Nimemtongoza mke wangu kwa akaunti fake TikTok kanikubali, tena yupo tayari kuolewa

Technophilic Pool

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2024
Posts
2,597
Reaction score
3,965
Aisee hawa wanawake ni hatari.

Mke wangu anapenda sana TikTok sasa kuna siku nimeingia kwenye acc yake nimekuta kuna vijana wanamtongoza wengine ana wajibu wengine hajibu. Kifupi nimeshindwa kupata flow nzuri kwani nadhani huwa anafutaga chats.

Sasa nikatengeneza Akaunti fake TikTok kwa majina tofauti. Wiki nzima tuko tunaenjoy mapenzi mtandaoni muda mwingine namchatisha tuko wote sebuleni yeye anajiachia kumbe ni mimi mume wake. Nimemtongoza na amekubali na amekubali kuolewa tena.

Kifupi huyu inawezekana akitokea jamaa yuko serious anaondoka nae.

NACHUKIA SANA WANAWAKE HOYA HOYA. Tuishi nao lakini tusiwaamini asilimia 90%.
 
1712777792357.jpg
 
Aisee hawa wanawake Ni hatari.
Mke wangu anapenda sana Tik tok sasa kuna sikj nimeingia kwene acc yake nimekuta kuna vijana wanamtongoza wengine ana wajibu wengine hajibu. Kifupi nimeshindwa kupata flow nzuri kwan nadhan huwa anafutaga chats.
Sasa nikatengeneza acc fake tik tok kwa majina tofauti.
.Wiki zima Tuko tunaenjoy mapenzi mtandaoni muda mwinginr namchatisha tuko wote sebuleni ye anajiachia kumbe ni mm mume wake.Nimemtongoza na amekubali na amekubali kuolewa tena .
Kifupi huyu inawezekana akitokea jamaa yuko serious Anaondoka nae.

NACHUKIA SANA WANAWAKE HOYA HOYA.Tuishi nao lakini tusiwaamini asilimia 90%
we mwenyewe huna akili kama mkeo tu maana mwanaume kamili hafanyi ujinga na wajinga......
 
Aisee hawa wanawake Ni hatari.
Mke wangu anapenda sana Tik tok sasa kuna sikj nimeingia kwene acc yake nimekuta kuna vijana wanamtongoza wengine ana wajibu wengine hajibu. Kifupi nimeshindwa kupata flow nzuri kwan nadhan huwa anafutaga chats.
Sasa nikatengeneza acc fake tik tok kwa majina tofauti.
.Wiki zima Tuko tunaenjoy mapenzi mtandaoni muda mwinginr namchatisha tuko wote sebuleni ye anajiachia kumbe ni mm mume wake.Nimemtongoza na amekubali na amekubali kuolewa tena .
Kifupi huyu inawezekana akitokea jamaa yuko serious Anaondoka nae.

NACHUKIA SANA WANAWAKE HOYA HOYA.Tuishi nao lakini tusiwaamini asilimia 90%
Wewe ndiye mshenzi, mpumbavu na limbukeni wa kutupwa. Unaanza kumjaribu mkeo namna hiyo? Acha ushamba. Ipo siku nawe utato gozwa
 
Aisee hawa wanawake Ni hatari.
Mke wangu anapenda sana Tik tok sasa kuna sikj nimeingia kwene acc yake nimekuta kuna vijana wanamtongoza wengine ana wajibu wengine hajibu. Kifupi nimeshindwa kupata flow nzuri kwan nadhan huwa anafutaga chats.
Sasa nikatengeneza acc fake tik tok kwa majina tofauti.
.Wiki zima Tuko tunaenjoy mapenzi mtandaoni muda mwinginr namchatisha tuko wote sebuleni ye anajiachia kumbe ni mm mume wake.Nimemtongoza na amekubali na amekubali kuolewa tena .
Kifupi huyu inawezekana akitokea jamaa yuko serious Anaondoka nae.

NACHUKIA SANA WANAWAKE HOYA HOYA.Tuishi nao lakini tusiwaamini asilimia 90%
Hivyo nadhani ulichokitafuta umeshakipata. Unamtia majaribuni mwenzako unategemea nn? Ingekuwa ni wewe unajaribiwa na pisi huko unapopaita TIKI TOKO ungekwepa?
 
Back
Top Bottom