Mech engineer
JF-Expert Member
- Aug 25, 2017
- 354
- 472
Mbona huu uzi unanuka upinde
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unaua bendiMke wako hajui kukataa ni mali ya watu wote
😂😂😂😂 Sawa simple ila mambo ya kuitana furushi sijui...🤣🤣🤣
Unafikiri hata ni kazi baaasi!! Simple tu kitu tayari.
Uniafahamu vizuri TikTok? au unafahamu kuchat tu na kwenda Live?Ni kweli hana mume mwanaume kamili hawezi kutumia tiktok labda kama una share na mke wako lipstick
Si nimeitengeneza kwa ajili ya hiyo missionSasa kama haupo tiktok umetumia account gani kumtongoza? Au chai uliyoleta imekushinda hata mwenyewe?
mkuu umeelewa kweli?Kale mzigo kisha....
Muoe tena Mkuu, uwe nao(kina yeye) wawil
✌🏽Kazi kweli kweli.
ila ukiona mtu anaitwa poor brain !! Kweli inakua ivi ivo😂😂😂😂 Sawa simple ila mambo ya kuitana furushi sijui...
Sijapenda 😂😂😂😂
Ha ha haInaitwa Flirting wanawake wanapenda sana, especially mume au boyfriend wake ukiwa kauzu yaani haujawahi ata kumuita baby, kumsifia etc.
Wanawake wengi wanapenda kutongozwa tongozwa sana. Mtongoze ata kama ni mke wako.
Achana nae kuna watu humu akili zao visodaMi naona we ni mjinga zaidi,yaani kujua mkeo siyo mwaminifu ni ujinga?
Aisee... maana hata nchi hufanya vetting Kwa baadhi ya watu,bila wao wenyewe kujua kama wanafanyiwa vetting... Sasa wakimwambia mtu kua tunakufanyia vetting,si atafanya camouflage?
We mtu ni mjinga sana,nyie ndo mnaoa vituko ila hamjui.
Mkuu 😂😂😂😂😂ila ukiona mtu anaitwa poor brain !! Kweli inakua ivi ivo
Nimeelewa, si umemtongoza mkeo na kaukubali? Kamle mzigo sasa na kwakua anataka kuolewa tena we muoe upya. Au huwezi oa mtu mmoja mara mbili?mkuu umeelewa kweli?
uko na sexuality insecurity!Mbona huu uzi unanuka upinde
Sasa kukutana haitawezekana si ni mtu mmojaNimeelewa, si umemtongoza mkeo na kaukubali? Kamle mzigo sasa na kwakua anataka kuolewa tena we muoe upya. Au huwezi oa mtu mmoja mara mbili?