Nenda mkuu ila beba vaseline usisahauWakuu kwema, kuna manzi mmoja hivi nilimtongoza jumanne sasa leo anataka nika mgegedee nyumbani kwake. Ananiambia ameniandalia chakula pamoja na vinywaji hivyo nisiache kwenda
Wakuu nishaurini niende au nisiendee maana waweza kuta nimtego
Wakuu kwema, kuna manzi mmoja hivi nilimtongoza jumanne sasa leo anataka nika mgegedee nyumbani kwake. Ananiambia ameniandalia chakula pamoja na vinywaji hivyo nisiache kwenda
Wakuu nishaurini niende au nisiendee maana waweza kuta nimtego
[emoji23] kei nn
Kichwa chako hakina serikali kuu??Wakuu kwema, kuna manzi mmoja hivi nilimtongoza jumanne sasa leo anataka nika mgegedee nyumbani kwake. Ananiambia ameniandalia chakula pamoja na vinywaji hivyo nisiache kwenda
Wakuu nishaurini niende au nisiendee maana waweza kuta nimtego
Beba mafutaWakuu kwema, kuna manzi mmoja hivi nilimtongoza jumanne sasa leo anataka nika mgegedee nyumbani kwake. Ananiambia ameniandalia chakula pamoja na vinywaji hivyo nisiache kwenda
Wakuu nishaurini niende au nisiendee maana waweza kuta nimtego
Abebe na mafuta ya upako maana unyolo unaweza kuwa mali ya umma.Kanga ni muhimu usisahau kubeba
Usikose kwenda na kilainishi mkuu,,Wakuu kwema, kuna manzi mmoja hivi nilimtongoza jumanne sasa leo anataka nika mgegedee nyumbani kwake. Ananiambia ameniandalia chakula pamoja na vinywaji hivyo nisiache kwenda
Wakuu nishaurini niende au nisiendee maana waweza kuta nimtego
Sasa mtoto kakuelewa anataka akakutunuku mzigo we unaleta ufala?😅😅😅Wakuu kwema, kuna manzi mmoja hivi nilimtongoza jumanne sasa leo anataka nika mgegedee nyumbani kwake. Ananiambia ameniandalia chakula pamoja na vinywaji hivyo nisiache kwenda
Wakuu nishaurini niende au nisiendee maana waweza kuta nimtego
Mbona ulivyomtongoza,hukuja kutuoomba ushauri wa kumtongoza!?Wakuu kwema, kuna manzi mmoja hivi nilimtongoza jumanne sasa leo anataka nika mgegedee nyumbani kwake. Ananiambia ameniandalia chakula pamoja na vinywaji hivyo nisiache kwenda
Wakuu nishaurini niende au nisiendee maana waweza kuta nimtego
Hizi posts/comment zenu sidhani kama mdudu wa jamaa atasimama wiki hii
Ahahaha punguza jazba boss.Thread za kitoto hizi.
Unatuuliza Sisi tunamjua?
Ulipomtongoza ulitaka akatae?
Kama kuna mitego Sisi tutajuaje??