Nimemtizama huyu Mshambuliaji Mghana Opoku na Kugundua hata bado hajafikia 50% ya uwezo alionao Manzoki

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Mwekezaji Mohammed Dewji, CEO Barbara Gonzalez na Mwenyekiti wa Bodi ya Simba SC Salim Abdallah Mhene 'Try Again' wana Simba SC hatutowaelewa kama hatutalisikia Jina la Mshambuliaji Kiboko ya Mayele aitwae Manzoki.

Msajilini haraka Ceaser L.obi Manzoki.
 
Huyu bado sana, hata Kyombo yuko juu zaidi ya huyu
 
Manzoki ndiyo hivyo tena majeruhi miezi mitatu
 
Back
Top Bottom