Nimemtolea mahari sasa ananipa shida, najuta!

Shida yako ameshakuona huna ujanja wa kupata mademu wengine na kwake umekufa umeoza.Pia umaskini wako ndo ameushindwa.Samehe hiyo hela mpe nauli arudi kwao na jitahidi uhamie kwingine asipokujua na badilisha laini na anza kutafuta hela kwa bidii.Na toa taarifa OFISINI kwako ulishashindwana na mke ili akija asiambulie kitu wala kupewa msaada wowote kuhusu wewe.
Ukishapa hela tafuta mwanamke kama msichana wa kazi na usimtolee mahari mpaka watoto wawili na ukishajiridhisha anakufaa.Vinginevyo endelea kutafuna mzigo huku ukiwatumia elfu 20 kila mwezi wazazi wake kule kijijini
 
Lazima kuna sababu mkuu mtu hawezi tu kubadilika ndani ya miezi miwili bila sababu unless alikua hivyo toka kipindi cha uchumba ukaona atabadilika ukimuoa🤣🤣 hasa Hilo la usafi...hapo kwenye tendo labda hafurahii na anashindwa kucommunicate point yangu ni kuwa umemuuliza tatizo nini au unalia tu halafu Ana umri gani asijekua Ana miaka 21 halafu tunatafuta mchawi.
 
Wewe ndio shida,

Japo wewe ni kikuu cha Mtume!

Mungu kakuonesha mapema kabla hajafunga naye ndoa tabia zake halisi badala ya kujadiliwa na watu,Umejionea mwenyewe sasa unataka nini tena?

Mungu akupe nini?

Hiyo mahali yako inathamani kuliko kuishi kwa Amani bila stress katika maisha yako yote?

Leo kakufanyia hivyo wewe ,Kesho atamfufua mzazi wako vituko vya ajabu au kuwachonganisha kwenye ukoo wako bado unataka ukumbatie shetani ulipeleke kwenye ukoo wenu??????

Unataka uje upate hasira siku moja umpigie mgawane majengo ya Serikali mmoja mochwali mwingine Segerea au ukonga? Hicho ndicho anachokifanya nafikiri.

Basi subiria kikitokee,
 
Neñda kamuuze mnàdani urudishe hela yàko..
 
Ndoa za sikuhizi zimekuwa Kama fasheni tu ....usijisumbue kudhani huyo mke wako huko nyuma hakuwa na mabwana...
 
Pesa sio yamuhimu mbele ya amani ya moyo, afadhali amekuonyesha rangi yake halisi kabla hamjawa ata na familia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…