Nimemtishia mume wangu kwenye JamiiForums "kaninunulia Mercedes" picha kesho

Jamani yaani mwanaume huyu ananipenda mpaka nimemtishia kumwacha na alikuwa anasoma hivi Jamie forum .aneogopa mpaka wazazi wake wamemkopesha pesa kanunua Mercedes loop hapa na let the shopping begins .kesho nitawapostia picha ya mume wangu na gari mpya na picha ya Mimi natalia.sasa hivi nampenda I'm happy.ladies mtumie mitandao kuwatishia nilianza na facebook na hapa.nawashukuru kwa comment zenu

Another hopless creature on earth !
 
nadhani naenjoy zaidi ninavyoendesha my Audi Q7 niliyonunua kwa jasho langu....kweli wanawake tupo tofautitofauti......
Wewe kweli mwanamke wa shoka, hakuna maisha tegemezi siku hizi.
 
Jamani yaani mwanaume huyu ananipenda mpaka nimemtishia kumwacha na alikuwa anasoma hivi Jamie forum .aneogopa mpaka wazazi wake wamemkopesha pesa kanunua Mercedes loop hapa na let the shopping begins .kesho nitawapostia picha ya mume wangu na gari mpya na picha ya Mimi natalia.sasa hivi nampenda I'm happy.ladies mtumie mitandao kuwatishia nilianza na facebook na hapa.nawashukuru kwa comment zenu

kuna mtu anaitwa Warren Buffet alisema ON SPENDING:'' IF YOU BUY THINGS YOU DONT NEED, SOON YOU WILL HAVE TO SELL THINGS YOU NEED''. Na wewe unaelekea huko kwani wazazi wakishindwa kumkopesha na yeye kulipa madeni I dont know what will happen na bado unamwita mume wako mmmmmmmmmmm kweli dunia imeisha.
 
Jamani yaani mwanaume huyu ananipenda mpaka nimemtishia kumwacha na alikuwa anasoma hivi Jamie forum .aneogopa mpaka wazazi wake wamemkopesha pesa kanunua Mercedes loop hapa na let the shopping begins .kesho nitawapostia picha ya mume wangu na gari mpya na picha ya Mimi natalia.sasa hivi nampenda I'm happy.ladies mtumie mitandao kuwatishia nilianza na facebook na hapa.nawashukuru kwa comment zenu

Wonders shall never end!
 
baby natalia,you are so sweet,mmmmwaaaa na asikubabaishe mtu hapa,mwanamke kudeka sunna.
 
kuna kila dalili ya utoto ,mdeko fulani wa maisha fulani ambayo mtu hakuwa nayo anayahitaji yani kwa lugha fupi maisha ya tamthilia vile! kwa kifupi sielewi mama wa watoto wawili awe hivi.sioni cha kujifunza hapa badilika soma vizuri komenti za watu zikusaidie kubadilisha mtazamo wako. unaonekana unapenda maisha flani lakini mwonekano halisi kama tandale kndani ndani zaidi ya mbagala maisha chumbasebure chumba. da! samahani sikujua vidole vyangu vingefika hapa.
 
Back
Top Bottom