Nimemtongoza Jana, leo asubuhi kanitext kapoteza hela zote na hajui afanyeje

Tendo la ndoa sasa wamefanya ni biashara ila bado wanaona aibu kutamka wanauza. Muulize tu short time bei gani na kulala bei gani na kawaida na kwa mpalange bei gani
Hii comment muhimu Sana [emoji16][emoji16]
Always gals huwa Wana play role na ukimya wa mwanaume yaani ukiwa dhaifu wa kuongea, unashindwa kumpa makavu au kumtolea nje ndio Basi Tena kwisha habari yako , Anaona daah boya hili
 
Chief Ni unpredictable Sana haya Mambo , weee acha tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hii mbinu aliitumia mrangi kitambo alipotembelea Iringa. Nakumbuka alitusimulia kitu kama 2018 ndio mwanzoni naanza kumheshimu kwa umjinimjini. Alisema eti yeye ametoka Dar hawezi uziwa mbunye kwa laki mbili na demu wa Iringa [emoji23]

Naamini wauzaji wanaijua zaidi kuliko mtu yeyote so haiwezi fanya kazi
 
Chief Ni unpredictable Sana haya Mambo , weee acha tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Serious nakwambia, atarudi TU.
Ni sawa na Hawa wenzetu wa onenight stand.

Ukipita nae,
kisha Ukimuachia posho nzur ya uchafuzi, baada ya hapo mtakua na mawasiiano mazur.

Sasa wee jichanganye upite nae,
Kisha umuache mikono mitupu ata ya sabuni Wala supu humuachii.

Anakublock na hatak tena mawasiliano na wewe Maana umemchafua, umemuachia shombo lako,mijasho yako na bila ata aibu umemuacha aende zake mikono mitupu[emoji4]
 
Acha uboya dogo
 
Dah akinilia timing na kuitoa haraka si itakua imekula kwangu hii [emoji56]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…