Nimemtongoza Jana, leo asubuhi kanitext kapoteza hela zote na hajui afanyeje

Jana katika pita pita zangu mjini nilipita mitaa ya karume kule ilala kwa vile wkt nipo mkoa niliskia soko liliungua basi nikasema kwa vile nipo mjini nakula likizo ngoja nikashangae mji.

Sasa ktk tembea tembea pale sokoni nikaiona pisi kali inachagua chagua blauzi za buku buku. Moyo ukafanya "chwaaaaaaaah!!!" Mamamamaaa aisee mjini kuna watoto wakali mazee. Alikua amepiga vile visketi flani vya mpira mpira hips zimechomoza kama vile zinapambana zitoboe ile sketi pembeni zipotelee kusikojulikana. Juu alipiga top halafu kifuani saa sita zimechomoza dizaini kama hakua amevaa bra. Nikajikuta kama nimeduwaa shetani akanishika mkono akaniambia "blaza blaza usinikemee, hakika mm ni rafiki yako wa kudumu [emoji39]"

Nikaanza kujivuta mdogo mdogo kuelekea alipokua anachagua nguo. Mapigo ya moyo yalikua yanaenda kasi mno mpaka nilikua nayaskia hapa kifuani "tu tu tuuuu!!!" Nikamsogelea

Mimi "hello bestie, habari"
Yeye "safi"
Mimi "samahani kama nakufananisha hivi"
Yeye "sio mimi"
Mimi "okay, nina shida nahitaji kuwasiliana na ww.. sijui naweza kupata namba yako?"

Akaniangalia kuanzia juu mpaka chini kisha akanipa kasimu kake ka smart ka Samsung nichore namba yangu. Nikaandika. Nikajibip. Nikamshukuru. Nikasepa.

Huyoooooo nikaenda kituo cha gerezani kudaka mwendo kasi nirudi kitaa. Nikasema simtafuti kwanza mpaka jioni. Usiku nikamtext kumpanga for the next appointment. Ila akawa ananijibu kimkato mkato tu. Nikampandia hewani akakata akaniambia subiri nipo na kaka ntakupigia. Ikabidi nimpige sound ktk sms, akatiki lkn kwa masharti nisimuumize maana mahusiano yake yaliyopita alitendwa na hatopenda kupata experience kama ile. Nikamtoa hofu!

Leo asubuhi nimeamka nimekuta amenitumia bonge la text "baby sorry jana jioni wkt tunaonana nilikua na ela ktk mkoba mzee alinituma nikazitoe benki za mafundi hapa home, kama laki tano. Leo asubuhi kaja fundi nataka nimpe sizioni, nahisi niliibiwa pale Karume... Nimemuambia baba hanielewi, sijui nifanyeje naomba nisaidie..." Text nyngne akaweka vikopa kopa na vile vi emoji kama anaona aibu vile...

Nimeshindwa nimjibu nini aisee
Endelea tu kuparamia hovyo watoto wa kike ipo siku utaamkia hospitali ukiwa umeporwa kila kitu.
 
Sahii kabisa,
Nnachokataa always ni ile kujifanya ananipenda KUMBE unanidanga.

Kama Ni mapenzi acha yaflow naturally, ila Kama Ni biashara it's better tukauziana TU Kila mtu afe kivyake[emoji4]

Sio unaniuzia, nishakulipa chako ushatembea mbele.

Baadae unaniletea habar za Kod imeisha, mjomba kameza shoka, mvua imeezua bati.n.k.

Huo utakua Ni upuuzi,
Ni biashara gan Iyo unafanya Haina bima wala haiwez kujilipia Kodi wala kukutatulia changamoto zako binafsi nje ya KAZI.

Sasa
Itabidi iyo biashara ufunge Sasa, ukatafute KAZI nyingine[emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23]..M.ama.e walah
 
Jana katika pita pita zangu mjini nilipita mitaa ya karume kule ilala kwa vile wkt nipo mkoa niliskia soko liliungua basi nikasema kwa vile nipo mjini nakula likizo ngoja nikashangae mji.

Sasa ktk tembea tembea pale sokoni nikaiona pisi kali inachagua chagua blauzi za buku buku. Moyo ukafanya "chwaaaaaaaah!!!" Mamamamaaa aisee mjini kuna watoto wakali mazee. Alikua amepiga vile visketi flani vya mpira mpira hips zimechomoza kama vile zinapambana zitoboe ile sketi pembeni zipotelee kusikojulikana. Juu alipiga top halafu kifuani saa sita zimechomoza dizaini kama hakua amevaa bra. Nikajikuta kama nimeduwaa shetani akanishika mkono akaniambia "blaza blaza usinikemee, hakika mm ni rafiki yako wa kudumu [emoji39]"

Nikaanza kujivuta mdogo mdogo kuelekea alipokua anachagua nguo. Mapigo ya moyo yalikua yanaenda kasi mno mpaka nilikua nayaskia hapa kifuani "tu tu tuuuu!!!" Nikamsogelea

Mimi "hello bestie, habari"
Yeye "safi"
Mimi "samahani kama nakufananisha hivi"
Yeye "sio mimi"
Mimi "okay, nina shida nahitaji kuwasiliana na ww.. sijui naweza kupata namba yako?"

Akaniangalia kuanzia juu mpaka chini kisha akanipa kasimu kake ka smart ka Samsung nichore namba yangu. Nikaandika. Nikajibip. Nikamshukuru. Nikasepa.

Huyoooooo nikaenda kituo cha gerezani kudaka mwendo kasi nirudi kitaa. Nikasema simtafuti kwanza mpaka jioni. Usiku nikamtext kumpanga for the next appointment. Ila akawa ananijibu kimkato mkato tu. Nikampandia hewani akakata akaniambia subiri nipo na kaka ntakupigia. Ikabidi nimpige sound ktk sms, akatiki lkn kwa masharti nisimuumize maana mahusiano yake yaliyopita alitendwa na hatopenda kupata experience kama ile. Nikamtoa hofu!

Leo asubuhi nimeamka nimekuta amenitumia bonge la text "baby sorry jana jioni wkt tunaonana nilikua na ela ktk mkoba mzee alinituma nikazitoe benki za mafundi hapa home, kama laki tano. Leo asubuhi kaja fundi nataka nimpe sizioni, nahisi niliibiwa pale Karume... Nimemuambia baba hanielewi, sijui nifanyeje naomba nisaidie..." Text nyngne akaweka vikopa kopa na vile vi emoji kama anaona aibu vile...

Nimeshindwa nimjibu nini aisee
Daah pole sana ndugu nataka niseme kitu kiukweli mapenzi ya sasa yameshageuzwa kama biashara kupitia wanawake kiukweli inasikitisha sana,ndoo me nakushauri achana na huyo mwanamke atakupotezea hela nyingi hadi utajuta
 
Mpe hela. Mimi nilimtongoza jioni, baads ya siku tatu akanikubalia halafu kesho yake akaanza kuugua mfululizo.
 
Nmecheka yani mahusiano siku hizi kila mtu anamvizia amuwahi mwenzie. Mwanmke anaumiza kichwa apate hela kabla ya kutoa penzi.. mwanaume nae anapambana apewe penzi kabla ya kupigwa kizinga. Atakaefanikiwa ndie mshindi
🤣🤣🤣nimecheka sanaaa! Kwahyo ni hide and sick😂😂
 
Kuna ka dem cha chuo tena first year! Nilikatongoza jion yake akaniambia katumiwa laki tano ya ada ikaenda kwa mtu mwingine kwahyo anaomba nimuongezee akalipe ada😂
 
Toa ushauri wako boss

Ungemuambia wewe ni fundi unaweza kuitengeza hiyo nyumba bure, na kama kuna vifaa vya kununua ungemwambia akutajie kwani una hardware kwani ungeweza kuvichukua huko for free ukaenda pia na vijana wako so akupe location uende!
 
Back
Top Bottom