Nimemtia mtu ndani, kaniambia vyuma vimekaza

Nimemtia mtu ndani, kaniambia vyuma vimekaza

Mkulu atamtoa sababu utaitwa wewe ndo yale mashetani mloishi kama malaika. Mtoe haraka kabla mkulu hajaambiwa, utajiju.
 
Kama utani vile. Mtu nimemtia ndani. Mm namwambia anilipe pesa yangu anasema vyuma vimekaza. Sasa hapo hapo ndo nikapata sababu ya kumtia ndani. Ataniambiaje mimi vyuma vimekaza ilhali mkulu katoa maelekezo?

Shenzi taipu zake, akapate akili huko !
vyuma vimekaza kweli ujaona mpaka UN nao wana lalamika
 
Kama utani vile. Mtu nimemtia ndani. Mm namwambia anilipe pesa yangu anasema vyuma vimekaza. Sasa hapo hapo ndo nikapata sababu ya kumtia ndani. Ataniambiaje mimi vyuma vimekaza ilhali mkulu katoa maelekezo?

Shenzi taipu zake, akapate akili huko !
Alitaka girisi wakati girisi imeota mbawa.akupe hela yako au kama vipi tumpeleke Libya mnadani akauzwe upate hela yako mkuu
 
Back
Top Bottom