Nimemtolea mahari sasa ananipa shida, najuta!

Na ndio unaenda nae kusaini mkataba wa kudumu? My wangu pole[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nashukulu sana kaka kwa ushauri wako mzuri.ubarikiwe sana
Acha kujiita Tony Love mdogo wangu.
Tony love ndo nn, wanawake hawavutiwi sana na wanaume wenye majina ya kike kike.
Jiite hata Mizizi ya Jiwe.
Au Cement Chakavu.
Lol.
 
We kajamaa kajinga, anaomba arudi kwao, hutaki wakati huo ndio muda wa kutafuna watoto wazuri wengine kwa Uhuru.
 
Idiot
 
Mbona sijaona mahali panapoonesha ni mkeo. Mnabeba magold digger mnaita wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…