Nimemtongoza Mhasibu hapa Ofisini bila kujua, tumekuja kukutana Lodge

kabila01

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2009
Posts
4,235
Reaction score
4,964
Habari wana JF

Niliingia katika mtandao wa Badoo kwa kutumia jina na picha fake. Nika search girls between the age of 20 to 35 nearby. Akatokea dada mmoja mzuri kumbe ni mhasibu wa hapa hapa ofisini naye katumia Jina na picha fake. Tukachati tukatongozana akaingia line.

Siku nikiwa ofisin saa 4 hivi asubuhi nikachati nae nikatangulia lodge nae baada ya nusu saa akaja akagonga mlango kufungua Dah kumbe ni Mhasibu, nikala mzigo kishingo upande tukarudi ofisini.
 
Kula tunda kimasihara itaishi sana
 
Cha ajab ni kipi hapo yeye mwenyewe alikuwa tayari kuliwa buyu na yeyeote ndiyo mana hata kakubali mtu wa mitandaoni ambae hata hamjui so alitajia kukutana hata na wewe ila wewe tu kujipa pressure kushindwa kula buyu kwa nafasi, omba mara ya pili utengengeze nafasi yakuwa first priority kwenye mshahara.
 
Yan mwanamke aende mtandaoni akubaliane kulala na mwanaume asiyemjua bila hela aweeeeehhhh
 
Yan mwanamke aende mtandaoni akubaliane kulala na mwanaume asiyemjua bila hela aweeeeehhhh
Unaijua badoo wewe? kule kuna mademu wengine wapo desperate sana na Sex
 
Vipi ni mtamu?
 
Aisee kizazi cha leo hatari sana!
Yani saa 4 asubuhi mnaacha kazi mnaenda kufanya uovu bila aibu! Hiyo taasisi au shirika lenu litakuwa limekula hasara!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…