UNDENIABLE
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 2,326
- 1,314
Hahahahaha. Ashike adabu zake dadadekiweka ndani tena kituo kisichojulikana na ndugu
Kwann aniambie vyuma vimekaza?Sasa ukimtia ndani atakulipaje.!!?muheshimu unaemdai ili akulipe..
Kama huamini nenda kamuulizeUdanganya wwe labda ndio unadaiwa
Kauli ya rais ni sheriaMisifa au
Ongea nae mtaelewana.msigombane.Kwann aniambie vyuma vimekaza?
Hahahaha. Bado hujaelewa content mkuuOngea nae mtaelewana.msigombane.
Au msamehe,mungu atakulipia kwa njia ingine.Hahahaha. Bado hujaelewa content mkuu
vyuma vimekaza kweli ujaona mpaka UN nao wana lalamikaKama utani vile. Mtu nimemtia ndani. Mm namwambia anilipe pesa yangu anasema vyuma vimekaza. Sasa hapo hapo ndo nikapata sababu ya kumtia ndani. Ataniambiaje mimi vyuma vimekaza ilhali mkulu katoa maelekezo?
Shenzi taipu zake, akapate akili huko !
Alitaka girisi wakati girisi imeota mbawa.akupe hela yako au kama vipi tumpeleke Libya mnadani akauzwe upate hela yako mkuuKama utani vile. Mtu nimemtia ndani. Mm namwambia anilipe pesa yangu anasema vyuma vimekaza. Sasa hapo hapo ndo nikapata sababu ya kumtia ndani. Ataniambiaje mimi vyuma vimekaza ilhali mkulu katoa maelekezo?
Shenzi taipu zake, akapate akili huko !
Ungewatia ndani hao UNvyuma vimekaza kweli ujaona mpaka UN nao wana lalamika
Alitaka girisi wakati girisi imeota mbawa.akupe hela yako au kama vipi tumpeleke Libya mnadani akauzwe upate hela yako mkuu
Mmmhhh......Mkulu atamtoa sababu utaitwa wewe ndo yale mashetani mloishi kama malaika. Mtoe haraka kabla mkulu hajaambiwa, utajiju.