Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kujiita Tony Love mdogo wangu.Nashukulu sana kaka kwa ushauri wako mzuri.ubarikiwe sana
We kajamaa kajinga, anaomba arudi kwao, hutaki wakati huo ndio muda wa kutafuna watoto wazuri wengine kwa Uhuru.
IdiotMimi ni kijana wa miaka 27, nafanya kazi. Nimeoa mwanamke ambaye tumedumu uchumba kwa mwaka na nusu. Nimetoa mahari zaidi ya milioni na nusu.
Amekuja mkoa ninaofanya kazi, lakini vituko anavyonifanyia ni hatari. Hadeki, kunipa penzi mpaka ajisikie yeye mwenyewe hata kama mimi nina nyege ananiyima penzi.
Pia anadai kurudi kwao mazingira yamemshida. Mambo mengi ananifanyia huyu mke wangu, mpaka nakuwa natokwa na machozi maana hata mwezi hajamaliza ananiletea vituko hivi.
Kinachoniuma ni pesa niliyomtolea. Naombeni ushauri ndugu zangu, nifanyeje? Pia, kama akirudi kwao naweza kurudishiwa mahari yangu?
Mbona sijaona mahali panapoonesha ni mkeo. Mnabeba magold digger mnaita wakeMimi ni kijana wa miaka 27, nafanya kazi. Nimeoa mwanamke ambaye tumedumu uchumba kwa mwaka na nusu. Nimetoa mahari zaidi ya milioni na nusu.