Nimemsomeshea watoto na sasa hanitaki tena bila sababu

Mchai chai! โ˜•

"Kinachoniumiza ni kwamba baada ya kufanya hayo yote mke wangu na wanangu wa kufikia wameungana na baba yao mzazi na sasa wanaishi pamoja kama familia ."
Kaka haya maneno yana maana gani ?
 
Unaota halafu unatuhadithia ndoto yako sasa au ni utunzi huru wa tamthiria za JF? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mi sipendi maswala ya kufikirika tokea fb sawa haya mambo yapogo ila sio kama ulivyoongeza chumvi,enewei no way we move on je ulizaa nae ? Kiukweli haya mambo yapo ila si kama hivi
 
Miaka yote 25 ulishindwa kumpa mimba? Kama hivyo ni kweli, ndomaana akakuona hufai akakutapeli. Kwahiyo hukujenga hata chumba na sebule?
 
Huu uzi ni chai ya kuwapaka single maza.

Ila ni mambo ambayo huwa yana uhalisia. Tuliahasema hapa Single maza sio wa kuoa. Ni wako kimkakti tu mlelee wanawe wakue akafaidi peke yake. Pili mwanamke yeyote hata asiye single maza anaweza kuwa na wewe kwenye ndoa kwa zaidi ya mika 10 kumbe sio mkeo ni yuko kimkakati tu.

Kuna watu humu huja kwa mbwembwe kusifia wake zao walioshi nao 10+ yrs, na kujisifu kuwa wamepata na kuwananga wanaolia na ndoa zao, men ni swala lanmuda tu. Hawa ke wa kizazi hiki ni hasara tu kwa me. Ukivahatisha shukuru ila wengi ni vichomi tu. Wanatutia tu tuwavushe. Wakifanikiwa hawana shukrani
 
Ulichofanya Mungu Pekee Atakulipa Hiyo Fadhila. Ni Kama Hazina Umeweka Inawezekana Ikachelewa Lakini Malipo Ni Hapahapa Duniani. Atakuja Kulipwa Mwanao Au Ndugu Yako Kwa Wema Uliotenda. Endelea Kutenda Wema Palipo Ulipojaliwa. Usife Moyo Wala Usikate Tamaa Mungu Yuko Pamoja Nawe Ipo Siku Wema Wako Utalipwa. Kuwa Na Subira.
 
muwe mnatuuliza huku tarime tuwape uzoefu wa ndoa
Single maza hatakiwi na ni laana kabisa kuwa ndo mke wa kwanza. huyo ni second wife au tenth wife kabisa
akizingua hata hushtuki. Singo maza aliyezalizaa akiwa hom kwao kabisa. hawana mshipa wa aibu hata chembe
nyie jidaini mna huruma , nawaonya tena .
 
yaani hapo mkuu siyo kwamba huyo baba watoto alikuwa hahudumii watoto wake, alikwa anahudumia tena analipa kila kitu
huyo singo maza akawa anachikichia
 
Ukome kabisa wewe nani alimwambia uoe mwanamke ambaye amesha shindikana kwenye ndoa yake tena ana watoto wawili ๐Ÿ˜‚ Single mother yeyote ni wa kupiga na kusepa ukioa tu imekulamba pole yako cha msingi endelea kuishi kwa ndugu hao ambao lazima walikukanya usifanye ilo jambo ukawadharau ๐Ÿ˜‚
 
Mh
 
Du
 
Naona afisa mmoja wa kataa ndoa kaamua kutafuta ID mpya kukazia ajenda yetu pendwa...... Hapa zinatafutwa point 3 za lazima๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Iwe kwa kutunga au kwa kisa cha kusoma mtandaon au kwa kusikia kwa jiran,,, kikubwa point n point ๐Ÿšถ๐Ÿšถ
 
Mtaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ