watoto wasio wako uku mkeo anajua huna kizazi
 
Humu sio facebook ningekuwa moderator ningekupiga BAN
 
Hapo ni sawa na kuwasomesha mpaka Switzerland huko na mama Yao kaamua kuwafata watoto huko na kukuacha mpweke,hiyo imeenda,wala usijute Dunia tunapita na hakuna matata.Mwanamke ukiona mwanaume mwenzio kamuacha usijifanye muungwana,Tembea kwa hesabu zako wala usijute sababu adui wameungana hauna lako Tena mkuu.
In fact utelezi ndo unatuponza wanaume,hapo kama unaweza Rudi kijijini kaanze kwa kufuha kuku.
 
KUNA WATU WANAJITAFUTIA MATATIZO YA KUJITAKIA WENYEWE.
ZAMA HIZI KUOA KWENYEWE SHIDA, NI MATATIZO.
HALAFU WEWE NDIO UNAKWENDA KUOA NA KULEA WATOTO WA MWENZIO!
PUMBAV
 
J
Haya ma-ujinga ya Facebook na makundi ya Whatsup mna-copy na ku-paste hapa kwa nini? JF walifanya makosa sana kuwezesha kila kinachopostiwa kionekane kwenye ''trending''
Jamaa hanaga content kabisa zaidi ya ku copy na ku paste halafu hata ile kuandika amen copy wapi hakuna 🤣
 
K
 
Lakini demu ulimfaidi ulizagamua miaka 25, we kidume
 
Ewe mzazi wa leo... wakati unajenga maisha ya baadae ya watoto, usisahau kujenga na maisha yako ya baadae
 
Lakini demu ulimfaidi ulizagamua miaka 25, we kidume, beside kusomesha udaktari sio lelemama itakuwa mlikuwa wengi kwenye foleni yaani chain ilikuwa ndefu sasa fadhila inakuwa ishu, lakini iweje wakuache uyumbe kimaisha ina maana wewe ndio ulikuwa unahudumiwa sio wao
 
Ukiwa mjinga humu duniani taabu haiepukiki. Wakati unahangaika kusomesha damu ya mtu mwingine wewe kwa nini hukuzaa watoto wako mwenyewe uwasomeshe? Wadogo zako uliozaliwa nao tumbo moja ulihangaika kuwasomesha wakati unajifanya mwema kusomesha watoto wa mwanaume mwingine?

Vuna ulichopanda.
 
miaka 25 iliyopita je kwasasa unamiaka mingapi
 
Wewe ulidhani hao watoto ungewamiliki kama kununua mtumba alioacha jamaa.

Umesema wana akili..huyo ni Baba yao. Kimsingi tafuta wa kwako. Na kama ilikuwa miaka 25 inamaana unachezea 50 na zaidi. Kwa hiyo amua kuish kibachelor ila utazikwa soon
 
Wanaume wajinga kumbe bado wapo.
Endelea kuishi jalalani. Nyani kasoro mkia.
Siku zote unaambiwa usimsomeshe mwanamke wewe sio baba yake, wewe umeenda hatua sita mbele umesomesha watoto wa watu, Tena wa kiume. Ulitegemeà watakua hawamjuibaba Yao, au ulitegemeà huyo mama Yao hatembei na mzazi mwenzie.
Sasa sikilizeni.. UKIOA MWANAMKE MWENYE MTOTO PIGA UA GARAGAZA JUA MZAZI MWENZIE BADO ANATEMBEA NAYE. HATA KAMA ANAKAA MWANZA.
 
Kwamba Kwa miaka 25yote mlikuwa mnaishi nyumba ya kupanga?kwanini hiyo pesa uliyokuwa unasomeshea hao watoto usijijengee kakibanda kako mkaishi humo?

[emoji848][emoji848] Nina wasiwasi na ulichokiandika labda kama unachangamsha jukwaa
 
Hii ni hadithi tu ila haina ukweli
Ina maana wewe hukuzaa nae?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…