mshauri vyema mtoto wa mwenzio πHaha,
aende tu..!!
week nzima mkuu? tumia hii gia mwambie aharibu feni uitwe kama fundiSasa mtoto kakuelewa anataka akakutunuku mzigo we unaleta ufala?π π π
Ungejua tabu nayoipata mimi takriban week nzma. Mtoto kakubali ila tatizo kwao geti anabaniwa kichizi yani tunapoelekea kuna mtu ataliwa kwenye kichaka soon nilikuwa siamini watu wanawezaje ila nahisi soon ntaweza. We unaitiwa ugali mboga mezani unaanza kuleta mapozi!
Hahahah ubaya ni kwamba asubuhi anaelekea dukani kwao hadi jioni ndio anarudi home. Hashindi nyumbani yani. Kibaya zaidi mtoto wa kota halafu dada yake aliwahi kuwa mwalimu wangu ananijua fika.week nzima mkuu? tumia hii gia mwambie aharibu feni uitwe kama fundi
basi tunza heshima ya mwalimu tu ungoje siku ya bwana muitumie kuinua mioyo hapo kwako mkuuHahahah ubaya ni kwamba asubuhi anaelekea dukani kwao hadi jioni ndio anarudi home. Hashindi nyumbani yani. Kibaya zaidi mtoto wa kota halafu dada yake aliwahi kuwa mwalimu wangu ananijua fika.
Sasa nimeazimia kufanya yangu aidha nimvizie akitoka kitengo kuna chocho anapitaga nimbananishe kule au siku ya ibada ifanyikie magetoni kwangu. Arudi kwao akiwa mwepesiii πππ
Duh sidhani kama ntaweza mie lazma nimtafune kwanzaπbasi tunza heshima ya mwalimu tu ungoje siku ya bwana muitumie kuinua mioyo hapo kwako mkuu
huwa haendi hata saccoss mkuuDuh sidhani kama ntaweza mie lazma nimtafune kwanzaπ
How old are you?Wakuu kwema, kuna manzi mmoja hivi nilimtongoza jumanne sasa leo anataka nika mgegedee nyumbani kwake. Ananiambia ameniandalia chakula pamoja na vinywaji hivyo nisiache kwenda
Wakuu nishaurini niende au nisiendee maana waweza kuta nimtego
Haramia [emoji110]Hahahah ubaya ni kwamba asubuhi anaelekea dukani kwao hadi jioni ndio anarudi home. Hashindi nyumbani yani. Kibaya zaidi mtoto wa kota halafu dada yake aliwahi kuwa mwalimu wangu ananijua fika.
Sasa nimeazimia kufanya yangu aidha nimvizie akitoka kitengo kuna chocho anapitaga nimbananishe kule au siku ya ibada ifanyikie magetoni kwangu. Arudi kwao akiwa mwepesiii [emoji16][emoji16][emoji16]
Interesting..........Thread za kitoto hizi.
Unatuuliza Sisi tunamjua?
Ulipomtongoza ulitaka akatae?
Kama kuna mitego Sisi tutajuaje??
AisseKanga ni muhimu usisahau kubeba
Hakuna show tamu kama za vichakani..[emoji23][emoji23][emoji23]Sasa mtoto kakuelewa anataka akakutunuku mzigo we unaleta ufala?[emoji28][emoji28][emoji28]
Ungejua tabu nayoipata mimi takriban week nzma. Mtoto kakubali ila tatizo kwao geti anabaniwa kichizi yani tunapoelekea kuna mtu ataliwa kwenye kichaka soon nilikuwa siamini watu wanawezaje ila nahisi soon ntaweza. We unaitiwa ugali mboga mezani unaanza kuleta mapozi!
Show za kujiiba hizo yani dakika 20 tayari mshamalizana πππ ubaya mtoto akikutwa na majani kichwaniHakuna show tamu kama za vichakani..[emoji23][emoji23][emoji23]
Huku unamuinamisha mtoto, huku kashika chupi mara kachomwa na miba paaap! mara msikie watu wanakuja muiname mjifiche,
then mnaendelea na show
Wazungu wakija wakatoka.. unabeua kama umekula pilau la Christmas kwa jirani..
Then unamwambia mtoto vaa fasta kwenu wanakutafuta...
Akikutwa na majani kesho kuna uwezekano mahusiano yafeShow za kujiiba hizo yani dakika 20 tayari mshamalizana [emoji23][emoji23][emoji23] ubaya mtoto akikutwa na majani kichwani
Inakuwa imeisha hio!Akikutwa na majani kesho kuna uwezekano mahusiano yafe