Mimi niko pamoja na wadau wengine kuwa ubebe mafuta ya mzeituni in case of emergency, Pia kidogo cha kuongeza ni kuwa, usile sana....maana ikitokea mlipa kodi akatinga atakusukumia moto hadi utatapika ubwabwa na juisi ya parachichi uliyoandaliwa na mwenyeji wako.