Nimemsomeshea watoto na sasa hanitaki tena bila sababu

Nilimuoa mke wangu miaka 25 iliyopita akiwa na watoto wawili wa kiume aliowapata kwenye ndoa yake ya awali.

Niliwapenda sana wale watoto na kuwachukulia kama watoto wangu kabisa na hakuna aliyejua kuwa si wanangu kwani tuliishi pamoja kwa upendo kama familia moja.

Tuliishi kwa amani kwenye nyumba za kupanga wakati huo nikiwa nafanya kazi na nilihakikisha watoto wangu wanapata huduma zote muhimu ikiwamo kuwasomesha shule bora kabisa.

Baba yao mzazi hakuwahi kutoa msaada wa aina yoyote wala kuhudumia watoto wake wala kuonekana.

Watoto walikuwa na akili sana darasani na baada ya masomo wote walipata ajira mmoja ameajiriwa kama daktari na mwingine ni mwanasheria.

Kinachoniumiza ni kwamba baada ya kufanya hayo yote mke wangu na wanangu wa kufikia wameungana na baba yao mzazi na sasa wanaishi pamoja kama familia [emoji24][emoji24].

Kwa sasa sina pa kuishi nakaa leo kwa ndugu huyu, kesho ndugu yule. Mbaya zaidi wameniblock na hata nikipiga kwa kutumia simu zingine wakijua ni mimi wanakata simu na kuiblock hiyo namba ngeni niliyotumia.

Ndugu zangu wa mtandaoni naomba ushauri wenu, nifanye nini?
Duh,
Pole sana kama siyo chai..

Ukijenga nyumba kwenye kiwanja cha mtu, nyumba inakuwa ya mwenye kiwanja siyo yako. Ndicho ulichofanya
 
Pole sana kwa kweli. Mambo ya ndoa ni magumu. Vijana twazidi kujifunza
Nilimuoa mke wangu miaka 25 iliyopita akiwa na watoto wawili wa kiume aliowapata kwenye ndoa yake ya awali.

Niliwapenda sana wale watoto na kuwachukulia kama watoto wangu kabisa na hakuna aliyejua kuwa si wanangu kwani tuliishi pamoja kwa upendo kama familia moja.

Tuliishi kwa amani kwenye nyumba za kupanga wakati huo nikiwa nafanya kazi na nilihakikisha watoto wangu wanapata huduma zote muhimu ikiwamo kuwasomesha shule bora kabisa.

Baba yao mzazi hakuwahi kutoa msaada wa aina yoyote wala kuhudumia watoto wake wala kuonekana.

Watoto walikuwa na akili sana darasani na baada ya masomo wote walipata ajira mmoja ameajiriwa kama daktari na mwingine ni mwanasheria.

Kinachoniumiza ni kwamba baada ya kufanya hayo yote mke wangu na wanangu wa kufikia wameungana na baba yao mzazi na sasa wanaishi pamoja kama familia [emoji24][emoji24].

Kwa sasa sina pa kuishi nakaa leo kwa ndugu huyu, kesho ndugu yule. Mbaya zaidi wameniblock na hata nikipiga kwa kutumia simu zingine wakijua ni mimi wanakata simu na kuiblock hiyo namba ngeni niliyotumia.

Ndugu zangu wa mtandaoni naomba ushauri wenu, nifanye nini?
 
kumbe wajinga wapo sasa kila tukitoa nondo za ujinga wa masingo maza huzisikilizagi leo unadanda danda kwa ndugu kwani si uendelee kupanga waliporudiana wamekukwamisha wapi wakati umepunguza majukumu tu....

hii stori kama ya fb ujinga mtupu
 
Pole Sana ila ilikuwaje ukatuza Watoto wasiokuwa wako na mke ambaye hajakuzalia mtoto hata mmoja? Huna uwezo wa kuzaliaha? Waume Ina bidi tu jifuze kupenda kwa kiasi haya mambo kupenda unconditional yako me kabisa. Wanawake ni waigizaji wazuri ila ukweli ni kwamba hakuna mwanamke mwenye akili anaye penda bila condition.
 
Nilimuoa mke wangu miaka 25 iliyopita akiwa na watoto wawili wa kiume aliowapata kwenye ndoa yake ya awali.

Niliwapenda sana wale watoto na kuwachukulia kama watoto wangu kabisa na hakuna aliyejua kuwa si wanangu kwani tuliishi pamoja kwa upendo kama familia moja.

Tuliishi kwa amani kwenye nyumba za kupanga wakati huo nikiwa nafanya kazi na nilihakikisha watoto wangu wanapata huduma zote muhimu ikiwamo kuwasomesha shule bora kabisa.

Baba yao mzazi hakuwahi kutoa msaada wa aina yoyote wala kuhudumia watoto wake wala kuonekana.

Watoto walikuwa na akili sana darasani na baada ya masomo wote walipata ajira mmoja ameajiriwa kama daktari na mwingine ni mwanasheria.

Kinachoniumiza ni kwamba baada ya kufanya hayo yote mke wangu na wanangu wa kufikia wameungana na baba yao mzazi na sasa wanaishi pamoja kama familia [emoji24][emoji24].

Kwa sasa sina pa kuishi nakaa leo kwa ndugu huyu, kesho ndugu yule. Mbaya zaidi wameniblock na hata nikipiga kwa kutumia simu zingine wakijua ni mimi wanakata simu na kuiblock hiyo namba ngeni niliyotumia.

Ndugu zangu wa mtandaoni naomba ushauri wenu, nifanye nini?
Ulizaa nae? Tafuta mwanasheria uone utapata vipi kulipwa ulichogharamia, au muingie mkataba wakutunze.
 
Kazi yako.ilikuwa kusomesha watoto..imeisha.
Ondoka
 
aya njoo msomeshe na wangu af nkubwage
 
Nilimuoa mke wangu miaka 25 iliyopita akiwa na watoto wawili wa kiume aliowapata kwenye ndoa yake ya awali.

Niliwapenda sana wale watoto na kuwachukulia kama watoto wangu kabisa na hakuna aliyejua kuwa si wanangu kwani tuliishi pamoja kwa upendo kama familia moja.

Tuliishi kwa amani kwenye nyumba za kupanga wakati huo nikiwa nafanya kazi na nilihakikisha watoto wangu wanapata huduma zote muhimu ikiwamo kuwasomesha shule bora kabisa.

Baba yao mzazi hakuwahi kutoa msaada wa aina yoyote wala kuhudumia watoto wake wala kuonekana.

Watoto walikuwa na akili sana darasani na baada ya masomo wote walipata ajira mmoja ameajiriwa kama daktari na mwingine ni mwanasheria.

Kinachoniumiza ni kwamba baada ya kufanya hayo yote mke wangu na wanangu wa kufikia wameungana na baba yao mzazi na sasa wanaishi pamoja kama familia [emoji24][emoji24].

Kwa sasa sina pa kuishi nakaa leo kwa ndugu huyu, kesho ndugu yule. Mbaya zaidi wameniblock na hata nikipiga kwa kutumia simu zingine wakijua ni mimi wanakata simu na kuiblock hiyo namba ngeni niliyotumia.

Ndugu zangu wa mtandaoni naomba ushauri wenu, nifanye nini?
Mzee wa stori za kutunga
 
kumbe wajinga wapo sasa kila tukitoa nondo za ujinga wa masingo maza huzisikilizagi leo unadanda danda kwa ndugu kwani si uendelee kupanga waliporudiana wamekukwamisha wapi wakati umepunguza majukumu tu....

hii stori kama ya fb ujinga mtupu
Hapana sio fb
 
Back
Top Bottom