Jamani yaani mwanaume huyu ananipenda mpaka nimemtishia kumwacha na alikuwa anasoma hivi Jamie forum .aneogopa mpaka wazazi wake wamemkopesha pesa kanunua Mercedes loop hapa na let the shopping begins .kesho nitawapostia picha ya mume wangu na gari mpya na picha ya Mimi natalia.sasa hivi nampenda I'm happy.ladies mtumie mitandao kuwatishia nilianza na facebook na hapa.nawashukuru kwa comment zenu
Wewe kweli mwanamke wa shoka, hakuna maisha tegemezi siku hizi.nadhani naenjoy zaidi ninavyoendesha my Audi Q7 niliyonunua kwa jasho langu....kweli wanawake tupo tofautitofauti......
Wewe kweli mwanamke wa shoka, hakuna maisha tegemezi siku hizi.
Jamani yaani mwanaume huyu ananipenda mpaka nimemtishia kumwacha na alikuwa anasoma hivi Jamie forum .aneogopa mpaka wazazi wake wamemkopesha pesa kanunua Mercedes loop hapa na let the shopping begins .kesho nitawapostia picha ya mume wangu na gari mpya na picha ya Mimi natalia.sasa hivi nampenda I'm happy.ladies mtumie mitandao kuwatishia nilianza na facebook na hapa.nawashukuru kwa comment zenu
Jamani yaani mwanaume huyu ananipenda mpaka nimemtishia kumwacha na alikuwa anasoma hivi Jamie forum .aneogopa mpaka wazazi wake wamemkopesha pesa kanunua Mercedes loop hapa na let the shopping begins .kesho nitawapostia picha ya mume wangu na gari mpya na picha ya Mimi natalia.sasa hivi nampenda I'm happy.ladies mtumie mitandao kuwatishia nilianza na facebook na hapa.nawashukuru kwa comment zenu
Another hopless creature on earth !
nakubaliana nawe mkuu...nimeamin humu JF kuna vilaza na magreater thinker...lol