UNDENIABLE
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 2,326
- 1,316
- Thread starter
- #21
SijuiKwani vyuma ndo nini
SijuiKwani vyuma ndo nini
Au msamehe,mungu atakulipia kwa njia ingine.
Kazi ya polis sio kukusanya madeni,Mpelele mahakamanKama utani vile. Mtu nimemtia ndani. Mm namwambia anilipe pesa yangu anasema vyuma vimekaza. Sasa hapo hapo ndo nikapata sababu ya kumtia ndani. Ataniambiaje mimi vyuma vimekaza ilhali mkulu katoa maelekezo?
Shenzi taipu zake, akapate akili huko !