Inauma sana House girl unamtunza wewe...nyamanyama zinamtoka kwa misosi unayogharamia wewe....alafu anaenda kuliwa na Mangi wa kibandani. anatafuna maini safii kiulaini kabisa hata jasho hajatoa..... Inauma.Ulitakiwa uwe jela by now
hahaha kwa sound tone yake....Naendelea kukusadia kunukuu
"Wewe penda hao hao wembamba wembamba, me napenda wale wanene wanene walojazia nyama za allah" mwisho wa kunukuu
Vitabu vya dini vinatahadharisha juu ya umuhimu Wa kutoikaribia zinaa! Jamaa anathubutu! Neno LA mungu hakijaribiwi ! Kupona kwake amtoe huyo binti machoni pake haraka! Vinginevyo kumtekenya binti ni kumwarifu kuwa unahtaj hiyo huduma.na yeye anahisia na hata matamanio kama mkeo.Napata picha huyo dada wa kazi ni "zigo remix" duu
Ni kweli mkuu,,,picha ndo lishaanza vile na sidhani km litaishia kwenye hyo episode ya kutekenyaVitabu vya dini vinatahadharisha juu ya umuhimu Wa kutoikaribia zinaa! Jamaa anathubutu! Neno LA mungu hakijaribiwi ! Kupona kwake amtoe huyo binti machoni pake haraka! Vinginevyo kumtekenya binti ni kumwarifu kuwa unahtaj hiyo huduma.na yeye anahisia na hata matamanio kama mkeo.
Ha ha has kumbe hii clip ya sheikh mlishaiona?hahaha kwa sound tone yake....
Mdada wa kazi kwanza lazima aanze mitego sasaNi kweli mkuu,,,picha ndo lishaanza vile na sidhani km litaishia kwenye hyo episode ya kutekenya
Ha ha has kumbe hii clip ya sheikh mlishaiona?
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
nini tena mke wangu[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Tena uyo dada anaonekana mjanja mjanja sana,,,ashajua jamaa anawaza nn apo,,balaa linakuja haki ya naniMdada wa kazi kwanza lazima aanze mitego sasa
Mnamwonea sana shetani jamaniniliamka na upako kabisa mkuu atakuwa shetani tu
Moja kati ya kazi ya mabeki 3 ni pamoja na kumsaidia mama kwenye kupumnguzia mawazo mzee ya kupumua. Kama yuko vizuri, pita nae.Jana wakati nakiandaa kwenda kanisani nadhani shetani alikuwa anataka kuniharibia upako wangu,nilimuacha mama yoyo akiwa kalala niko sebuleni nataka kutoka nje dada wa kazi akiwa ndani ya night dress alikuwa anapiga deki na lile umbo lake la kiuno cha nyigu nikajikuta nimemtekenya kwa kumbinya na vidole vyangu kulia na kushoto kwenye nyonga yake.
Nikasikia mamaaaaa, mama yoyooo akatoka mbio anauliza vipi kunani mimi nilishafika nje nasikilizia,mara dada wa kazi akasema hamna kitu nilitaka kuteleza kwenye sakafu,shetani huyu jamani uzuri nilipofika kanisani nimetubu na dhambi zangu zimesamehewa na kuwa nyeupe kama theluji.
Inauma sana House girl unamtunza wewe...nyamanyama zinamtoka kwa misosi unayogharamia wewe....alafu anaenda kuliwa na Mangi wa kibandani. anatafuna maini safii kiulaini kabisa hata jasho hajatoa..... Inauma.
Ila hata huyo dada ana nyege kibaoacha kumsingizia shetani bana..... we sema nyege tu zinakusumbua