Hahaha endeleza mapambio siku yakikata tu ujue atakutekenya na yeye uwe tayari wakati wowote unaofaa na usiofaa!!nilirudi naimba mapambio ya kanisani lakini sina amani nikijua labda dada kavujisha siri ila mpaka sasa kimyaa
utasikia shetani kanipitia nimepiga vigoli 6 badala ya 3,Hukumu hapo kwa shwetainiwee maana alishahukumiwa so hatokuwa na muda wa kujiteteaa....ila watu wamEzidi!!
Mweee
Hahahaha wee jamaa unaua sasaa duuuh!!utasikia shetani kanipitia nimepiga vigoli 6 badala ya 3,
huyu DK ni janga kaacha historianimejikuta nacheka sana na nukuu za ujumbe wako, jamani huyo DR, HAMJUI KUWA ALIKUWA ANAnigerezea mimi Da resalaan? mimi nilimlipoti kwa mwalimu ila mwalimu akamuacha kisa alijulikana chuo kuwa ni ccm.
dada wa kazi wengine ukiwakaribisha ndani ni sawa na kuletewa mtihani wa hisabati ni lazima utafeli tu jamani wana makusudi sana hasa kama wanabanwa na baba mwenye nyumba ni kijana mdogoNyie ndio mnafanya madada wa kazi wasiaminike majumbani humo kwasababu ya uzinzi wenu
Ila mkuu Kiranga kasema yote
Hufai mkuu
Yaaaa niliwahi msikia dada mmoja akilalama eti shetan kampitia Na kufanya kiuno chake kuwa kigumu Na kushindwa kumkatikia vizuri MTU wake Siku hiyo, niliduwaaaa du!Hahahaha wee jamaa unaua sasaa duuuh!!
Duuuuh!Yaaaa niliwahi msikia dada mmoja akilalama eti shetan kampitia Na kufanya kiuno chake kuwa kigumu Na kushindwa kumkatikia vizuri MTU wake Siku hiyo, niliduwaaaa du!
Uwa najiuliza sana kabla shetani hajawa shetani na kutupwa duniani alikuwa malaika huku mbinguni na hivyo hakukuwa na shetani kabla yake, sasa nani alimshawishi huyu malaika mpk akawa shetani? ? Nafsi na mioyo yetu ndio chanzo cha dhambi mara nyingi na sio kumsingizia shetani kila kitu
Dunia imeumbwa Na maajabu mkuuDuuuuh!
Da imebid nfurahi tu ila kama umetubu naamin uyo shetani atokusogelea tenajana wakati nakiandaa kwenda kanisani nadhani shetani alikuwa anataka kuniharibia upako wangu,nilimuacha mama yoyoo akiwa kalala niko sebuleni nataka kutoka nje dada wa kazi akiwa ndani ya night dress alikuwa anapiga deki na lile umbo lake la kiuno cha nyigu nikajikuta nimemtekenye kwa kumbinya na vidole vyangu kulia na kushoto kwenye nyonga yake nikasikia mamaaaaa,mama yoyooo akatoka mbio anauliza vipi kunani mimi nilishafika nje nasikilizia ,mara dada wa kazi akasema hamna kitu nilitaka kuteleza kwenye sakafu,shetani huyu jamani
uzuri nilipofika kanisani nimetubu na dhambi zangu zimesamehewa na kuwa nyeupe kama theluji
Hebu fanya mpango wapicha kisha shekhe kipozeo auone na kutoa comment zake hatari sana shekhee eeh!zigo la maana hatari sana
nani kakuambia umesamehewa?Hapo ndipo ndoa zilipofikia